KUHUSU GAMONDI
Nilidhani baada ya mechi huyu mtu hakupaswa hata kukanyaga Avic town,lakini Kwa mshangao nimeshangaa hadi muda huu yupo tu anadunda kama kitenesi!
Viongozi wa Yanga mnatukosea...
"Timu yangu ina uchovu, tumecheza mech sita ndani va Siku ishirini"
"Kila kitu leo kilikwenda vibaya, tumepata jeraha dakika ya nane, Musonda amepoteza nafasi ya wazi, tumepoteza penati wao...
Nafuatilia game ya South Africa na Mali, kiukweli huu uwezo wa huyu kipa wa Mali si wa kawaida, Nina hakika huu ndio msimu wake wa mwisho kuchezea Yanga.
Namtakia kila la heri huko aendako...
Ujio wa Chama utaleta mabadiliko makubwa.
Ni Gamondi mwenyewe kuamua atumie mfumo Gani?
Comb ya PCM , pacome, Chama, Max.
Au kihasibu tuseme Yanga tumefuzu Kwa CPA.
CPA Chama Pacome Aziz ki...
Kumekuwepo na mijadala yenye mawazo mchanganyiko kuhusu mwenendo wa kocha mkuu wa Yanga. Tuchanganue hapa yafuatayo:
1. Nini kinachowapa mashaka mashabiki wa Yanga kuhusu mwenendo wa benchi lao...
Hapo vip!
kiukweli binafsi hili limenitokea mara kaza,kuna jamaa huwa napanga naye mikakati mara nyingi na sometime hata nampotezea ananitafuta mwenyewe ila kila nikiweka naye mkakati...
Wakuu
Huyu golikipa wa Yanga naona kama amerelax sana. Kwanini hajitumi? Mechi kadhaa nikiangalia magoli anayoruhusu si magoli ambayo anajituma.
Mfano game ya Leo Yanga kufungwa goli tatu...
Habari za mda huu Wana michezo?
Kuna mtu Jana mwenye akili timamu aliesikiliza hoja za wachambuzi wa ichi kipindi kuhusu team flani kushtumiwa kutumia sindano na dawa za kusisimua misuli?
Ivi...
Mcheao wa jana baina ya timu ya Simba na KMC ulikuwa ni mchezo mzuri sana na timu ya Simba ilionyesha kiwango cha juu cha kusakata mpira.
Kusema ukweli kwa sasa timu ya Simba ni tishio kwa timu...
Wakuu
Kuna hii video imezua mijadala na kuibua tuhuma mbaya kwa klabu ya Yanga kuwa hudungwa Sindano wakati wa mechi zao ambayo mchambuzi wa Soka nchini Jemedari Said amezi-share kupitia ukurasa...
NImeuangalia mchezo vyema napata mashaka kidogo kwa wachezaji wa timu fulani ni lazima tff wafanye vipimo vya ghafla kwa kuwapima madawa haramu yaliyopigwa marufuku michezoni kuna kila dalili hili...
Huu ni uwanja ambao uwekezaji wake ni wa kiwango cha juu sana.
Nashauri uwekewe kamera nyingi sana ndani ya vyumba vya kubadilishia nguo ili wanaoingia wawe salama
https://youtu.be/86ilS4nqcDE?si=pxCHHxy6QqIzyD13
Binadamu wepesi kusahau. Magoli matamu, magoli hayana maelekezo. Magoli yenye dharau ndani yake. Kuna mengine mdaka mishale alipigiwa mbali...
Jana jioni nilikaa eneo fulani nikiwa napambana na hamu ya kunywa bia (nimeacha ulevi ila day by day sio rahisi kusema kweli) nikasikia makelele Bar ya jirani. Ingawa sio mpenzi sana wa mpira...
Match Day
CAF Champion League
Young Africans SC VS CBE SA
2nd Preliminary round
2nd Leg
Stadium: New Amani Stadium Zanzibar
Date: 21-09-204
Time 8:30pm EAT
Soma Pia: FT: CBE SA 0-1 Yanga SC...
Katika mechi ya jana ya Yanga vs Tabora utd kuna shabiki alimrushia refa msaidizi (kibendera) chupa ya maji na kumfikia mgongoni, hii ilitokea baada ya refa huyo kunyoosha bendera kuashiria kuwa...
Nilipokiona kikosi hakina key platers kina Aucho, Yao na Pacome niliwacheka sana Yanga kwamba wamevamia mtumbwi wa vibwengo, Nilikdiria hazipungui nne 4G ila mambo yamekuwa tofauti.
Japo mmecheza...
Kocha mkuu wa Yanga amesema:
Kumekuwa na maneno mengi kuwa sifanyi mabadiliko ya kikosi kwa wachezaji. Nilianza kufanya hivyo nilipata matokeo mabaya dhidi ya Ihefu FC katika mechi ya Ligi Kuu...