Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ibrahim Rajab Juma "JEBA" Mchezaji wa Zamani wa AZAM FC, Mtibwa FC na Chuoni FC aliefariki 18-9-2019 Unguja, Zanzibar! JEBA pia aliwahi kuchezea timu ya Taifa ya Vijana. Jeba aliingia AZAM FC...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Simba imetangaza bajeti ya Sh6.1 bilioni kwa msimu huu 2019/2020 katika kuhakikisha klabu hiyo itatetea ubingwa wake wa Ligi Kuu Tanzania Bara na kurudi katika Ligi ya Mabingwa msimu ujao. Bajeti...
4 Reactions
14 Replies
3K Views
Katika taarifa za kushtusha inatipotiwa kwamba kocha wa Man City Pep Guardiola amekubaliana kwa mdomo kujiunga na Juventus. Mwandishi wa habari Luigi Guelpa ameiambia radio ya CRC kwamba chanzo...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Sadio Mane (Liverpool star) said that his parents have been telling him pursuit football career was a waste of time, right up until he signed his first contract in 2011 with Metz, before moving to...
2 Reactions
16 Replies
4K Views
Nimeuangalia mchezo wa Kil Stars toka dk ya 12 ya mchezo. Pamoja na mapungufu ya mchezaji mmoja mmoja lakn kocha kaonyesha mapungufu mengi na makubwa ya kimbinu. 1. Timu ilimshinda kuipanga...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
EXCLUSIVE: "Nimeandika barua ya kuvunja mkataba na Yanga kwa sababu sijalipwa mishahara yangu kwa muda wa miezi mitatu sasa. Mimi ni raia wa kigeni unategemea nitaishi vipi hapa"-Lamine Moro...
5 Reactions
68 Replies
8K Views
WanaYanga nawasalimu.Kupitia mitandao tunaona picha za Uwanja wa Yanga huko kigamboni.Hebu tupeni dondoo hizi habari ni za kweli?
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Nadhani yatupasa tusimlaumu wala kumsema vibaya Bondia Selaman Saidi kwa aibu ya Kufungia mwaka aliyotupa Watanzania jana pale nchini Saudi Arabia bali badala yake nadhani Watanzania wote hasa kwa...
5 Reactions
9 Replies
3K Views
Huyu jamaa toka day 1 alipochaguliwa kuwa m/kiti wa timu alishashindwa vibaya. Siku ya kwanza tu kuanza kazi aligeuka kocha kwenye vyumba vya kuvalia nguo huko Samora ambapo Yanga ilichezea...
5 Reactions
24 Replies
3K Views
Wakuu, nasikitika sana kuona jinsi hao mabondia Wabongo (kweli mimi nawaita panya road) wanavyogongwa knock out nyepesi tu. Hivi wametoka wapi hawa? Huyo wa pili karibu afe ulingoni round ya...
8 Reactions
108 Replies
15K Views
1.Aishi Manula 2.Mwaita Gereza 3.Mohamed Hussein 4.Bakari Nondo Mwamnyeto 5.Kelvin Yondani 6.Jonas Mkude 7.Cleoface Mkandala 8.Mzamiru Yassin 9.Paul Nonga 10.Lukas Kikoti 11.Miraji...
0 Reactions
4 Replies
937 Views
Uzi tayar Hakuna kitu pale, Na ndomana wanamkwepesha asikutane na wilder
2 Reactions
31 Replies
3K Views
[emoji1211] Sadio Mané has built a school in his local village in Senegal at a cost of €270,000. [emoji541] He has also built a hospital and financed a stadium for the people. [emoji122]Mane...
23 Reactions
78 Replies
9K Views
Harambee Stars leo lazima wakalishwe dhidi ya Kilimanjaro Stars. Mungu Ibariki Tanzania!!
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ballondoir ya mwaka huu imekuwa ya utata sana kama zilivyokuwa nyingine za miaka ya karibuni. Mshindi wa Ballondoir wa mwaka 2019( Lionel Messi) naye ameshindwa kukaa kimya na kukiri kuwa Mchezaji...
5 Reactions
50 Replies
6K Views
KIKOSI CHA MWISHO CHA KILIMANJARO STARS Benchi la ufundi la timu ya taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ limetaja orodha ya mwisho ya wachezaji 22 wanaoondoka kuelekea nchini Uganda...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Bondia Antony Joshua amefanikiwa kumshinda kwa points hasimu wake mkubwa Andy Ruiz Jr na kufanikiwa kutwaa mikanda iliyokuwa ikishikiliwa na Ruiz. AJ alikuwa akipigana kwa tahadhari kubwa.
0 Reactions
16 Replies
3K Views
This folk is so talented. Nashangaa kwanini yupo team ndogo kama Crystal Palace, kwanini walau asiwe hata Arsenal. Akiwa na mpira una enjoy kumtizama, anajiamini, ana skills za kutosha, ana...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Salaam nyingi zikufikie hapo ulipo na Pole na majukumu yako ya kitaifa. Napenda kukuomba uwaulize watu wa Boxing, hivi wale mabondia watanzania walio pambana Jana kwenye pambano la Antony Joshua...
2 Reactions
1 Replies
849 Views
Habari zilizopo ni kwamba mshambuliaji wa Yanga Sidney ameandika barua ya kuomba kuvunjwa kwa mkataba wake. Leo pia striker Molinga ameomba kujitoa Yanga kutokana na kutolipwa mishahara kwa...
9 Reactions
46 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…