Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

JUMATATU iliyopita, Cristiano Ronaldo alifikisha bao lake la 700 katika maisha yake ya soka, wakati alipofunga mara moja akiwa na Ureno kwenye mechi ya kipigo kutoka kwa Ukraine kwenye...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Hawa jamaa wamefungwa kizembe sana, kwanza wametumia kodi zetu vibaya na huu ni uhujumu uchumi. Wanafaa wakifika watandikwe viboko ili wajue kuipigania nchi sio kuchekacheka hovyo uwanjani.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kikosi cha Brazil cha umri chini ya miaka 17 kimenyakuwa kombe la dunia baada ya kuinyuka Mexico kwa bao 2-1 katika mchezo wa fainali. Pamoja na kunyakuwa kombe hilo pia mchezaji wa Brazil...
1 Reactions
4 Replies
983 Views
Huyu ni moja kati ya mastriker mahiri kabisa wa Dar Es Salaam Young Africans. Jina lake anaitwa Mohamed Hussein " Mmachinga" . Bingwa wa kucheka na nyavu. Yupo wapi huyu jamaa ?
3 Reactions
37 Replies
13K Views
Taarifa zinaeleza kuwa wawakilishi wa Jose Mourinho na wale wa Klabu ya Tottenham wamekuwa kwenye mazungumzo kuhusi jambo hilo Wanatarajiwa kufikia makubaliano yatakayomfanya Jose Mourinho awe...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ronaldo vs. Messi: career hat-tricks, goals, season statistics, trophies http://messivsronaldo.net/all-time-stats/ but wote tunajua hizi sifa Hapa chini CR7 hana,hivyo messi ataendelea kuwa juu ya...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Mshambuliaji machachari wa real Madrid ambaye pia aliwakuichezea Chelsea ametoa utabiri wake kuhusu game kubwa itakayofanyika jumamosi itakao wakutanisha man city ambaye anashika nafasi ya 4 vs...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa Hali ilivyo,isiporekebishwa Simba kukosa mbadala waKagere na Boko NI jambo hatari Sana. Na hili limejitokeza baada ya majeraha ya Boko.Watu wakimkamata Mk14 gemu imeisha,NI heri wangmwacha...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Juma Kaseja 7 Salum Kimenya 5 Mohammed Hussein 7 Kelvin Yondan 6.5 Jamal Mwamnyeto 7 Mzamiri Yassin 8.5 Abubakar Salum 8 Simon Msuva 8 Mbwana Samatta 3 Farid Mussa 7 Ditram Nchimbi 8 Sub...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
ARSENAL ilianza kuharibika lini? Ilipojenga uwanja wake wa Emirates. Ilikuwa inatesa sana ikiwa katika uwanja wa Highbury lakini tangu walipohamia Emirates habari ikageuka. Natania tu, lakini kuna...
1 Reactions
1 Replies
996 Views
Mpira wa Afrika umejaa figisu bila miamala hauendi. Juzi E Gine tumeshinda mbili kwa moja lakini ukiangalia penati ya Samata ilikuwa wazi kabisa Refa akatupotezea bila juhudi binafsi za wacheji...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Ni dhahiri kuwa timu ya Taifa kwasasa ipo kwenye kiwango kizuri sana (kinavutia). Leo tarehe 19.11.2019 majira ya saa 22:00 timu yetu ya taifa (taifa stars) itashuka dimbani kumenyena na Libya ni...
4 Reactions
334 Replies
26K Views
Hatumlamu ila baada ya mechi ni wajibu wetu mashabiki kutathimini tumekosea wapi. Kitendo cha benchi la ufundi kumtoa Salum Kimenya limetughalimu sn. Ni mechi ambayo ilikua upande wetu ila baada...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama kweli una nia ya kuupeleka mbele mchezo wa boxing bongo acha kupigana na aina hii ya wapinzani, hawatakupeleka popote. Mtu ana loss 24 unapigana naye ili iweje, ili akupeleke wapi? He is...
6 Reactions
49 Replies
9K Views
WanaJF, Safarini Tunisia kupambana na Libya. Msimamo wa makundi hadi sasa.
5 Reactions
38 Replies
4K Views
Nimekaa na wazee hapa, wanabishana kuwa Sunday Manara "Computer" ndiye mchezaji bora kabisa kuwahi kutokea nchini Tanzania. Ila miongoni mwao wapo wanaosema hakuna kama Edibily Jonas Lunyamila...
6 Reactions
57 Replies
8K Views
Wakuu, hizi habari zilinazotrend toka Jana kuwa jamaa kaikacha msimbazi then kaonekana JK Nyerer Airport kana kwamba anakwea pipa. Pia, inasemekana kuwa pale msimbazi wamevunja whole bench la...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Mechi za kirafiki za Brazil baada ya kuchezea kichapo kwa Argentina, suluhu na Panama naona wana kipiga na akina Son, Korea ya Kusini. Son alipiga bunge la shoot ila nyanda kaliona Coutinho...
0 Reactions
0 Replies
512 Views
Wakenya bana, mnasikitisha. Timu yenu inacheza lkn walioingia uwanjani ni theluthi tu ya watanzania walioingia kuisapoti Twiga stars inayotoa kipigo cha kufa mtu. Mpira hauna hamasa, teknolojia...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi jamani, hebu tena tulichambue hili; ina maana huyu Kaseja baada ya kutamba miaka kumi iliyopita na akafifia na mpaka kupotea, means sasa ame-recover na kuweza kuwa bora zaidi ya Manula ambaye...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…