Stone cold Steve Austin WWE unamfaham vipi tupe historia yake
Nmekuwa na ombwe la kutaka kumjua Kwa undani mwana mieleka huyu kwani tangu utoto wake inawezekana ina records mbaya sana hata...
Nimewaza sana kuhusu vilabu vyetu vya tanzania ila jibu sijapata bado. Ukiafuatilia vizuri soka la Tanzania mara nyingi hakuna luxury kbsa zaidi tu mashabiki wanalaumu wachezaji au kocha wa kilabu...
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Joketi Mwegelo, ameitabiria Yanga kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu.
Akizungumza na gazeti hili jana, Joketi alisema alipojumuika na wanayanga wenzake kwenye...
Maana halisi ya Mabenchi ya Ufundi kwa Vilabu ( Timu ) za Ulaya huwa yana Watu wenye Majukumu kama yafuatayo:
1. Kocha Mkuu
2. Kocha Msaidizi
3. Kocha wa Makipa
4. Kocha wa Viungo
5. Kocha wa...
Hizi club wanatimu nzuri kutokana na wachezaji walionao ukiangalia baadhi wachezaji wa hizi timu wanaweza kuanza kwenye team km man u, Chelsea na arsenal wachezaji kama Ruben neves wa wolves ana...
"Kwetu mashabiki sio mchezaji wa 12, ni mchezaji wa kila nafasi uwanjani. Tunashinda lakini mashabiki wanachangia sana"- Haji Manara. #NguvuMoja
"Simba ndio timu ambayo imeongoza msimu uliopita...
BAADA ya maneno mengi kusambaa kwenye mitandao ya kijamii na vyombo mbalimbali vya habari kuwa Klabu ya Simba imemwajiri ofisa habari mpya kubeba jukumu hilo la Haji Manara, hatimaye msemaji huyo...
Bayern Munich wamekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji kutoka Barcelona philipe coutinho kwa mkopo wa mwaka mmoja...
Bayern wamelipa Euro million 8.5 kwenye Dili hilo la mkopo pamoja na...
*SIMBA NA YANGA NDIO ALAMA YA MPIRA WETU*
📝 Hemed Suya.
Wadau na familia ya mpira wa mpira nchini Habarini za Jion. Baada ya kukimbizana na pilika za kutafta mkate wa siku basi kama kawaida...
Kati ya hawa vijana watatu wanaofanya vizuri katika klabu zao kwasasa yupi ni beki bora wa upande wa kulia kwasasa toka kwa wajukuu hao wa Malkia.
Kyle Walker (Man City), Alexander Anorld...
Wakuu habari zenu.
Leo tarehe 19 mwezi wa 8 2019, FIFA wametoa list ya magoli yanayowania tuzo ya fifa puskas award yaani tuzo za goli bora ,kuanzia tarehe 16 july 2018 mpaka 19 july 2019...
Ni dakika ya 51:03' hadi sasa, na matokeo ni 0 - 0.
Naona Yanga wanajitahidi ku-perform hapa, wamewazidi kiasi AFC (moja ya timu kubwa kwenye ukanda wa Afrika Mashariki). Yanga wameonyesha...
Dar es Salaam. Wachezaji saba wa Yanga wamejiweka kwenye nafasi ngumu ya kupata namba katika kikosi cha timu hiyo kitakachocheza mechi ya marudiano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, ugenini dhidi ya...
1. Mechi yenu ihamisheni kutoka Chamazi na muipeleke kwa Mkapa / kwa Mchina.
2. Fanyeni Kiingilio kiwe Tsh 1,500/ na Wanawake bure.
3. Hakikisheni kila anayeiingia Uwanjani anapewa ama Maziwa...
Habari za hapa jamvini wadau!
Naomba mwenye majina ya matawi matano MAARUFU NA YENYE WASHABIKI KINDAKINDAKI ya Simba Sports Club na Young Africans Sports Club yaliyopo DSM anitajie na mahali...
Kuelekea kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii leo Agosti 17, 2019 Ni mnyukano kati ya bingwa wa TPL, Simba SC na bingwa ASFC, Azam FC, ni mechi mzuri ya aina yake yenye burudani nyingi za soka na ladha...
Huu ni msimu wa tatu wa michuano hiyo, ambapo katika usajili na ufunguzi, timu mbalimbali zimejitokeza kujisajili na kutakuwa na hatua za mtoano kisha robo fainali, nusu fainali na fainali...