Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Pale uwanja wa chamazi Azam complex kuna mashindano ya mpira wa miguu kwa timu za wanawake kutoka mataifa ya Afrika mashariki na Kati ( CECAFA) . Kwanza niseme kwamba Kuna timu za wanawake...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Asee sitaki hata kumsikia na ni aina ya watu wajinga wanaoangusha sana taifa letu.Uswahili uswahili tu
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Huu ni ushauri tu ninaokupa ndugu yangu , nafahamu ulivyochanganyikiwa na kutimuliwa Yanga kwa kutupiwa mfuko wako wa Rambo , hata mimi nakuhurumia , lakini jiangalie usije kushangaa mjini hadi...
4 Reactions
22 Replies
5K Views
November 16, 2019 Dar-es-Salaam, Tanzania Tanzania 9-0 South Sudan CECAFA Women Challange Cup 2019 Source: Azam TV
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Taifa Stars ya Tanzania inachuana na Equitorial Guinea leo usiku na mshambuaji wa taifa stars Mbwana Samatta amesema ana matarajio makubwa kuwa watakuwa na matokeo mazuri katika mechi hiyo...
5 Reactions
232 Replies
31K Views
Habari wana jukwaa, Kwanza kabisa ningependa kutoa shukrani zangu za dhati kwa timu yetu ya taifa kwa kipigo kizito walichotoa jana. Nahisi Guinea hawatasahau ukizingatia goli la mwamba wa Azam...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
wadau msaada jinsi ya kubeti ? Soka Beti , M-Bet , Meridian Beti , Sport Pesa Na Mtu Wakubeti anatakiwa aweje ? Je Unatakiwa Kujua Mpira Sana Au Nikubuni Tuu Wakuu Vyuma Vimekaza Kila Mmoja...
1 Reactions
13 Replies
14K Views
Kiukweli nimekaa nikawaza sana kuhusu huyu mwanaume Jordan Henderson. Najua kuna watu hawampendi, wanaona kiwango chake kidogo, kiko chini mno, hafai kuwa Liverpool. Nimemchunguza toka alipopewa...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Leo imekua mechi mbaya kabsa kwa Mbwana. Kila alichojaribu kufanya kiligoma. Sio kwamba alikabwa sana na opponents. Mara nyingi alikua anapoteza mpira peke kabisa. Sijui wengine mlivyomtazama.
1 Reactions
58 Replies
7K Views
Nilikuwa nasikiliza vyombo vya habari fulani wakati wanahabari wa vyombo hivyo wakimhoji Juma Mgunda kuhusu kwanini wamemuacha Manula kwenye kikosi cha timu ya Taifa. Waandishi hao wanalazimisha...
12 Reactions
26 Replies
3K Views
Wakati akizungunza na Gazzeta dello Sport na nchini Italia, Pele aliongea mambo kadhaa, (Kimsingi alikua anamzungumzia ubora wa Messi) Jambo lilinivutia ni hili naunukuu "but feels there are not...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
Wanamichezo wote nawasalimu,pamoja na salamu zangu naomba kujua walipo wachezaji wafuatao: 1. Malota soma-Simba 2. Juma Kampala-Yanga 3. Mohamed Bakari Tall-Simba 4. Idd Seleman Mayor-Simba 5...
1 Reactions
23 Replies
7K Views
Mara nyingi mechi kubwa kama hizi utakuta ni channel moja tu inayorusha live zingine uki-tune unakutana na story zingine na kama huna king'amuz chao mpaka uende bat au vibanda umiza. Wito wangu...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
NA HIVI NDIO VIWANJA VIGUMU SANA KWENYE MASHINDANO YA VILABU ULAYA... CHAMPIONS LEAGUE NA EUROPE LEAGUE YALIYO MALIZIKA ....Naaam! Wakati michuano ya ulaya ngazi ya vilabu ikiwa imesha pita watu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Evander Holyfield, Mike Tyson, Lenox lewis, ni wacheza ndondi walioweka historia baada ya kizazi cha Muhammad Ali kwisha. Wanaojua haya mambo na wanaojua huu mchezo kati ya hawa watatu, nani mkali...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Kwenu wanamichezo...kunawakati hufika ukiwa unamiliki kitu basi kile huenda na kubeba taswira yako..kiasi hata mtu mwingine akikiuona maramoja huona image yako..na ndipo unaposikia mtu akisema...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Mikoa mitano inayoongoza kutoa vipaji vya soka kwa hapa Tanzania: 1) Kigoma 2) Mwanza 3) Tanga 4) Morogoro 5) Zanzibar 6) Mingine inuafatia Hata kama kuna project ya kusaka vipaji mikoa tajwa...
3 Reactions
13 Replies
5K Views
Kwangu hii ndiyo game ilikuwa nzuri sana kwangu kuitazama team zote zilicheza open football. Jambo lililovutia zaidi ni comeback ya Chelsea from kufungwa 4 kwa 1 mpaka kuwa 4 kwa 4. First half...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Siku ya jana Ronaldo, The Greates Football Player of all times amefunga goli la 700 katika maisha yake ya soka. Idadi hiyo ya magoli inajumuisha magoli ya mechi alizocheza kwa ngazi ya klabu na...
2 Reactions
44 Replies
7K Views
Katika mechi za kuwania kufuzu michuno ya AFCON 2021 zilizochezwa usiku huu imeshuhudiwa Misri wakidroo kwa bao 1-1 dhidi ya Kenye ambapo goli la Misri lilifungwa na mchezaji Kahraba dakika ya 42...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…