Wana Jf natumai mpo wazima wa afya ,nami nipo good kiafya na Mungu ni mwema siku zote.
Kuna hii michezo ya mieleka, huwa naiangalia lakini mimi sijawahi kukubali kuwa huo huwa ni ukweli.
Kwa...
Yanga washataja viingilio vya mechi yao ya kombe la shirikisho ambapo kiwango cha chini kabisa ni shilingi elfu kumi.
Sasa ukiangalia viwango vya viingilio inaonesha yanga wanahitaji sana pesa...
Habarini wakuu!
Mimi nimekuwa si mnazi sana wa mchezo wa ndondi; nimejikita zaidi katika kufuatilia mchezo wa soka. Aidha, katika kufuatilia soka katika kurasa mbalimbali za michezo nimekuwa...
Oscar Mirambo rasmi ndiye mkurugenzi wa ufundi atahusika na timu ya taifa zote za vijana na wakubwa,wakike na kiume.
Ana kazi ya kuandaa sera za mpira wa Tanzania na kutoa mwongozo wa namna soka...
Tirunesh Dibaba, (alizaliwa Juni 1, 1985, karibu na mji wa Bekoji, mkoa wa Arsi, Ethiopia), ni mwanariadha wa mbio wa Ethiopia ambaye alishinda kwa mara ya kwanza mashindano ya dunia (World...
Mods pliz msiunganishe uzi huu
Hawa ndio wameiua na kuizika Yanga leo huku wakiwa ni waajiriwa wa timu hiyo.
Mimi naanza na Hassan Kessy ambaye ni mnazi wa kutupwa wa Simba aliyeihujumu Yanga...
Kama thread inavyosema. Huu ndio uwanja utakaotumika kwa mtanange huo. Na CAF wameupitisha aseee Afrika hiii. Credit kwa Cloudstv mtangazaji ni Jacob Mbuya
Kaimu kocha mkuu wa timu ya taifa Tanzania 'Taifa Stars', Etienne Ndayiragije amewatoa presha mashabiki wa Tanzania kwa kusema wana kila sababu ya kupindua matokeo kutokana na maandalizi...
Mnapoambiwa kuwa Simba Sports Club ni Timu Kubwa Barani Afrika msiwe mnabisha ili mradi tu mbishe. Kocha wa Bandari FC ambaye aliwahi kuwa Mchezaji Mwandamizi na Tegemeo kabisa hada kwa upande wa...
[emoji1614]Uliangalia Mechi ya England U 20 Vs Austria ? ...Basi kama Ulibahatika Kuitazama Hiyo Mechi Ambayo Hudson Odoi Pamoja na Eddie Nketia Waliichakaza Austria Nadhani Ulipata Kuliskia Jina...
Umepewa nafasi ya kuchagua wachezaji watatu bora kuwahi kuvaa jezi namba 10 kwa levo ya klabu, chaguo lako ni lipi?
Mimi naenda hivi...
1.Messi
2.Rui Costa
3.Modric
Wadau hapa nimeweka list ya 11 bora combined Yanga na Simba pamoja na reserve list bila ya kujali kama baadhi ya wachezaji ni majeruhi kwa sasa kama Bocco na Boxer.
11 bora
1. Kakolanya
2...
Caption: Dadashev alishinda mapambano yake 13 kabla ya kupigwa Ijumaa
Bondia raia wa Urusi Maxim Dadashev ameaga dunia baada ya pambano lake na Subriel Matias kumsababishia majeraha makubwa ya...
Kwa mujibu wa mtandao wa Goal.com wametoa kikosi bora cha Man Utd kwa miaka 10 iliyopita (Muongo Mmoja) yaani 2009-2019.
Je unakubaliana nao? Yupi ameachwa na anastahili kuwepo kikosini