Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hata kule ulaya mechi za katikati ya wiki huwa zinachezwa usiku tofauti na za week end ili kuwapa mashabiki wengi kuburudika.Sasa nyinyi mechi za katikati ya wiki mnacheza saa kumi jioni hii...
3 Reactions
11 Replies
465 Views
Bodi ya ligi kamati ya nidhamu zote zipo kimya hawatuelezi hatua gani wamemchukulia kocha wa yanga Gamondi kwa kitendo cha kumpiga kiongozi mwenzie mbele ya kamera za azam tv kila mmoja anaona na...
9 Reactions
71 Replies
1K Views
https://youtu.be/dOwiPeW_QG4?si=VNT4ZThdodLiWfJb Siri ya Yanga kupata matokeo isiyostahili kipindi cha pili imebainika. Sasa tutashinikiza mamlaka za michezo ikiwemo CAF, TFF na FIFA zifanye...
4 Reactions
51 Replies
3K Views
Hivi Boka ukiachana na miguu yake mirefu , kunyoa ndevu zake kama Sadart yule muimba bolingo wa bendi ya Fmacademia na mbio zake zisizo na plani kama yule nguruwe pori maarufu kwa sasa kama...
1 Reactions
14 Replies
483 Views
Habari za mchana, kwa uchache wa maneno ukijaribu kufatilia kuanzi mechi ya kwanza had imefikia sasa mzunguko wa8 kwa baadhi ya timu, utaona utaona hamna mechi hata moja iliyoihusisha Simba, Yanga...
1 Reactions
0 Replies
164 Views
-Simba vs Kmc Moja kati ya Timu iliyochangia Simba kukosa ubingwa misimu ya hivi karibuni ni Kmc...Simba amekuwa akipata changamoto sana anapokutana na Kmc hasa mzunguko wa kwanza. Msimu uliopita...
2 Reactions
13 Replies
735 Views
Majeraha ya mara kwa mara yanayomkumba nyota wa soka Neymar sasa yamezua sintofahamu kubwa juu ya hatima yake katika klabu ya Al-Hilal. Kulingana na ripoti ya hivi karibuni kutoka Fichajes, klabu...
0 Reactions
2 Replies
351 Views
Mshambuliaji wa Real Madrid Kylian Mbappe amechoshwa na mfumo wa kutumika kama mshambuliaji wa kati jambo ambalo anaamini kuwa imesababisha kuwa na mwanzo mbaya Madrid. Kylian Mbappe ameomba...
4 Reactions
16 Replies
885 Views
Mnyama Simba SC baada ya kupata ushindi mechi iliyopita ugenini mkoani Kigoma, anarudi nyumbani ambapo kesho Jumatano atakuwa KMC Complex akiwakaribisha KMC FC Mechi hii itapigwa kuanzia saa...
10 Reactions
253 Replies
11K Views
Inasikitisha sana kuona bodi ya Ligi inakosa uweledi kiasi hiki, Yanga imecheza michezo yake minne mfululizo bila kupumzika, tena ikisafiri hapa na pale, Pamoja na ugumu wote huo bado...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Mtuhumiwa: Ali Ahmed Ali (Shiboli) Shauri ni jipya Mshtakiwa amesomewa shtaka lake na Mwendesha Mashtaka Juma Ali Juma mbele ya Jaji Salum Hassan Bakar. Mshtakiwa amekata shtaka lake. Mtuhumiwa...
3 Reactions
39 Replies
2K Views
Mshambuliaji Simon Msuva, Beki Shomari Kapombe na Mlinda mlango Aishi Manula wamerejeshwa kwenye kikosi cha Taifa Stars kwa ajili ya michezo miwili ya kufuzu AFCON 2025. Taifa Stars itacheza...
1 Reactions
8 Replies
813 Views
Taarifa kutoka tovuti ya michezo ya Brazil, UOL, zinaeleza kuwa klabu ya Saudi Arabia, Al-Hilal, inafikiria kuvunja mkataba wa Neymar Jr. mapema mwezi Januari. Uamuzi huu unachangiwa na majeraha...
0 Reactions
1 Replies
590 Views
Yanga sio timu kubwa bali ni timu kongwe, Sisi na Yanga hatutofautiani kwakuwa wao wanalala kwenye hotel ya nyota 5 na sisi tunalala hotel ya Nyota 5, Sisi tuna Bus kubwa kuliko wao kwahiyo sisi...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Beki wa kushoto wa Simba SC, Valentin Nouma amerejeshwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Burkina Faso (The Stallions), kinachojiandaa kucheza michezo miwili ya kufuzu AFCON 2025, huku nyota wa...
10 Reactions
34 Replies
2K Views
Yaani inaonekana upo kabisa kwenye DNA ya binadamu hata mtoto akizaliwa Leo ana ABCs za mpira, inashangaza! Yaani huu mchezo unakuja automatically kama kujamiiana (uzazi). Hakuna anayefundishwa...
2 Reactions
17 Replies
498 Views
Huyu mchezaji anapewa muda wa kutosha. hatuoni aki assist au kutengeneza chance za magoli. Mwisho kabisa hatuoni akifunga. Je, kwa nafasi yake uwanjani kuna kipi cha zaidi ambacho sisi...
9 Reactions
32 Replies
4K Views
Picha za mjongeo kutoka kwenye CCTV za dimba la Chamazi zikionesha Mtu akimwaga vitu eneo la kuingilia uwanjani, punde tu baada ya Azam kukabidhi uwanja kwa mamlaka kuelekea mchezo wao dhidi ya...
7 Reactions
38 Replies
2K Views
Aliyebuni hiki kitu,mbinguni moja kwa moja Sehemu ninayoishi kuna mashabiki wengi sana wa Simba,mashabiki wa Simba kwa pamoja wana kikundi chao kiingilio ni 5000 na michango ya 1000 kwa mwezi...
4 Reactions
3 Replies
430 Views
Niaje wanamichezo Kwakweli kwa siku hizi nimepunguza mno kufuatilia mpira wa ulaya ila kwa mara chache naingiaga soccer 24 kuchungulia matokeo pale naposikia kuna game Ajabu nimeingia kuchungulia...
2 Reactions
6 Replies
511 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…