Wikendi hii ya Februari 8 (jana) na 9 (leo) ambayo Ligi Kuu ya England, EPL, inaingia raundi ya 26, kutakuwa na mechi 4 tu huku mechi zingine 6 zikichezwa wikendi ijayo, kati ya Februari 14 hadi...
Hakika niliamini baada ya Simba kuingia kwenye uwekezaji uendeshwaji wake hautakuwa wa kienyeji wa kusikiliza majungu ya mitaani.
Mpaka sasa sijajua sababu za msingi za kumfukuza yule kocha...
Patashika ya ligi kuu Tanzania Vodacom Premier League VPL kuendelea kupigwa tena leo February 7, 2020 ambapo Mnyama Mkali, Simba SC, wanawakabili JKT Tanzania.
Patashika hii ya aina yake ikiwa ni...
Miongoni mwa sababu soka letu halikui ni huu utaratibu wa klabu zetu (hasa hizi 3/kubwa) kutimua makocha bila kuwa na mipango sahihi baada ya hapo.
Kuhusu wasaidizi wa kocha.
Kimsingi kocha...
Shirikisho la Soka Tanzania TFF lakiri kudaiwa na waamuzi, lasema fedha inayohitajika kuwalipa waamuzi hao kwa msimu mmoja ni zaidi ya shilingi bilioni moja wakati fedha wanayoipata kutoka kwa...
Wakuu, natamani mno kuangalia mechi za vilabu vyetu vya Africa hasa katika ligi ya mabingwa, je ni king'amuzi kipi kinaonesha michuano hiyo? Hawa wengine wamejikita mno Ulaya mpaka mashindano...
Mambo 10 nilioyaona Simba vs JKT
Na: Ally Kamwe
1: Abdallah Mohammed Baresi[emoji122] Ushindi wa JKT ulianza kwenye kitabu chake cha ufundi. Ile 4-2-2-2 iliimeza kabisa 4-2-1-3 ya Sven. Kipindi...
Baada ya Simba kufanya mabadiliko ya benchi la ufundi mwaka jana ambapo Patrick Aussems alitemwa, Dennis Kitambi aliyekua Kocha Msaidizi sikusikia hatma yake.
Je, anafanyia wapi kwa sasa kazi...
Ni nani alimleta mzungu? Mbona anaonekana hana uwezo?
Je, wachezaji si watawagawa iwapo hawaelewani?
Je, uongozi wa Simba mbona mpo kimya?
Hii tabia ya kuleta watu bila kujua tamaduni zao...
KINGO SR
KAMWENE...
Ukipitia historia utakumbuka kuwa waholanzi walianza kutawala vichwa vya habari tangu Karne ya 14 huko katika masuala mbalimbali..tangu enzi za akina Jan van Riebeck katika...
Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp ameshinda tuzo ya kocha bora wa EPL wa mwezi Januari na kuweka historia ya kushinda tuzo hiyo mara nyingi ndani ya msimu mmoja. Ameshinda mara tano.
=====
Jürgen...
Nawahakikishieni kombe linaenda mikoani....hizi simba na yanga zinapambwa na vyombo vya habari ila kihalisia uwanjan hamna kitu....
Huu ndiyo ukweli...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpira ni dakika tisini. Ndivyo ilivyotokea leo. Poleni sana. Mpira wenu kwa kweli umerudi nyuma sana siyo kama wakati wa Patrick ausemms. Mjitafakari muone kuna tatizo wapi. Lile boli la kutandaza...
Klabu ya Simba ya Tanzania imethibitisha kumsajili winga Luis Jose Miquisone kutoka kutoka klabu ya UD Songo ya Mozambique ambayo ndiyo bingwa mtetezi wa ligi kuu ya nchi hiyo.
Kiungo huyo tayari...
Ukiangalia vizuri tatizo hili ni kwa karbu kwa refarees wote wa TPL kutoa maamuzi yaliyo tata utadhani hawajui sheria; hivyo TFF kuna kitu wanatuficha wadau wa soka aidha kuna maagizo hivyo...
Kuna malalmiko mengi yanatolewa na timu kuhusu vyumba kupuliziwa dawa. wachezaji wasipoingia TFF mnakuja na adhabu pasipo kuchunguza kimsingi hii si haki na si sehemu ya kutatua tatizo msingoje...