Taja game yako ujuane na wenzako wanaocheza.
Hizi ni game zangu kwenye simu na hizi level zangu:
8 Ball Pool, veteran level 59.
Toon Blast!/chest level 2280
Candy Crush Saga
Subway Surfers...
Wote tunafahamu kuwa michezo ni afya..wakati dunia nzima kukiwa tumebakiwa na league chache tu zinazoendelea za Mpira wa miguu, kumezifanya ligi hizo zijipatie umaarufu mkubwa. Ligi zilizobaki ni...
Mimi ni mmoja wa wapenzi wa boxing, nashangaa na kusikitishwa na jinsi mchezo wa boxing ulivyoshuka hapa nchini kiasi cha mashabiki wa mchezo huo kuanza kupungua.
Miaka ya 80-90 mchezo wa ngumi...
HUYU NDIO MKONGWE SASA""" .
.
umri wake ni miaka 53 na bado Ni mchezaji wa Kulipwa kwenye mchezo wa mpira wa miguu. Anaekipiga kunako klabu ya Yokohama FC ya Japan Kazuyoshi Miura amekuwa...
Hiki ni kikosi cha timu ya Taifa ya Cameroon, Indomitable Lions (Simba Wasioshindika) kilichoshiriki fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2002 na baadae mwaka huo Kombe la Dunia la Fifa...
Nimetoka kuzurura Twitter.
Nikaona kuna jamaa mmoja anajibizana na Himid Mao mkame ninja.
Jamaa akaniambia HIMID haujui mpira na haustahili kucheza kiungo mkabaji maana unazururaga tu uwanjani...
Hii leo Vilabu vya EPL...tunapiga kura kuamua hatima ya league...Man United, Man City, Norwich, Aston Villa na...Arsenal Wajumbe hawa watapiga kura huku wanacheka...[emoji16][emoji16]
Sent using...
Kwa kauli niliyomsikia Rais wetu Dr. John Magufuli, dalili zote ligi kuu VPL itarejea hivi karibuni, amesema bado anapata ushauri wa wataalam wake, lakini angependa ligi irejee mapema kwani...
TP Mazembe wamekataa ofa ya US $ 2.5m (Bilioni 5.8 Tsh) kumwachia nyota wao Jackson Muleka '20' kwenda Al Ahly SC
Muleka amefunga jumla ya mabao 60 na Tp Mazembe.
======...
Octoba 14 mwaka2014 kulikua na mechi yakufuzu EURO2016 kati ya nchi zenye uhasama/uadui mkubwa sana Serbia vs Albania mechii hii ilipigwa Belgrade Serbia lakini dk40 refa wa mchezo huo Martin...
Mnamo mwaka 1962 Benfica iliwaadhibu klabu kongwe na mabingwa wakihistoria ktk mashindano ya ulaya Real Madrid kwa mabao 5;3 huku real Madrid ikiongozwa na mastaa kama Alfredo Di'stefano,Puskas...
Huyu Waziri Mkuu wa Uingireza Boris Johnson...nina hofu naye atakuwa shabiki wa Liverpool kang'ang'ana sana kipigwe na si kucancel msimu...bila bingwa kuwepo....[emoji16][emoji16]
Sent using...
Imeandaliwa na Haji Manara
Wakati huu janga la ugonjwa hatari wa Corona likiichachafya dunia, habari kubwa ya kispoti nchini ni kuhusiana na wazo la Mh Waziri mwenye dhamana ya michezo nchini Dr...
Paulo Dybala amekutwa na #CoronaVirus kwa mara ya nne ndani ya wiki 6.
Mach 21 aliandika kuwa yeye na mchumba wake walichangamana na mtu mwenye #COVID19 na akapima kwa mara ya kwanza na akakutwa...
Wakati macho na akili za wapenda soka wote wa Tanzania zikiwa kule Maseru, Lesotho; sehemu pekee ambayo pengine Taifa Stars inaweza ikaandika historia nyingine katika soka kwa kufuzu kwa mara pili...
Katika team mbovu kuwahi kutokea ni hii.brasili ya 2014 iliyopigwa saba na Germany walikuwa wanarukaruka tu ..nimeiangalia.upya hii mechi nikastaajabu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ligi Kuu Soka nchini Ufaransa (The Ligue 1) na Ligi Daraja la Pili (Ligue 2) zimefutwa baada ya Waziri Mkuu wa nchini hiyo kusema michezo yote itatakiwa kuendela Septemba 2020
Amesema kuwa...
Kwanini Ligi ya uingireza inapendwa/inamashabiki wengi na ipo kibiashara zaidi kuliko Ligi zote duniani wakati zipo Ligi zenye wachezaji wenye ubora na viwango vikubwa kuliko wa uingereza?
Sent...