Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Natumia kisimbusi cha startimes na hivi karibuni waliahidi kuonyesha mashindano ya emirates kwa kuanzia kifurushi cha 21,000/= Ajabu ni kuwa mi sioni chochote, kila nikitembelea channel zao za...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mashabiki wengi wa soka walishangazwa na uwezo mdogo uliooneshwa na klabu ya soka ya Simba na kujikuta wakitolewa mapema katika michuano ya kombe la Kagame huku ikidhalilishwa na klabu ya Azam FC...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kobe Bryant's glittering 20-year NBA career ends with season-high 60 points as Los Angeles Lakers legend leads win over Utah Jazz Los Angeles Lakers icon Kobe Bryant's final NBA match came...
1 Reactions
15 Replies
5K Views
Nimejaribu kuangalia hii clip alipokutana na wachezaji Samatta na Ulimwengu nadhani ni Airport nimegundua JK alikuwa kiongozi mtia matumaini na sio mtishaji watu. Hakuwa mtu wa kujimwambafai...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Ladies and Gentlemen, In less than ten minutes the die will be cast.Nani zaidi... Go Magic...Go Lakers...Kazi kwenu!
0 Reactions
198 Replies
14K Views
Ukweli mchungu. Ila mwenye macho haambiwi tazama. Mikoani. Dar kila maali ni simba brother. kama nimfuatiliaji mzuri wa mechi utagundua simba ndio tim yenye washabiki wengi bara na visiwani...
9 Reactions
84 Replies
26K Views
Nikirudi kwenye match yenyewe. Tumepata kocha kwa hizi match tatu kwa upande wang a xxu nimeridhika naye ingawa match mbili tulipoteza. Na tulipoteza kwa mistake za kitoto za wachezaji, team kama...
8 Reactions
34 Replies
3K Views
Kutokana na matokeo ya kutoridhisha naushauri Uongozi wa Yanga uhamishie mechi zake za nyumbani Kwenye Uwanja wao wa Kaunda Sports Arena. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakereketwa wa chama jipya ama timu ya taifa ya Aston Villa wameamua kufungua tawi jipya ya mpira huko BUZA KWA LULENGE. Lengo likiwa ni kusapoti chama. Aidha, wanachama wa tawi hilo wameomba...
9 Reactions
21 Replies
3K Views
Kila nikifungua App ya Azam ili nicheki game ya Simba na Kagera Live hamna kitu, mwenye kujua nini kimewapata hawa jamaa atujuze.
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Kwa wale tuliokuwa tunadanganywa na vyombo vya habari kuhusu Samatta kufuatiliwa n'a team za overtone na leicester naona haikuwa ukweli. Huyo jamaa uwezo wake ni wakawaida sana sema bahati ndio...
9 Reactions
108 Replies
17K Views
Nimesikia wazungu wamekutafuta uwape details kuhusu Mbwana Samatta. Na wewe ukaahidi utawaambia kuwa tunao wachezaji aina ya Samatta wengi. Sina tatizo kabisa na details za Samatta. Sina shida na...
18 Reactions
77 Replies
7K Views
Tupunguze maneno hebu angalia hii 👇
11 Reactions
33 Replies
4K Views
Nimekaa na kutafakari sana juu la hili jambo, Shaffi Dauda ameweza kufanya vitu vingi Sana kwenye mchezo wa soka hapa nchini, Nakumbuka mwaka 2014 aliweza kubuni soka la ufukweni wakishirikiana...
13 Reactions
43 Replies
5K Views
Kwa mujibu wa takwimu ambazo zimetolewa na mtandao wa Result Sports ambao unajihusisha na utoaji takwimu za wanamichezo, klabu, ligi na mashirikisho, umeitaja klabu ya Simba SC kuwa ya 151 duniani...
5 Reactions
42 Replies
7K Views
LIONEL MESSI KATIKATI YA FURAHA KUBWA NI MAJONZI MAKUBWA MWISHONI . Usiku mmoja wa 1987 kitongoji cha Rosario Centro nchini Argentina alizaliwa Lionel Andres Messi Cucittini 'La Purga' binadamu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mashabiki wa soka hatarini kupata msongo wa mawazo . Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa Oxford umebaini kuwa mashabiki kindakindaki wa mpira wa miguu hupata msongo wa mawazo wanapokuwa wakitazama...
0 Reactions
2 Replies
971 Views
Umoja wa vilabu vilivyofungwa na LIVERPOOL (UVIVIL) wamesema kwa sasa wanamuachia MUNGU kwa yanayotokea sasa
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Naomba msaada kwa anayejua utaratibu gani unatumika kusajiri football academy.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
..
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…