Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wakuu habari zenu? Wakuu nilikuwa nataka niwashauri na wewe pia toa ushauri wako nini kifanyike ili marefa wetu wa ligi yetu pendwa ya bongo wawe wanatoa uamuzi sahihi na wa ukweli kama ilivyo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Vilabu vya kama Man United,Juventus ,Man city, Inter Millan,PSG zinasaka saini ya Messi. Kwenye chapisho la gazeti inayoita La Gazzete Lionel Messi amekaririwa akisema anataka kwenda kwenye...
0 Reactions
2 Replies
802 Views
Wakuu naomba kuuliza. Hivi TFF hawaoni madudu yanayoendelea katika League ya Mpira wa Miguu Tanzania? Timu zinapewa ushindi kwa makosa ya wazi. Wachezaji kuwa offside. Muda wa nyongeza kuzidishwa...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Oya wazee vp kijana wetu happygod huko benfica.. Sababu kila kukicha ni samatta tu... Tupeni updates za role model wetu anayekiwasha sana stars.
2 Reactions
23 Replies
5K Views
Jezi ya nyumbani ya Aston Villa kwa UK inauzwa kwa paundi 55. Kumbuka paundi moja ni shilingi 3013.67. 55*3013.67=165715 Halafu hapa mnatuuzia jezi Tsh 30000 na kutuambia original. Bongo...
3 Reactions
47 Replies
9K Views
Mechi zote zina makosa mengi ya namna hiyo.Kuna wengine wamenyimwa kufunga kwa kupigiwa kipenga cha offside wakati ukweli hawakuwa wamezidi. Na inakuwaje kuwa mwamuzi anaona mpira umetoka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mpira unaendelea uwanja wa Taifa, Matokeo mpka sasa YANGA 2 , LIPULI 1 Wafungaji. Balama 13, Morrison 31, Mwaseba 58,(lipuli) Na mpira umeisha, FT YANGA 2,LIPULI 1 Cc Zero iq Sent...
3 Reactions
140 Replies
13K Views
Ukiwa nje aikuumi Ila ukiwa ndan ya uwanja utaelewa upuuzi na ujinga uuvumilie ama umalizane na refa Hapo nyuma wachezaji wa yanga kadhaa walipiga mwamuzi pamoja na kukimbia bado aliyapata...
0 Reactions
1 Replies
952 Views
Kiukweli timu ya Simba inashinda mechi zake kwa mbinde ikionekana kupata matokeo kwa bahati na sibu tu, pengine kwa kusaidiwa na udhaifu wa waamuzi na mipango ya nje ya uwanja. Kama TFF na...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Pengine camera zitegwe usawa wa kona za uwanja hasa eneo la pitch,kwenye vibendera kuelekea golini nyuzi 90,inaweza kusaidia warefa wetu kujua kama ni goli ama vinginevyo maana sasa hata timu...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwakweli hadi inaboa sio kwa mbeleko hizi aiseee kweli mpira wa bongo utachelewa sana kuendelea ndo mana marefa wa tanzania hawachezeshi michuano mikubwa Sent using Jamii Forums mobile app
12 Reactions
121 Replies
11K Views
huyu jamaa mimi nilishamshtukiaga, maana alikua anampost sana samatta, kwenye kipindi chake cha michezo clouds anampigia sana debe samatta, sisi wataalamu tukahisi kabisa huyu jamaa atakua ndie...
11 Reactions
27 Replies
8K Views
Leo ni kumbukizi ya siku ya kuzaliwa ya Mshambuliaji wa club ya Juventus Cristiano Ronaldo ambaye ametimiza miaka 35. Mshambuliaji huyu ni miongoni wa wanasoka mahiri walio na wafuasi wengi zaidi...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Hakika nimekuwa nashangazwa na kauli ya Yanga na Mashabiki wake kuwa Simba inabebwa na Marefa.Binafsi napinga kwa sababu Uwanjani kuna Watu wengi wenye dhamana na mpira wanaofuatilia mambo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mimi ni shabiki wa Simba,ila aina ya uchezaji wa Simba kwa dunia ya sasa unaweza kufungwa hata na timu ya umitashumta. Mchezo upo slow,skills duni,na kushindwa kujituma ipasavyo. Kuna timu...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Imekuwa nitabia kwa waamuzi kwenye mechi nyingi za Simba na Yanga wakiwa wamefungwa na mechi inaenda ukingoni wanakuwa wanaongeza dakika nyingi ikifika dk 90 na hili nimeona mechi ya Simba vs...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara Vodacom Premier League VPL, kuendelea tena leo February 4, 2020 ambapo, Simba SC, Wekundu wa Msimbazi, wanawakaribisha Maafande wa Polisi Tanzania, mchezo...
6 Reactions
190 Replies
19K Views
Samatta ni mchezaji mkubwa aliepitia changamoto nyingi hadi kufika pale alipo. Sidhani kama anapaswa kuhangaika na maoni ya mashabiki wake kwenye mitandao. Hakuna kocha au mchezaji mkubwa makini...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mahakama moja ya Korea Kusini imeambia mwandalizi wa mechi kuwalipa fidia mashabiki wawili baada ya Cristiano Ronaldo kutocheza katika mechi ya kirafiki ya Juventus kama ilivyotangazwa. Mashabiki...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwanini laliga ni ligi bora? Imetoa mchezaji bora wa dunia kwa miaka kumi mfululizo Mwaka huu ya mchezaji bora wa ulaya imeenda kwa mchezaji wa Uingereza ligi Namba mbili kwa ubora Ilà. Tuzo ya...
14 Reactions
81 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…