Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mpaka sasa mechi zilizochezwa* 1. Simba mechi 21 2. Azam mechi 21 3. Yanga mechi 19 B Mechi Walizobakisha* 1. Simba mechi 17 2. Azam mechi 17 3. Yanga mechu 19 . . C* wakishinda mechi zote...
8 Reactions
45 Replies
5K Views
Najuaaa tunapopitia sihaba kuamini akuna kipya mbeleni. Kwa matokeo haya tukapange tu foleni pale Kawe tugombanie namba za NIDA. Sioni tunachoshindania mpaka sasa ajabuu unakaa bar kula unaonaa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna account nyingi zenye jina Simba Sports Club ila yenye blue tick ndiyo account rasmi ya klabu ya Simba; hiyo tiki inamaanisha kuwa account siyo feki. Process za kupata blue tick ni nyepesi ni...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Leo ntakua na kazi moja tu kumuangalia Kiungo makini sn,ambaye huwa namuona kakamilika kwa kila kitu. Si mwingine bali ni Baraka Majogoro. Baada ya mechi ntaongea zaidi. Baraka vs Tshishimbi...
1 Reactions
42 Replies
6K Views
Wahenga wanasema mtu husifiwa kwa kile akitendacho siyo ajuacho. Katika mtanange wa leo kati ya Simba Vs Kagera Sugar Mzee Mwenye Lindo Juma Nyoso ameonyesha kiwango cha juu sana. Ilikuwa kama...
5 Reactions
12 Replies
4K Views
Klabu ya Simba ipo njiani kuifanyia marekebisho nembo yao ili iwe ya kisasa na iendane na wakati.Inasemekana kuwa wapenzi wa Simba hawataki kumwona Simba aliyekonda katika nembo hiyo, hivyo...
3 Reactions
38 Replies
9K Views
Haya ni mambo 5 yanayoniumiza sana Roho 1. Kucheza ligi ambayo mpinzani wa jadi ni Yanga. Hii ni kudhalilisha team ya Simba. 2. Simba kucheza dakika 90 kama team nyingine.hii si haki.sisi...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Lengo la kuileta tech hii lilikua zuri isipokua kumekuwepo mapungufu au dosari katika mfumo huu, nini kilitakiwa 1) Var ilitakiwa iwe ina operate yenyewe kama mashine katika maamuzi kwa 95%...
13 Reactions
26 Replies
3K Views
Tanzania tumepangwa kundi D ambalo lina timu:- Tanzania, Zambia, Guinea na Namibia. jJe wadau wa mpira katika kundi hili hatuoni kwamba tutakuwa tumepata nafasi angalau kati ya mshindi wa kwanza...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mkali wa Ufilipino Manny Pacquiao amepigiwa kura nyingi zaidi kama bondia bora katika karne ya 21 mbele ya mpinzani wake Floyd Mayweather. Mayweather, ambaye mara nyingi hufikiriwa kuwa mmoja wa...
1 Reactions
53 Replies
8K Views
. Manchester City wamefungiwa kutoshiriki Michuano ya UEFA kwa misimu miwili (2020-2022) na faini ya Euro Million 30 hii inatokana na kukiuka masherti ya kanuni ya Financial Fair Play (FFP) ...
6 Reactions
9 Replies
1K Views
Ukizungumzia mastriker wenye umri mdogo ulaya na dunian kwa ujumla huwezi acha kumataja huyu dogo anaecheka na nyavu kila siku dogo hallanda Kwa watu wa man untd miyoni mwao watakua wanajilaumu...
1 Reactions
1 Replies
860 Views
Naaam...bila shaka wote hamjambo kabisa, na nasema Amani iwe kwenu Mungu Awatangulie..! Ni Jumamosi nyingine ya February 15, 2020 ambapo nyasi kwenye viwanja mbalimbali kuwaka moto katika...
5 Reactions
86 Replies
10K Views
Wenye link ya kutazama live tunaomba hapa jamani
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii timu haieleweki kiukweli,ilivyofunguliwa ile ban ya kusajili nikajua timu itasajili watu wa maana lakini imekua hovyo,Abramovich huyu sio yule ambaye alikua haoni shida kutoa hela ya maana ya...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Aman iwe nanyi Naomna kuuliza kenge gan mpuuz gan alileta kocha mpya wakati Boniface mkwasa akiwa anafaa kabisa na kutosha kamili gado kwenye kiti cha ukocha wa yanga Mpuuz gan huyo anatuhujumu...
16 Reactions
49 Replies
5K Views
Kama ilivyo Ada mashabiki wote wa Yanga sc na Tanzania Prison tutakuwa hapa kupata update ya mtanange mkali kabisa utakaopigwa pale uwanja wa Taifa kwenye mida ya saa 1 kamili usiku, Kabla ya...
3 Reactions
132 Replies
17K Views
POLEN sana. wana Yanga wenzangu waacheni watakawatakaosemaa tugange ya mbeleni Leo nimeona nishauri HILI jambo VIONGOZI wangu WA Yanga wanapenda sana HILI jukwaa kwa TAARIFA tu Ila zaidi n...
4 Reactions
33 Replies
7K Views
Namshuhudia Tshishimbi akicheza kiwango cha ajabu kabsa. Kipindi kizima cha kwanza hajapiga complete pass 10. Pasi zote anawapa Prison au anapiga nje. Hili ni tatizo ambalo linazidi kukomaa na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Huyu mhamasishaji wenu hafai hata kidogo. Anaongea kama lialia, anatafuta huruma siku zote. Hii staili ya uongeaji haifai kabisa kwa mchezo wanaocheza wanaume. Aangalie WWE aone wababe...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…