Na Ally Mayai Tembele
Niliwahi kuandika Yanga inajidanganya yenyewe na kuishi kwa kivuli cha timu kubwa na kudhani labda dunia imesimama kumbe dunia inakimbia kwa kasi mno.
Nilisema Yanga...
Ni kama vile hadithi ya kufurahisha, kijana anapokuwa Chuo, yeye na wenzake wataanza kujipangia kuwa baada tu ya kumaliza chuo, basi watapata kazi na moja kwa moja atakuwa CEO!
Lakini Kumbe...
Uwanja mbovu utafikili tupo namfua Singinda Jiji kubwa la tatu ila ata kuboresha sehemu ya kuchezea kwa kupanda nyasi za kisasa inakuwa issue kweli?
Pale ni jiji la utarihi inakuwaje serikali ya...
Michuano ya Sprite Bball Kings 2019 inayoandaliwa na EATV, EA Radio kwa kushirikiana na kinywaji cha Sprite imezinduliwa Jumamosi Agosti 17 katika viwanja vya Mlimani City.
Huu ni msimu wa tatu...
Unaikumbuka barcelona ya Xvavi,Iniesta,Messi,Pedro na David Villa? Hawa jamaa ilikua ni kosa la jinai kuwatangulia kuwafunga. Mpira unahamia golini kwako huku goli zikimiminika km maji.Muulize...
Hizi ndio changamoto zinazowakabili yanga kwa Sasa
1.uongozi
Kiukwel tokea yanga wachague viongozi wapya wa timu wameshindwa kabisa kuhandle timu pamoja na kueleza malengo ya wazi kwa msimu huu...
Simba SC wanatufundisha kuwa; kuna Afisa Habari(Media Officer) hapa amelengwa Gift Macha na pia atakuwepo Msemaji wa Klabu(Club Spokerman) hapa anabaki Sheikh Haji Manara(sijui imeeleweka hii)...
Habari wadau wa michezo?
Mashabiki wa damu wa Liverpool wana hasira sana na Aguero sababu ya unyama anao watendea mara kwa mara wakati timu yao LFC inapokutana uwanjani na Manchester City FC...
Msimu huu sizani Kama watafanya vizuri imekuwa ikimtegemea mess zaidi hii imechangiwa na kocha wao kuwa mbovu ukiangalia team ya Barcelona Ina timu nzuri Sana Bila hata kuwa na mess wanawatu Kama...
Yanga ikiwa imeingiza full mkoko full kikosi imekula bao 2 bila na timu ya Polisi Tanzania
Yanga imecheza mechi hii kujiandaa za mechi ya kimataifa dhidi ya Township rollers.
Ama kweli sikio la...
Kocha Emogi alifukuzwa Simba ikiwa inaongoza ligi baada ya kupokea kipigo cha aibu kutoka kwa Green Worriers.Nimeona Zahera unataka kupita mlango ule ule aliopitia Emogi.Najua utajitetea kwamba...
Ukweli unauma wanayanga wenzangu na nilazima usemwe
1. Hajashinda mechi hata moja ya kimashindano
2.anadai wachezaji hawajapata phisic
3.anawabeza wachezaji jana anasema wanacheza ovyo wakati...
WATU WENGI TUMEZOEA KUANGALIA MASHINDANO YA MBIO ZA MARATHON KATIKA MICHEZO YA OLIMPIKI AU KWENGINEKO LAKINI HATUJAPATA KUFAHAMU NINI CHANZO AU HISTORIA YA MBIO HIZI.
SASA UNGANA NAMI ILI KUJUA...
Mi naanza: Ifi hii kocha ya Yanga sjui inaitwa eti Mwinyi ifi inafanya sajili gani. Kwa ile mupira niliyoona jusi na jana ikichesa na Tp Masembe au ile timu ya Arabs itapigwa goli 5 times 2 in a...
Wadau wapenzi wa mazoezi je ni chata gani kali ya jezi unaipenda Zaidi na kwa sababu gani? Mie napenda Under Armour au Nike yaani nikivaa wakati nafanya jogging najihisi kupendeza na kwenda na...
Kuna uongo unaendelea kusemwa na kusambazwa na viongozi eti kuwa Sisi chura tumeuza Jezi mil 3½ Hadi mil4, hizo jezi tumeuzia majini?? Jezi hewa zimeuzwa??Mbona Leo uwanjani zaidi ya 75% tulivaa...
Wakati sisi tunahangaika kuachana na uswahili nyie ndiyo kwanza mpo busy kumpamba Mzee Kilomoni, haya sasa kazi kwenu na makomnadoo wenu mara wengine wanajipigia debe Ukatibu Mkuu na Usemaji, bado...
The Liverpool Echo report that both Premier League sides appearing in the game stand to receive €3.5m (£3.2m) in prize money for simply turning up, whilst there is also a further €1m (£920k) on...