Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ghana, Senegal na Ivory Coast zote zilishindwa kufuzu kwa kombe la mataifa ya Afrika (CHAN) 2020 siku ya Jumapili Ghana lishindwa kulipiza bao moja iliyofungwa katika mkondo wa kwanza dhidi ya...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Maisha Yakiamua Kukukomesha Bhana.. Unaweza Ukafanya Biashara ya Kugawa Hela Na Usipate Wateja.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nyasi za uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Jumatano ya Oktoba 23, 2019, zinatarajia kuwaka moto kwa mpambano mkali na wa kusisimua kwa muda wote wa dakika tishini, katika ile patashika ya...
2 Reactions
49 Replies
6K Views
Mechi ya leo ,ni kielelezo cha kiwango cha soka cha Tanzania! Leo wanaume wanacheza ...wengine make pembeni muone burudani murua! .... atakaye fanya kosa ndiye atakaye lia!
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimeangalia kikosi cha timu ya Taifa ya Ufaransa kilichoitwa kwa ajili ya world cup, binafsi sijaridhishwa na maamuzi kadhaa yaliyofanywa na Kocha wa timu hiyo, Didier Deschamps. Kwanza...
7 Reactions
123 Replies
11K Views
Tanzanian star Samatta has sights set on Liverpool as Salah fights for fitness Andy SCOTT,AFP 11 hours ago Mbwana Samatta, in the blue of...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Sports Extra ambao ni Clouds FM hawa jamaa ni wabunifu katika swala la vipindi vyao kupitia wao wengne wamewaiga na kujaribu kuleta mapinduzi, Moja ya wariofanikiwa kuja kivingne kabsa ni hawa...
3 Reactions
43 Replies
9K Views
Kwa kuwa mmeamua kuloga badala ya kucheza mpira leo vyuramid lazima mfungwe na Mbao FC Tupo tunasubiri mtu afungwe tatu bila na Jumapili ni sita bila.
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari, Jana nilikuwa nafuatilia hafla fupi ya miaka miwili ya uongozi wa TFF chini ya Rais Wallace, mengi yalizungumzwa ila kuna jambo moja mimi binafsi sijakubaliana nalo jambo lenyewe ni hii...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Huku wakiwa kwenye mchakato wa kutafuta kocha mkuu, hili suala nawaombeni TFF msikurupuke, mwishowe tuanze kulialia na kuwalaumu. Ushauri wenu wadau kwa TFF wakati wakiwa kwenye huu mchakato wa...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Zimepita dakika nne tangu siku mpya ianze... Ni saa sita na dakika nne... Usiku tulivu kabisa... Kwangu mimi ndio kumekucha lakini kwa wengine wengi ndio muda wao wa kupumzika, kupumzisha mwili na...
32 Reactions
104 Replies
14K Views
Superclásico is the football match in Argentina between Buenos Aires rivals Boca Juniors and River Plate. RIVER PLATE & BOCA JUNIORS, Saa 9:30 Juma Nne, usiku...Marudio 23/10/2018, saa 9;30...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Kichwa cha habari kinajieleza. Wenzetu Azam fc wameamua kufikia muafaka kwa kuachana na mwalimu wao kipenzi Ettiene Ndairagije, na hivyo kumkabidhi timu mwalimu mpya raia wa Romania. Sababu ya...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Maendeleo ya Mpira wa miguu pamoja na michezo mingine inategemea sana uwepo wa viwanja,tena vilivyo bora. Nasoma historia kuwa baada ya kuja kwa vyama vyingi vya siasa CCM walijimilikisha vyanzo...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Tuendelee.... . Asubuhi moja pale Camp Nou kulikuwa na wachezaji wanafanyiwa vipimo ambapo mchezaji atakayefikia urefu wa 1.80m atabakishwa, mmoja wapo ambaye hakufikisha alikuwa Pep Guardiola ...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Tunawajua ndani nje na kama kuna ' Uchawi ' wenu ambao huwa kila mkiwa Mkoani Mwanza katika Mechi yoyote ngumu mnautumia na huwa unawasaidia kwa 99.9% ni wa kwenda ' Kuiba ' Maiti Usiku...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Tangu uongozi wa TFF chini ya Karia uingie madarakani Agosti 2017, kumekuwa na kawimbi ka mafanikio kiasi katika soka la Tanzania angalau kwa kiwango fulani kulinganisha na TFF za Malinzi na...
1 Reactions
34 Replies
5K Views
Usiku mmoja wa baridi kali April 28, 1988 saa1 usiku, kwenye hotel ya Hesperia, mitaa ya Carrer dels Vergos, Jijini Barcelona nchini Hispania, wachezaji 21 wa klabu hiyo wakiongozwa na kocha Luis...
6 Reactions
29 Replies
3K Views
Leo ndiyo uzinduzi mkubwa wa kipindi cha Sports Arena cha Wasafi FM chini ya CEO Diamond Platnumz ambapo mgeni rasmi atakuwa ni Waziri wa Habari Sanaa na Michezo, Dkt.Harrison Mwakyembe, lakini...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Kwa siku za karibuni Kocha Ndayiragije amekuwa kaimu kocha mkuu wa Taifa Stars huku pia akiwa kocha mkuu wa Azam Fc. Kwasasa kila wikiendi kocha Ndayiragije amekuwa na mechi ya kimataifa, aidha...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…