Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Leo Andy Luiz atajuta kumfahamu bondia kipenzi cha GENTAMYCINE Antony Joshua. Kwa wale ambao 'mnabeti' tayari nimeshapewa matokeo na 'mtaalam' wangu kutumia nujumu / tabiri zake ambapo 'Kibonge'...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Nikiwa kama Mmoja wa Watu niliochukizwa kama siyo kukasirishwa na Kitendo Bondia Mwakinyo cha Kumdhihaki Bondia mwenye Historia iliyotukuka hapa Tanzania Rashid Matumla hadi GENTAMYCINE...
8 Reactions
27 Replies
4K Views
Jana kulikuwa na mpambano mkali wa ngumi baina ya Anthony Joshua na Ruiz Jr. Yeyote aliyeshuhudia pambano hilo aliona jinsi Anthony Joshua alivyokuwa anakwepa staili ya kuegemea kamba. Kila Ruiz...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Bingwa wa uzito wa juu duniani anayeshikilia mikanda mitatu mikubwa Antony Joshua 'AJ' kesho alfajiri atapanda ulingoni kwenye pambano lake ya 23 kuchapana na Mmexico Andy Ruiz Jr. Hapo awali...
1 Reactions
84 Replies
12K Views
Viongozi bisheni hii
0 Reactions
2 Replies
832 Views
Kwako Pep Guardiola ..! Mimi nikiwa kama shabiki wa Man City ninayewakilisha mashabiki wa Man City nchini Tanganyika ninaomba ufanya mambo yafuatayo katika mechi dhidi ya Liverpool itakayopigwa...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
For much of their existence, Manchester City have sat firmly in United’s shadow. In 1999, when legendary United manager Sir Alex Ferguson’s illustrious side won an unprecedented treble, City were...
1 Reactions
1 Replies
904 Views
Wadau kwa mazingira yangu imekua ngumu kufuatilia mechi za EPL mabanda umiza...naulizia Leo game ya Liverpool na Bournemouth itarushwa na Azam UTV? Niko shamba.
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Baada ya Chelsea kuruhusiwa kusajili uongozi wa Chelsea umempa lampard paund mil 150 za usajili.Lampard amesema atasajili maeneo machache sana ambayo ameona Yana upungufu ndo maana nimewaambia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hatimaye aliyekuwa kocha wa klabu ya Simba Mr "uchebe" ameondolewa kuifundisha klabu hiyo.Kupitia page yake ya Instagram uchebe amethibisha hayo. Kocha wa Simba Mbelgiji, Patrick Aussems...
3 Reactions
96 Replies
17K Views
Promota wa AJ ametangaza rasmi uwepo wa rematch kati ya mteja wake na Andy Ruiz mnamo Nov/Dec ingawa bado haijajulikana itafanyikia wapi, hii ni baada ya AJ kupoteza pambano lake la kwanza kwa...
0 Reactions
91 Replies
10K Views
Mchezaji wa zamani aliyewahi kuzichezea timu za Simba na Yanga pamoja na timu ya taifa ya Tanzania Ally Yusuph Tigana, amefariki dunia leo katika Hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam baada ya...
3 Reactions
44 Replies
9K Views
Klabu ya Soka ya Chelsea imefanikiwa kupangua adhabu iliyokuwa imewekewa ya kutokusajili Wachezaji katika madirisha mawili ya usajili Mahakama ya Usuluhishi ya Michezo imetoa uamuzi kwa faida ya...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Dambe ndio Miereka yenye asili ya Afrika magharibi, lakini hivi karibuni imekuwa maarufu zaidi kutokana na kuwapo kwa video mbalimbali kutoka katika mtandao wa Youtube. Mchezo huo unahusisha...
0 Reactions
1 Replies
888 Views
Nimeona tetesi za kocha Suleiman matola kuwa ndio anakuja kuwa mrithi wa Aussems,kiuhalisia kwangu sioni kama ni mtu sahihi kabisa, Mimi sio hater wa matola bali ni mshabiki wake namba moja...
1 Reactions
50 Replies
8K Views
Kati ya hoja ambazo zinakuwa raised kuchallenge ubora wa The G.O.A.T Lionel Messi dhidi ya Cr7 na wengineo ni hii ya kucheza ligi moja ya Barcelona maisha yake yote ya soka. Sasa leo naomba...
21 Reactions
170 Replies
11K Views
Takwimu zinazungumza...[emoji116]
6 Reactions
60 Replies
9K Views
Aisee naomba kuuliza, Mwenye washabiki wengi ni Nani Kati ya Messi na Ronaldo? Kama Una facts zenye uhakika hebu nisaidie hapa
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Ifike muda nadharia hizi tuzilete katika mazingira halisia Unaposema Messi sio bora kwa kuwa amedumu katika ligi moja bila kutafuta challenge sehemu zingine hivi ulishawahi kujiuliza ugumu wa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…