Habari ya muda huu wadau wa michezo,
Niende moja kwa moja kwenye mada husika,mchezo wa mpira wa miguu nchini Tanzania umekua na unazidi kukua kwa kasi na kupendwa kwa rika zote,pamoja na jinsia...
Kamati ya Bodi ya Ligi Kuu ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi katika kikao chake cha Septemba 2, 2019 ilipitia matukio mbalimbali ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu wa 2019/2020 iliyoanza rasmi...
i} Simba wali wadharau ud songo
ii}simba wameenda na matokeo uwanjani nakusahau kuwa mpira ni 90'
iii}Simba wamewaacha wachezaji wenye uzoefu na mechi za kimataifa 1] E.okwi
2]...
Wengi wao asili yao sio wa tz wamekuja kutuharibia tu. Nchi hii lazima tuwe makini MBWA wanaongoza kwa kuwinda ni wahapa hapa mimbwa ya kizungu kazi kukaa ndani tu. Inakera saana hii mi MBWA
Salaam wakuu wote kwa umoja wenu Natumai volume iko sawa sawia kabisa hivyo naelekea kwenye mada moja kwa moja ,,
Kumekuwa na wimbi la watu kutoka vilabu mbali mbali hasa simba na man utd kutaka...
Naangalia na kufatilia sana basketball competition inayoendelea china ila najiuliza ni kwa nini team USA ambayo ina mashabiki wengi haina kawaida ya kupeleka wachezaji maarufu kwenye mashindano ya...
Bondia huyo kutoka Ukraine aliyekuwa akishikiria mikanda miwili mikubwa ya lightweight 'WBA' na 'WBO' usiku wa leo ameweza kujiongezea mkanda mwingine wa tatu baada ya kumshinda muingereza Luke...
Kama shabiki kindaki ndaki siridhishwi kabisa na matokeo ya mechi 2 za Man U zilizopita.
Team inaonekana kucheza ,wachezaji wanajituma kweli kweli lkn nahs kuna sehem katika upangaji team kocha...
Adi Sasa ligi zote za ulaya zishaanza huku baadhi ya time zkiwa na matokeo yasiyolidhisha,epl time Kama
1: man u ,Kati ya mechi nne kashinda mechi moja tu kadraw mbili kufungwa moja licha ya...
KAMA KUNA WASHAURI WABOVU N SOUTHAFRICA
BORA TU WANGESHIKILIA TIMU NZIMA WATUACHIE NDEGE YETU MAANA HATA WANGEBAKI HUKO BADO WASINGEKUWA NA HASARA KWA TAIFA LETU
KAMA KUNA MAZUNGUMZO...
Washabiki wa Man naombeni kuwauliza kwa nini Man U walimuuza Huyu Lukaku ?? Niliangalia mechi ya inter Milan week iliyopita Lukaku alifunga goal na leo amefunga Penalty .Kwa upande wangu sijaona...
Habari wana Jf..naomb kuuliza hivi michezo ya mtandaon kama vile spin huwa inaukweli au ni utapeli? jana nmejaribu kucheza wakanitumia unumbe kwamba nmeshinda lakini badae nikaona kama vile ni...
Kufuatia kuendelea kusuasua kwa Man Utd msimu huu mara hata baada ya kubadili kocha toka Mourinho na sasa Ole Gunnar bado timu imekuwa ni homa ya vipindi.
Inaonekana baadhi ya wachezaji hawana...
Azam TV walitutangazi a kwamba wataonesha mechi ya Ligi Kuu Uingereza (EPL) mchezo kati ya Chelsea na Sheffield United lakini cha ajabu mda mfupi mchezo unapotaajia kuanza wakakata matangazo na...
Habari wadau wa JF, kwa kuangalia hii ratiba ya CAF Champion League 2019/2020 unaweza kuzitabiria timu zipi zinazoweza kufikia hatua ya makundi? Je katika hii ratiba, ni mechi baina timu zipi...
Bondia Tyson Furry (Gypsy king) amesema anahitaji mkono mmoja tu kupigana na bondia Andy Ruiz (Destroyer) maana akipigana naye kwa mikono miwili atamuonea.
Ikumbukwe Andy Ruiz ndiye bondia...
Hii ni kashifa na aibu isiyovumilika yaani Taifa kubwa km TZ tunapeleka wanamichezo 9 kwenye mashindano ya All African Games wakati Kenya wanapeleka 200? Yani mpaka Burundi wanaokatana mapanga...