Siku zote falsafa yangu ni akili ikishindwa kutatua jambo fulani basi ujinga au wendawazimu utumike kubuni njia mpya ya kutatua changamoto
OFFSIDE TRAP NI NINI?
Hii ni mbinu mpya inayotumiwa na...
Legend wa Real Madrid, Marcelo amevunjiwa mkataba na klabu ya Fluminense miezi miwili kabla ya muda wake kumalizika, baada ya kutokea kutoelewana na kocha Mano Menezes jana Jumamosi.
Tukio hilo...
Timu ya Tanzania, inacheza na Sudan, hivi ni Tanzania hii hii au ni ya mabwepande? hawajui mpira, na aliyechagua wachezaji hawa anapaswa akae lock up kabisa.
Timu ya Tanzania, inacheza na Sudan...
Muda Yahya ni mchezaji anaefanya makosa sana akienda kukaba eneo la box huwa anatumia nguvu kupitiliza bila akili.
Akikutana na mafowadi wajanja kuna siku ataigharimu timu kwenye mechi muhimu sana.
Captain Bakari Nondo Mwamnyeto nakupa maua Yako, Jana katika mechi dhidi ya Azam ulionyesha kitu kikubwa Sana na kwasasa Mimi binafsi naona unastahili Kuanza katika mechi upo tayari.
Jana ulicheza...
Amesikika akishindwa Kumalizia Sentensi na Kuishia Neno Hatu baada ya Kipigo kizito kutoka kwa Azam..
https://x.com/Roma_Mkatoliki/status/1852758396245799166
...Kuna siku mkongwe @edokumwembe alisema Yanga wako karibu zaidi kupoteza mchezo au kutoa sare kuliko kushinda watu hawakumuelewa...
Kuna Wachambuzi pale Wasafi Fm walitanabaisha ubora wa Yanga...
Aliyekuwa kocha wa Al Ahly ya Nchini Misri ambaye kwa sasa ni Kocha wa Esteghlal FC ya Nchini Iran Pitso Mosimane amesema kocha Nasreddine Nabi hajaambiwa ukweli kuhusu ligi ya Nchini Afrika ya...
Anaitwa Greyson sijui Grayson Gwalala kiungo mkatashombo wa Coastal Union ya Tanga, jana amekuwa man of the match kwenye mechi dhidi ys Singida Big Stars yenye viungo wa kimataifa waliooonyesha...
Hizi ni tuzo za mihemuko tu.
Kuna wakati ribery ndio alipaswa kushinda ila ghafla tukaona ronaldo anapewa
Kuna ronaldo ndio alitakiwa kushinda ila ghafla akapewa messi
Wakuu,
Ni humu tuu...
===
Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Mussa Kilakala amepongeza na kuyataja mashindano ya Mpira wa Miguu katika Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki yaliyoandaliwa na Mbunge wa...
Ni wa michezo ya Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde amekabidhi kwa uongozi wa Shule ya Sekondari Kiwanja cha Ndege kiwanja cha kisasa cha michezo ya mpira wa kikapu,pete na wavu...
Wakuu,
Mambo yanazidi kuwa moto, kila mtu anajitafutia ka angle a kuonekana :BearLaugh: kazi kwenu wananchi!
Wananchi mkoani Mtwara, wamehimizwa kujitokeza kupiga kura katika kuchagua...
Ni vizuri tukawapa hongera zao Azam fc kwa ushindi wao Leo hii dhidi ya yanga ndio Mpira akuna timu inaweza kumaliza ligi nzima yenye ushindani bila kufungwa ama kuruhusu goli ni ngumu!
Lakini...
Tangu kuanza kwa msimu huu wa 2024/25, kumekuwa na utulivu mkubwa mitandaoni. Zile mbwembwe, vijembe na hata matusi miongoni mwa mashabiki zimepoa sana.
Kumbukumbu zinaonesha kuwa Yanga...
"Hali hii ni mtihani wa kweli wa tabia, Vumilieni, kwani mafanikio yanakuja kwa wale wanaojituma. Ushindi sio mwisho, na kushindwa sio mwisho; ni ujasiri wa kuendelea. Maumivu ya leo ni nguvu ya...
Mechi ya Simba na Mashujaa ilikuwa ngumu, lakini sub alizokuja kufanya kocha sijaelewa ilikujaje kuleta matokeo, maana galfa umiliki ukahamia kwa Simba.
Najua wengi walishtuka Shabalala kutolewa...