Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Timu ya soka ya Napoli ya Italy imemfukuza kazi aliyekuwa kocha wao Carlo Ancelotti masaa machache baada ya kuiongoza timu hiyo kuingia hatua ya mtoano kwenye Champions League. Ancelotti ambaye...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
aman iwe nanyi wakuu wa jukwaa hili Bwana awe nanyi wakuu Naseleleka nayo kama kawa kama dawa Msinichoshe nisiwachoshe Liverpool Chelsea Real Madrid Barcelona Juventus Bayern munchen Hawa ndo...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Hivi everton wamemchukua ancelotti huku arsenal wakimchukua artena ambae hajawahi ku manage timu kubwa. Nimejuja kugundua tatizo la arsenal sio wachezaji bali ni board. Board inafanya gambling na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mpo humu . Nahtaj msaada wen Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Barcelona anapewa nafasi kubwa kushinda gemu ya leo kwa sababu wana mchezaji bora duniani Messi na faida ya kucheza nyumbani lakini Zidane amesema Yes we can kwenye interview leo so inawezekana...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Kiungo wa Arsenal Mesut Ozil ameondoshwa kwenye mchezo wa video wa Pro Evolution Soccer (PES) 2020 toleo la Uchina baada ya kuikosoa nchi hiyo kwa kuwatesa jamii ya Waislamu ya Uighur. Ozil, 31...
5 Reactions
11 Replies
3K Views
Imebidi niulize maana ni miaka mingi namsikia akitambulishwa kama Katibu mkuu wa CECAFA , kwa kumbukumbu zangu katika uongozi wa Musonye ndio kipindi ambacho michuano hii maarufu sana imepoteza...
3 Reactions
47 Replies
4K Views
Hivi Africa Mashariki hakuna mtu mwingine zaidi yake au CECAFA ni kampuni yake na ana hisa nyingi? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Kutokana na hali ngumu ya fedha ktk Klabu ya Yanga, nashauri uongozi Usajili wachezaji wenye mapenzi na Yanga na sio mishahara. Wachezaji hao wapo na suala la uongozi kutangaza tu. Sent using...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naangalia mechi ya Kili Stars na Kenya, mpaka mapumziko wamepigwa 2:0 Wameishiwa mbinu,wamekata tamaa.Staili ya uchezaji ni ile ile toka mechi ya kwanza. Timu inafungwa kocha haonesha kuwapa...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Wakati anaingia kuchukua nafasi ya Jonas Mkude Kili Stars ilikua imezidiwa kabsa eneoa lote la kiungo. Mzamiru alikua kapotea vibaya. Mkude alikua hoi kachoka hali iliyopelekea kufanya faulo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu kwa habari za kunyapianyapia zinasema yule fundi wa mpira kutokea kwa kagame Haruna Niyonzima aka Fabregas anatarajiwa kujiunga na timu ya Yanga kwa mara nyingine tena ndani ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Baada ya kuangalia mechi ya kwanza ya timu ya Kill Stars iliyochini ya Mgunda kama head coach namna ilivyo disorganized na inacheza bila mipango yoyote, MO amekuja na ahadi ambayo anajua kabisa...
1 Reactions
52 Replies
8K Views
Tuzo ya Ballon d'Or ya 2019 inatarajiwa kutolewa leo Desemba 2, 2019, huko Theatre du Chatelet, Paris. Sherehe rasmi itaanza saa 19:30 GMT (1:00am, Desemba 3, IST). Luka Modric alishinda tuzo ya...
8 Reactions
307 Replies
27K Views
Ilikuwa ni Eritrea na Kenya, msikilize mtangazaji mahiri ambaye simjui jina alichokisema
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa huruma kubwa sana naiomba TFF kuizuia timu ya Yanga kusajili wachezaji wapya ili kuipunguzia mzigo wa madeni , iendelee na wachezaji ilionao ili iweze kupunguza madeni. Nawaasa wachezaji wa...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Kurudia ruksa. 1)Manchester city kubeba ligi ya Uingereza,FA, na kutinga fainali ya uefa 2)liverpool 90+ points bila kutwaa ligi. 3)United kushushwa daraja
3 Reactions
62 Replies
5K Views
duuh mechi za leo zimechanika kisenge yani huko England mambo si shwari timu ndogo zimewakazia wakubwa Sent using Jamii Forums mobile app
4 Reactions
49 Replies
8K Views
Wadau hili suala huwa linanitatanisha sana! Hivi inakuwaje Zanzibar inashiriki mashindano ya Vilabu ya CAF ilihali sio mwanachama, na ndiyo linapokuja suala la Timu ya Taifa inayotambuliwa ni ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Barcelona itatwaa ubingwa wa uefa Champion league Itacheza fainali na PSG Hakuna timu ya EPL itafika hatar robo final Sent using Jamii Forums mobile app
5 Reactions
40 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…