Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wachezaji wengi waliopo Yanga wanakula mshahara wa bure kabsaaa. Ukiwaangalia kwa jicho ambalo si la kishabiki utagundua wengi hawana vipaji,kontroo chumba kizima. Inashangaza timu inacheza dk 90...
2 Reactions
21 Replies
5K Views
Baada ya kikosi cha Simba kurejea jijini Dar es Salaam jana, kwa sasa kinachosubiriwa kwa hamu na wapenzi wa soka nchini, hasa Wanamsimbazi, ni nini kitaendelea kuhusiana na kiungo wao, Jonas...
4 Reactions
50 Replies
6K Views
Yaani umeshaachwa tayari alama ( points ) tano na Simba SC badala ya Wewe Kusikitika kama si Kuumia Watu wazima na Akili zao kabisa hasa Mashabiki wa Yanga wanashangilia Mshambuliaji wao Molinga...
5 Reactions
36 Replies
3K Views
Heloo wadau wa tennis, mambo vipi? mpo? US open imeanza, jana nimeshuhudia kichapo cha kufa mtu kutoka kwa mwanadada ambaye anasemwa kuwa ni bora wa wakati wote, yani GOAT, si mwingine ni Serena...
6 Reactions
405 Replies
18K Views
Sisi mashabiki wa izi timu mbili maisha yamekuwa ya ovyoovyo sana kwa sasa, sijui team zetu zinakosea wapi. wengine mpaka tunatamani kuomba ruhusa kazini baada ya matokeo mabovu ya tim zetu kwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naangalia game ya Genk v/s Naple Mbwana Samata kapewa u captain , ukiona mtu mweusi kapewa unahodha kwenye kundi la mabeberu ujue anakubalika, hongera Captain Diego
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Yanga imekuwa na mwendo wa kusuasua toka msimu mpya umeanza. Ilijitapa kw usjili wa mafungu mafungu. Mpaka sasa hakuna mchezaji aliyesajiliwa na kuonesha kiwango kikubwa. Timu haina chemistry...
1 Reactions
57 Replies
6K Views
Mwanzoni Simba ilikuwa inacheza pasi fupifupi na taratibu baada ya ujio wa Patrick aussems Simba inacheza pasi za haraka na counter attack. Lakini pia kitendo chake cha kuwapa nafasi karibia...
16 Reactions
84 Replies
9K Views
Aman iwe nanyi Leo mashindano ya futuhi yataanza lasimi kutimua vumbi team za England zilizojichokea chokea nazo zitakuwemo Team hizo ni women united na team moja ambayo haijawahi kabisa...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Timu ya Kagera Sugar Wanamkurukumbi leo ikiwa uwanja wa nyumbani wa Kaitaba itaumana na timu inayobebwa na kupendelewa Simba SC. Ikumbukwe mpaka sasa Kagera Sugar ndio kinara kwenye msimamo wa...
9 Reactions
124 Replies
11K Views
Katika wiki hii nimeshuhudia michezo ya riadha, kuruka, kutupa tufe nk. mjini Doha ikifanyika ambapo wanamichezo karibu dunia nzima wako pale. Natumaini na sisi Watanzania tuliwapeleka wana...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Liverpool na Chelsea walipoteza mech zao za awali za Uefa, leo nani atamuosha mwenzake? Liverpool nawapa credit za kuvunja daraja!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tukiwa tunaelekea katika mechi za Ligi Kuu ya Vodacom 2014/2015 katikati na mwishoni mwa wiki hii na kwa kuwa ligi inaelekea ukingoni, si vibaya tukatupia macho yetu katika 'performance' za Klabu...
8 Reactions
57 Replies
9K Views
Timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 20 (Ngorongoro Heroes) wanakutana na vijana wenzao wa nchini Sudan katika mtanange wa nusu fainali ya Cecafa U20 2019. Mchezo huo unapigwa sasa uwanja wa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mtangazaji mahiri wa Shirika la Utangazaji la Uingereza BBC mh Salim Kikeke ameteuliwa kuwa balozi wa Simba SC nchini Uingereza. Klabu ya Simba imesema inategemea Kikeke atawapaisha sana...
3 Reactions
38 Replies
4K Views
Timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 20 (Ngorongoro Heroes) wanakutana na vijana wenzao wa nchini Uganda katika mtanange wa robo fainali ya Cecafa U20. Mchezo huo utapigwa saa kumi jioni saa za...
3 Reactions
58 Replies
6K Views
Kampuni hizo zinazoendesha michezo ya kubashiri zimesimamisha shughuli zake Nchini humo katika uamuzi unaoonekana ni wa mwisho kufuatia mvutano wa muda mrefu kuhusu ushuru na sheria zinazodaiwa...
5 Reactions
34 Replies
6K Views
Nilikuwa nafuatilia league kuu ya Austria Bundesliga baada ya kufungua taarifa za hii timu kwenye picha nikakutana na mchezaji anaitwa Lema nikashutuka mbona jina la watanzania hili kufungua zaidi...
1 Reactions
35 Replies
5K Views
Ligi ya msimu uliopita ilikuwa na malalamiko mengi hasa kutoka timu ya Yanga kuwa Simba inabebwa na kuwa na viporo vingi, kocha alidai ameshitaki hadi CAF lakini cha ajabu sasa hivi timu hiyo...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Eden Hazard’s contract at Real Madrid: 💶 YEARLY £19,200,000 💶 MONTH £1,733,333 💶 WEEK ££400,000 💶 DAY £57,142 💶 HOUR £2,380 💶 MINUTE £39 💶 SECOND £0.66p
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…