Wadau wa michezo yote hapa karibuni,kama umewahi shuhudia kituko cha aina yeyote uwanjani ambacho kilikuwacha mdomo wazi tushare pamoja jukwaa lichangamke kidogo...Mimi niliwahi shuhudia mchezaji...
Anaseme kwamba....
" Pyramids FC ni timu ya kawaida sana, haina hadhi kwa Yanga SC wala uwezo wowote wa Kuifunga Yanga SC na ni moja ya Timu nyepesi kuliko Timu zote ambazo Yanga SC imewahi...
Utofauti mkubwa wa wachezaji hawa huwa upo wazi lakini watu wanaletaga ushabiki mbele badala ya uhalisia.
Siku zote mtu mpime nini anafanya uwanjani...halafu linganisha na huyo mwingine nini...
Kumbe Mpira huwa mnaujua sasa kwanini kila Msimu wa Ligi huwa mnapumulia tu Mashine huku mkiwa hatarini Kushuka daraja na badala yake mnabaki tu Kusumbua Waamuzi kwa ‘ Kuwahonga ‘ Pesa zenu kidogo...
KIJUE CHANZO CHA MANENO "BALL BOY" NA "CLEAN SHEET"
☆Mwaka 1905,tajiri mmoja wa jiji la London huko England,alieitwa Gus Mears alianzisha klabu yake ya soka alioiita Chelsea Football Club.Klabu...
Tukutane tarehe 30 pale, huyu Noah a.k.a Kai ndiye anayetetea ubingwa mwaka huu,mabaunsa na body builders wote tuwahi kujiandikisha pale bado siku chache tu muda unaishaaaa.
Ingekuwa amri yangu hii sheria ya VAR ningeifutilia mbali kwani inalalamikiwa sana na haitendi haki kabisa. Wapi uliona mpira unaamuliwa kwa video refarii? Inapunguza msisimUko wa soka. FIFA...
Hawa jamaa awako kwa ajili ya yanga wakati wachezaji wanakufa njaaa viongozi wanakaa vikao vingi wakilipana bila sababu
Alipoulizwa kwanini mnakaa vikao vinavyovunja katiba yenu anakwambia tuna...
Habarini wakuu!
Mimi napenda sana magame ya high graphics yani ukilicheza unahisi kama vile movie au ni kweli kabisa.
Magame ni mengi sana sikuizi. Sasa naombeni mtaje magame ambayo ni HD mazuri...
Victor Joseph ameshinda kweye ule mpambano wa Golf kule Thika nchini Kenya. Hongera sana kwa kupeperusha bendera ya Tanzania. Well done, pamoja na timu ya kinadada kule Uganda what a bonus.
Najua Leo watu wengi mmempa nafasi kubwa chelsea kushinda dhidi ya man u game ya Leo ya carabao.Ukiangalia vikosi vyote viwili Chelsea ana kikosi Bora kuliko man u pia hata form yao pia ni nzuri...
msaada wa tactics na ujanja wa ku-win betting mimi ni mgeni wa hii michezo nifanyeje au niwe na nini chakunisaidia sio fans sana wa mpira kwaio ila naona nijalibu hii michezo nione kama ntaboa!
Huyu Zahera uropokaji wake utai-cost timu. Anaonesha dharau za wazi kwa mashabiki; wasipokuwa makini, huyu mtu ataua hamasa yote viongozi wanayoipigania.
Ikumbukwe kuwa 90% ya usajili huu pesa...
Habari wadau wa Sports forum na JF members kwa ujumla. Sikuwa nikiwafahamu kwa undani hawa jamaa ni mpaka niliposikia taarifa kutoka kwa baadhi ya wadau na kuamaua kuwajua kwa undani ni akina nani...
Man United, Yanga na Arsenal ni timu nguli katika nchi zao lakini zinapitia kipindi kigumu katika historia za timu zao
Yanga SC
Ndiyo timu kubwa na kongwe tanzania ,timu yenye mashabiki wengi...
Hakika kocha Zahera anajua kujitetea.Baada ya majigambo ya kuifunga Pyramid ya Misri kushindikana,Kocha Zahera katika utetezi wake amesema usajili aliiufanya ulikuwa kwa ajili ya ligi kuu tu...
Watanzania tunapenda football sana asikwambie mtu. Lakini kikwazo namba 1 cha soka letu ni ubovu wa pitch.
Asilimia 90 kama si zaidi ya viwanja vyote vinavyotumika ligi kuu na daraja la kwanza...
Nimeangalia makocha wengi Tanzania na afrika.sijaona kocha kama Zahera. Yanga wanapaswa kuwa wavumilivu wampe nafasi. Ana vitu vikubwa sana wasije wakamwacha haraka Simba au Azam wakamchukua...
Kati ya makocha waliowai kuifundisha Yanga huyu Jamaa nimetokea kumuona hafai kabisa kuwa kocha was team kubwa kama Yanga.
Ni kocha ambaye team inafanya vibaya na imekosa mvuto kabisa kwa...