Floyd Mayweather kurudi ulingoni mwakani 2020 kwa mujibu wa Instagram yake!
Mayweather announced on Instagram he will pull on the gloves again, with UFC president Dana White then taking to...
Kupitia page ya shirikisho la mpira barani africa, wametoa orodha hiyo.
Ni hatua kubwa kwake kuwekwa kwenye orodha. Kushinda ni swala lingine.
Ningeshangaa kam asingewekwa maana kwangu alikidhi...
Magoli Magoli Magoli 700 ,ndivyo unavyoweza kimuita Leo Cristiano Ronaldo ,CR 700 ,baada ya hapo jana kufunga goli la penati kwa Ukraine MNYAMA na mtambo wa kusimamia nyavu CR 7 AMEFIKISHA MAGOLI...
Kwanza nikiri kwamba sikuwa na habari kama bondia wetu Abdallah Paziwapazi kama kapata bahati ya kupata pambano kubwa hivi, nasema kubwa kwa maana bondia aliyepigana naye 'Rocky Fielding' ni...
Katika michuano inayoendelea sasa hivi ya CECAFA SENIOR WOMEN CHAMPIONSHIP, Kilimanjaro Queen's imekuwa na muunganiko mzuri. Ukiwa unaiangalia timu hii unaona ule muunganiko mzuri.
Pia unaona...
Tuache Unafiki Wewe Kiongozi (tena Mwandamizi kabisa) uliyeko hapo TFF acha Chuki zako kwa Kipa Aishi Manula kwakuwa tu umekasirika hakukupa ' Mgao ' kidogo katika ile Hela ambayo alizawadiwa na...
Anapokuwa Timu ya Taifa huwa naangalia uzuri wa Samatta ambao natarajia kuuona, siuoni. Sikumbuki ni lini amewahi kutuokoa kwenye hali tete zaidi ya kufunga magoli rahisi na ya kawaida.
Tena bora...
.
Kitakwimu, No doubt hakuna team ambayo imefunga magoli mengi premier league msimu huu so far kuliko man city (35), Hakuna team yenye wastani mzuri wa umiliki wa mpira/possession zaidi ya...
Kwa mabeki wa kulia waliopo sasa ukimtoa Kapombe nazani beki bora anaefuatia ni Juma Abdul. Hapo nyuma Zahera alimshusha kiwango kwa kumuweka bechi bila sababu.Kwa tulioangalia vzr mechi za Stars...
Kocha wa wekundu wa msimbazi kasema alikuwa miongoni mwa makocha waliokuwa wanafikiriwa kuajiriwa na Tottenham Hotspurs. Simba iko juu
====
Kocha wa Simba, Patrick Aussems amerudi na kusimamia...
Akizungumza leo Msemaji wa M-Bet Tanzania amesema wamefikia hatua hiyo ya kudhamini ligi hiyo ya Ruvuma Vijana Cup Ikiwa ni muendelezo wao wa kusapoti kuibuliwa kwa vipaji vya vijana wa Kitanzania...
Klabu ya Tottenham Hotspurs imemfuta kazi Kocha wake Mauricio Pochettino mwenye miaka 47, baada ya kuiongoza timu hiyo kwa miaka mitano
Taarifa ya timu inasema matokeo ya mwishoni kwa ligi za...
THE RETURN OF THE KING
Mourinho anarudi katika EPL kuifundisha Spurs baada ya Spurs kuwa wameachana na kocha wao Pochetino kutokana na kile walichosema ni kutokana na mwendelezo mbovu wa matokeo...
Baada ya mijadala mitandaoni, hii ni kauli ya Mbwana Samatta. Je, tutarajie mabadiliko yoyote kutoka kwa Captain, au ataendelea kupuyanga?
Je, kwa Tweet yake hii ni kweli amegundua alikuwa hajitumi?
Our team in the U17 World Cup:
7 matches
7 wins
19 goals scored
6 goals conceded
Winners of the tournament and 100% in all competition.
Great generation incoming🇧🇷 Reliquias Brasileiras🇧🇷 on...
Kwa miaka ya karibuni tumeshuhudia timu ya taifa ya wanawake kuwa tishio barani Afrika. Ikishinda makombe mfululizo katika mashindano ya CECAFA, COSAFA n.k. Kwa nini haipo hivyo kwa upande wa...