Mwamba kaungana na hawaapa
1. Mark Hughes
November 11,1987 Jamaa alicheza mechi ya kufuzu euro kati ya Wales vs Czechoslovakia na baadae akasafiri had German na kucheza for 30 min kwenye Dfb...
Tarehe kama ya Leo mabingwa wa nchi, Young africans sc, Yenye makazi yake Jangwani, Dar es salaam, Ilifanikwa kutoa somo na onyo kali kwa kumkung'uta kichapo kikali mpinzani wake katika derby ya...
Hivi kuna refa wa Tanzania ameenda kusomea urefa nje kweli au kupata mafunzo nje ya Tanzania?
Ukiangalia karibia wote ni sawa hamna mwenye uafadhali, mwingine unakuta mchezo mzima...
I will be short
Lini umeona Simba mechi yake anachezesha arajiga ?? Yanga mechi 3 . Azam fc . Ila Simba mechi zao zote ni za bahasha . Leo Refa kawa onea sana Namungo .
Karia kavuta pesa za...
Leo nimeamua niweke katika kumbukumbu matokeo ya hii mechi ambayo hayanukuliwi mara nyingi kwa kuwa labda ilikuwa ni mechi ya mwisho katika msimu wa 2008/2009 tarehe 27/04/2009 kati ya timu ndogo...
"This is the Champions League. No matter the opponent, it's impossible to come back if one of your players is sent off. We are very disappointed. We felt we had control of the game before the red...
Naona kama hili linataka kupita bila kujadiliwa humu na wadau wa soka, sijajua kama limejadiliwa na wachambuzi wetu katika redio zetu za FM.
Nasor Saadun alicheza mechi ya ushindani akiwa na Azam...
Jana kwa walioangalia mpira kuna muda Khalid Aucho alifanyiwa madhambi ya makusudi kabisa na mchezaji wa Azam sijui nani yule. Kipindi hicho tayari ana kadi ya njano na alitaka kuinuka kwa gadhabu...
Tundaman kwanza nani alikudanganya wewe ni msanii wa muziki?
Ni kwamba hata kutoka kwako kwenye game ulitoka kwa sababu kaka zako akina Heri Mzozo wali wa persuade akina Chidy Benz wasaidie...
Mwosha huoshwa sasa tutaelewana tu
Nassor Saadun jana alicheza mchezo wa Dar Derby na kumsababaishia kadi nyekundu beki wa Yanga Ibrahim Bacca na Yanga kucheza pungufu kwa katika zaidi ya 80 hapo...
Kwenye mechi kati ya Mashujaa na Simba ziliongezwa dakika sita baada ya kukamilika muda wa kawaida wa dakika 90.
Ndani ya dakika 6 za mchezo Mashujaa wakawa wanapoteza muda na kusababisha Mpira...
Sisi Yanga tumefungwa, lakini tumeridhika
Makando kando yalikuwepo
Tumepewa red card ♦️ dakika ya 26
Maamzi ya mwamzi yalitukesesha ushindi
Ila tumechukulia kama sehemu ya mchezo na kukubali...
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) ya Wachezaji wa ndani imepoteza mchezo wa kuwania kufuzu CHAN 2025 kwa changamoto ya mikwaju ya penati 5-6 dhidi ya Sudan.
Tanzania licha ya kufunga goli...
Mechi ya jana imetuonyesha ubora wa Yanga kuanzia fitness level yao mpaka team work yao ni ya viwango vya juu sana!
Tumezoea team mojawapo inapokuwa pungufu kwa mchezaji Mmoja mara nyingi uwa...
Yeeerrreeehhh!
May 2021 Hamas walianza uchokozi walirusha makombora mengi sana kwenye anga teule la Israel.
Israel ikajibu kwa kuwashushia vitu vizito sana vyenye ncha butu vikigusa ardhi...
Ni mchezo wa Fainali ya kombe la dunia, takribani watu bilioni 1 duniani wanafatilia mtanange huo.
Dakika ya 3 ya nyongeza ndani ya dakika 120, ubao ukiwa unasomeka 3-3 kwa Ufaransa na Argentina...