Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Haiwezekani timu kali kama hiyo inafungwa na vile vizee vya Bayern Munich , how comes ? Huyu kocha hana uwezo wa kufundisha timu kubwa wala hajui kwanini yuko PSG .
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Aman iwe nanyi wakuu Kuanzia leo sitarudia tena kuzibetia hizi team mbili za kwa malikia yaan arsenal na man u Hizi team zimekuwa ni team za hovyo hovyo sana wachezaji wake wanacheza kama...
7 Reactions
17 Replies
2K Views
Kufatia kusuasua kwa Viungo wakabaji kama Wanyama, Nemanja Matic na Kante kumetoa nafasi kwa Mnigeria Wilfred Ndidi msimu huu kuwa katika fomu nzuri huku akiwapita kwa mbali sana wakabaji...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kipa wa Chivas Guadalajara Antonio Rodriguez afunga goli kutoka katika goli lake wakati timu yake ilipoibuka mshindi kwa magoli 3-1 dhidi ya klabu ya Veracruz katika ligi ya MX nchini Mexico.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa kifupi inapunguza radha ya soka na haina mvuto, mtu akizidi hata kidole offside au mpira umguse mchezaji hata mbali penati
2 Reactions
46 Replies
6K Views
Baada ya kukacha ushabiki wa mpira kwa muda mrefu sasa, wale mashabiki wa kocha mtukutu, mjuaji na mbeba vikombe tukutane tena.
7 Reactions
31 Replies
3K Views
Hivi TFF, chama cha siasa CCM, Wizara ya Habari, Michezo na Sanaa, Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Utalii + Wizara ya Sayansi na Teknolojia. Salamu zifike kwenu kwa wingi sana. Sasa wazo langu kwa...
3 Reactions
3 Replies
778 Views
Nov 29 Mwakinyo Fight Night, Do or Die Friday 2am. Main Stand Uhuru Stadium Temeke. Dar es Salaam, Tanzania NB: Boxing ndio mchezo pekee ambao Watanzania huwa wanaumudu, hivyo ipo haja ya mchezo...
0 Reactions
1 Replies
851 Views
Binafsi niwapongeze kwa dhati viongozi wa timu ya kagera sugar kwa uaminifu mkubwa waliounyesha kwa kocha wao mecky mexime, pamoja na timu kutofanya vizuri mwaka jana hadi kunusurika kushuka...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Maisha yanaenda kasi sana, juzi tu hapa tumetoka kumskia Wesley Sneidjer akisema anaamini kwamba angeweza kutajwa katika daraja moja na Cristiano Ronaldo pamoja na Lionel Messi kama angekuwa...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
Medie Kagere ametajwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kwenye orodha wachezaji wanaowania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka ngazi ya Vilabu 2019 (African Interclubs Player of the Year). Emmanuel...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mchezaji wa Mkali wa hockey wa Uingereza Sam Ward ambaye amepata ajali mbaya asema bado yupo kwenye game, na anatarajia kukaa vizuri ifikapo mwaka 2020 na kurudi mchezoni. "Tukio lisilokuwa la...
0 Reactions
1 Replies
792 Views
Baada ya mapumziko ya siku tatu, kikosi cha Simba leo kimerejea mazoezini kuendelea na maandalizi ya michezo ya ligi inayofuata Simba imejifua bila ya kocha wake Mkuu Patrick Aussems ambaye...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Emanuel Augustus/Emanuel Burton A.K.A Drunken Master amezaliwa January 2, 1975 Brownsville Marekani. Alianza mapambano kama professional boxer miaka ya 1990 hadi mwaka 2011. Huyu mtu hakupata...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama tunavojua kwa misimu yote ya nyuma, LFC hawana pumzi ya mbio za marathon, wataishia njiani! Majeruhi kwa Mo Salah, Mane na Firmino ubingwa kwaheri!
5 Reactions
65 Replies
6K Views
Shirikisho la soka barani Afrika CAF limemtaja mshambuliaji wa Simba SC Meddie Kagere, pamoja na mshambuliaji Emmanuel Okwi, ambaye msimu uliopita alikuwa sehemu ya kikosi cha Simba SC na kupata...
4 Reactions
18 Replies
4K Views
Bondia kutoka nchini Ufilipino Arnel Tinampay amewasili nchini Tanzania akiwa na daktari wake pamoja na mpishi wake tayari kwa ajili ya pambano litakolopigwa Novemba 29 mwaka huu katika uwanja wa...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Naomba kujuzwa muda mechi hii itakapochezwa. Naona kila mkiandika mnaandika mambo mengi ila hamsemi match ni saa ngapi.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Leo kutawakutanisha team ya man city vs Chelsea na inategemewa itakuwa game nzuri. tuanze kuona strength na weakness za Kila timu. Strength ya Chelsea Bahati nzuri kwa Chelsea leo trio...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Kesho alfajiri tutashuhudia pambano kubwa la uzito wa juu kati ya Deontay Wilder 'The Bronze Bomber' na Luis Ortiz 'KingKong', hili ni pambano la marudiano baada ya lile la awali liliyofanyika...
2 Reactions
140 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…