Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wasalaam Kichwa cha uzi kinajieleza wakuu twende kwenye mtiririko husika 1.aston villa vs brighton 2. Alaves vs celta vigo 3.espanyol vs villareal 4.udinese vs torino 5.stoke city vs fulham...
0 Reactions
1 Replies
533 Views
Nilichelewa kuona timu zilipoingia uwanjani game ya Juve na Bayerliverkusen,nimetazama game toka dkk ya 12 hadi dkka ya 40 jirani ya niliyekaa nae tukaulizana Hivi ronaldo hayupo kweli ? Wote tuka...
8 Reactions
35 Replies
4K Views
Katika pitapita zangu mtaani na kwenye mitandao ya kijamii na kukutana na wale mashabiki kindaki ndaki wa WCB kuwauliza vipi kuhusu HARMONIZE kutoka WCB mnaumia na nini nyie chama kubwa...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
Habari wanaJF huu ujumbe chini nimeucopy instagram lakini hapa nataka tujenge hoja n kweli visit in Rwanda gharama yake imesharudi?.... #ujumbe wenyewe Mimi ni mpenzi sana wa kufuatilia mahojiano...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Aliyekuwa kocha wa Yanga SC na timu ya taifa ya Malawi Jack Chamangwana amefariki dunia jioni hii. Chamangwana alikuwa anasumbuliwa na tatizo la shinikizo la damu. "Bwana ametoa na Bwana ametwaa...
2 Reactions
23 Replies
7K Views
Hii ni Ajax Amsterdam ya msimu wa 1994/95 ambapo walifanikiwa kutwaa taji la Uefa Champions League. Kikosi hiki chini ya Mwalimu Louis Van Gaal, kilijaa chipukizi wengi huku pia kukiwa na wazoefu...
4 Reactions
30 Replies
3K Views
Beki kitasa wa Man Utd, Eric Bailly ameumia tena, safari hii amepata majeraha akiwa na klabu yake katika maandalizi ya msimu mpya (Pre Season). Baada ya uchunguzi, imethibitika kuwa atakaa nje...
3 Reactions
76 Replies
5K Views
Kwa namna moja au nyingine huyu Molinga kwa umri wa miaka 19 alionao, na uzoefu alionao anapokuwa mbele ya goli. Hakika hao piramidi wajipange. Kwa ule mwili na nguvu lazima aisaidie klabu kongwe.
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Hakika viongozi wetu wa vilabu vya soka Tanzania ni wanasiasa kabisa.Kwa watanzania walio wengi Klabu ya Pyramid ya Misri ni klabu isiyofahamika lakini mara baada ya jana CAF kutoa ratiba ya...
3 Reactions
51 Replies
6K Views
Kwangu mimi mchezaji anayepiga pasi bora na zenye macho kwasasa katika ulimwengu wa soka ni Jorginho wa Chelsea. Zamani alikuwepo Paul Scholes. Wewe unamkubali nani?
4 Reactions
76 Replies
9K Views
Mwenye update ya mechi hii atujuze wajameni . Mbona mechi hii kama wengi wameipotezea sana hasa humu JF?au ndo kipigo cha sudan kimefanya watu wasuse?
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mshika mawili moja humponyoka na wakati mwingine hukosa vyote.Zahera anataka vyote,vya Yanga na vya timu ya taifa. Yanga wanamechi ngumu na muhimu wiki moja ijayo na huu ndo ulikua muda muafaka wa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Usain Bolt Scores Two Goals On Full Football Debut For Central Coast Mariners Usain Bolt made his full professional football debut for A-League side Central Coast Mariners and starred with two...
1 Reactions
2 Replies
938 Views
Kenyan athlete becomes first person to run a marathon in under 2 hours . 34-year-old Kenyan athlete, Eliud Kipchoge, made history on Saturday by becoming the first person to run an unofficial...
3 Reactions
39 Replies
5K Views
Wasalam wadau. kuna Ligi inaendelea mahala, imetokea timu zimekuwa na pointi sawa na magori ya kufunga na kufungwa ni sawa. kwamaana ya timu "A" ina pointi 4,imefunga gori 4 na imefungwa gori 4...
0 Reactions
5 Replies
989 Views
Klabu ya Simba imepanda kwa viwango vya vya ubora barani Afrika kutoka nafasi ya 20 mpaka ya 16 mwaka huu. 2019 ( hii imekaaje nimeikuta Kwenye blog ya saleh jembe)
0 Reactions
27 Replies
9K Views
Jezi zao za Ugenini ambazo ni za Rangi Nyekundu na zimerembwa Kiuzuri kabisa hakika zinakufanya hata Wewe mwana Yanga SC mwenzangu Kushawishika na Kuzivaa hivyo Mimi An Eagle ambaye ni Mwanachama...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Chelsea baada ya kup igwa ban yakutosajili madirisha mawili na ban yao itaisha january.wamejipanga kumsajili kiungo machachari wa real Madrid majira ya kiangazi ambapo ban yao itakuwa imeisha kwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Katika kuendelea kujiweka sawa na patashika ya Vodacom Premier League VPL, Mabingwa wa Nchi Simba SC, Mnyama Mkali Mwituni, leo Jumamosi Oktoba 12, 2019 watakuwa na mechi ya kirafiki dhidi ya...
2 Reactions
73 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…