Leo Arsenal imetolewa rasmi kwenye michuano ya kombe la Europa League baada ya kupigwa nyumbani kwake mabao 1-2, mechi ikienda hadi kwenye dakika za nyongeza na mwishowe tukishuhudia Arsenal...
Aisee ila hawa jamaa bwana hawachelewi kusema Yikpe kahongwa Range Rover na Simba, leo asubuhi katika Wasafi Jerry Muro kamuita Yikpe kwamba ni Boya na anamshangaa Mzungu kumpanga boya akiwaacha...
Olympiacos ndiye atakuwa bingwa mpya wa Europa league baada ya kuitoa Arsenal, hawa jamaa mpira wanaujua na hawabahatishi kama nyumbu wengine, kwa hiyo ni suala la muda tu bingwa kupewa kombe...
Mzuqa,
Kijana wetu mpendwa Mbwana Ally Samatta, mshambuliaji hatari haijawahi kutokea tangu mbingu na nchi ziumbwe leo katika ukurasa wa mbele front page katika gazeti linaloheshimika Uingereza...
Wakati mwingine hii mifungoo inasaidia.
Kwa kweli nimjuavyo Jerry, Manara akasali ashukuru Mungu Jerry yuko mfungoni. Maneno ambayo angeyapata asingeyasahau. Amesahau Jerry amesomea, huo mdomo...
Unaweza ukajiuliza kweli haya ndio malengo ya klabu ya Yanga kwa msimu huu licha ya kusajili wachezaji wengi wa kimataifa? Mpaka sasa Simba anaongoza ligi kwa point 62 huku Yanga akiwa na point 40...
Yumo Sonso, Adeyumi, Makame na Balama. Yaani nyumba ya vyumba viwili na sebule wachezaji walikuwa wanaishi sita kukiwa na kitanda kimoja na magodoro.
Hapo lazima lile moja alilopewa balama na GSM...
Naaam!
Moja kwa moja kwenye mada. Jamii yetu ya Watanzania tulio wengi tunapenda sana maneno mengi bila vitendo.
Nimekumbuka jambo hili na hatimaye kupata funzo na kukumbushwa maneno mengi bila...
Katika mechi iliyochezwa juzi kati ya Simba na Stand United baada ya matokeo kuwa 1-1 na kuingia kwenye matuta.
Jambo hilo lilipelekea kifo kwa mtu mzima mmoja eneo la Kiwalani ambaye alikuwa...
Klabu bingwa hatua ya Robo fainali kuendelea leo kwa michezo miwili Raja Casablanca atakuwa mwenyeji dhidi ya TP Mazembe mchezo utakaochezwa saa 22:00 usiku.
Mchezo mwingine ni mabingwa watetezi...
Katika hali ya kushangaza Klabu cha Simba tangu Dunia ianze leo wamevaa jezi nyeusi katika mechi yao dhidi ya Stand Utd
Imezoeleka miaka nenda rudi timu ya Yanga SC ndio huvaa rangi nyeusi...
Yanga imemchezesha mchezaji ambaye hakuwepo hata Kwenye jukwaa la wachezaji wa akiba walioorodheshwa.
Je wanaweza kupokonywa point
Sent using Jamii Forums mobile app
Msemaji wa Timu ya Ruvu Shooting Masau Bwire amepelekwa kwenye Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) kwa kosa la kutoa taarifa za uongo kwenye vyombo vya habari na kauli za...
Natumai wadau kila mmoja wenu ni mzima wa afya na poleni kwa Shughuli za leo katika kulijenga taifa katika kutamatisha siku kama ya leo kuna kitu kimoja unachoweza kufanya kama mdau wa soka ili...
Najuaa itawaumizaa kidogo wanna Yanga na kuwafurhisha
Timu yetuu itapata wakati.mgumu sana na kama Ht watatoka drw yà 0-0
Basii tujiandaee kisaikolojia na ushindi via penalty