Timu ya Manchester united ikimaliza misimu miwili ligi kuu ya uingereza haijashuka daraja najinyonga na naomba mwili wangu usizikwe.
Zama za Ferguson kununua mechi zimefika mwisho.
Ntarudi baadae.
Bondia Ibrahim Class Mgendera (26) almaarufu “King Class Mawe” amefanikiwa kutwaa mkanda wa ubingwa wa wa uzito wa kati (lightweight) unaotolewa na Baraza la Ngumi Duniani (Global Boxing Council)...
Habari
ninaomba anae fahamu namna ya kuanzisha club ya mpira yani (team ya mpira ) kwanzia stage one hadi stage ya mwisho. maana kila siku nikienda chama cha mpira hapa Geita nakuta ofisi...
Klabu ya Yanga kupitia kwa mwenyekiti Mshindo Msolla Wametangaza leo kuwa mil 10 itakuwa ikitoka kila baada ya point 3 kwa klabu Yao ili kurudisha ari ya ushindi Jangwani.
Afisa uhamasishaji...
Inaelekea viongozi wa Yanga hawaelewi wafanye nn kwa sasa ili Yanga irudie makali yake kwani wanatapatapa. Nmeshangaa kuona wanaajiri wasemaji 2 wa klabu ili wapambane na Haji Manara mmoja. Inatia...
Haingii Akilini Timu yetu kuna Wachezaji kama Dante na wengine wengi tu wanadai Pesa zao lakini Uongozi wetu wa Juu unafikia Kutenga Tsh Milioni 10 za Kuwahonga Waamuzi ( Referees ) ili ' watubebe...
wakuu kwa mara ya kwanza leo toka nianze kubet ndo leo napata ushindi kwa kuwaua man u ingawa ni timu yangu ninayo ipenda kutoka kundumbula na wasipo mfukuza kocha lazima tushuke...
1. Yanga ya msimu uliopita ilikua bora kabsa kuliko msimu huu.
2. Makambo alikua bonge la striker
3.Gadiel ni bonge la beki na Yanga walifanyakosa kubwa kumuacha.
4.Zahera hajui kusajili,hata kwa...
Nimeamua kusema hili kutokana na maamzi ya kukataliwa kwa goli la Arsenal dhidi ya Manchester United.
Goli lilioneshwa kuwa Abu alifunga akiwa offside na siyo onside.
VAR nayo eti ikakubali kuwa...
Kama kawaida yangu kwanzia saa sita kamili siku za jumatatu hadi ijumaa uwa nasikiliza east Africa radio kipindi cha kipinga extra. Pale unakutana na mashabiki mbali mbali wa timu zetu hasa pendwa...
Jumapili saa 11 jioni kwa majira ya Afrika Mashariki kikosi cha Man Utd kitakuwa ugenini St. James Park kumenyana na wenjyeji wao Newcastle United ambayo inachechemea kwenye ligi.
Cha kufurahisha...
Hapa hakuna visingizio vya mechi za kimataifa, Simba wako huru zaidi na nimjuavyo Simba akijeruhiwa humrarua kila anayesogeza pua yake.
Timu ni zile zile mnazozipiga 2, 3 au 5 mtakazokutana nazo...
Watu wanaongelea kelvin John as if wengine hawajafunga hata goal moja.
Ukweli.ni kwamba kuna kijana huyu ambaye hivi karibuni ameitwa timu ya taifa na mchezaji wa coast union andrew simchimba...
Leo naomba tukumbushane baadhi ya wachezaji wa Soka wa Kiafrika waliotamba katika soka la ndani ya Afrika na soka la kulipwa duniani lakini wa kiafrika.
Mfano akina Sunday Olisieh, Rodger Milla...
Timu ya taifa ya vijana walio na umri chini ya miaka 20 itacheza mchezo wa fainali dhidi ya vijana wenzao kutoka Kenya katika mashindano ya Cecafa U20 yanayofanyika nchini Uganda. Mchezo huo...
Juzi nilitoa thread ikisema inasema Zahera atatoa visingizio mechi dhidi ya Police baadhi wakatukana ninarudia tena Zahera hana mbinu tena na wakati wake wakuondoka umefika viongozi msipepese...