Jitahidi kila mara kumuomba Kocha wenu Mwinyi Zahera kuwa akiwa anamaliza Kuwapa Mazoezi ya Uwanjani Wachezaji wake basi awe pia anawaingiza Darasani ili awafundishe pia namna ya Kula Chakula na...
Viongozi wa Yanga inatakiwa mjitathimini na mbadilike muendane na wakati mambo ya kusajili kwa ajili ya kumfunga Ndanda haikubaliki ilishapitwa na wakati
Kidogo Simba kaanza kujitambua na hiyo ni...
Huyu mwongozaji wa kipindi pendwa cha Sport Am anaanza kukiharibu kipindi kwa kuwalazimisha wachambuzi kuongea mawazo yake, Ni mbishi kupindukia na anawakatisha katisha mno wenzake kabla mtu...
Sababu kubwa ni kwamba Chelsea ni Wanafiki mno kwani kama walikuwa na Uwezo wa Kucheza mpira walioucheza jana dhidi ya Chama langu pendwa la Liverpool kwanini hawakucheza mpira ule ule walipocheza...
Aliyekuwa beki wa Yanga Abdallah Shaibu 'Ninja' jana alifanyiwa vipimo vya afya kunako klabu ya LA Galaxy inayoshiriki ligi kuu ya Marekani
Ninja alifuzu vipimo hivyo na ameanza rasmi mazoezi...
Kwa kuwa mi ni mnazi wa Yanga nitayataja ya Simba tu wengine mtayataja ya Yanga.
1. Mnyama fc
2. Mikia fc.
3. Mbumbumbu fc
4. Sangoma fc ( Nasikia hii timu ilianzishwa na mganga wa kienyeji)...
Mwonekano wa Uwanja wa Mpira wa Taifa Jijini Dar es Salaam Ukipandwa nyasi mpya na si za bandia.
Hivi zipi nzuri? Maana mimi nilidhani hizi bandia ndo nyasi nzuri maana ni vigumu uwanja...
Lampard ameleta kitu tofaut ndani ya Chelsea wamekuwa wakicheza mpira mzuri na wamekuwa wakiimarika siku hadi siku naona kabisa gari likawaka baada ya kuwa na game ngumu zinazokaribiana
Mwanzo...
Hemed Suya.
Kwanza nianze kwa kuwasalimu, na kuwatakia Eid l-Adh-ha Mubaarak jamii yote ya wapenda soka.
Jion hii nalazimika kushika kalamu kuandika baada ya kumaliza mialiko ya nyama kutoka...
Chelsea ndo bingwa wa mech hii ya super cup kasoro ni kombe tu ndo hajabeba lakin vilivyobaki Liverpool wamesubiri
Chelsea wameupiga mwingi sana wamecheza mpira wa kueleweka sio kubahatisha kama...
Amani iwe nanyi wakuu
Katika team ambazo hatuna mzaha kwenye fainal bas ni Chelsea
Man city alitoka kutupiga 6 lakin tulipokutana naye kwenye fainal anakumbuka kilichotokea
Arsenal alitoka...
Bodi ya Ligi limevifungia viwanja vitatu uwanja wa Mwadui, Manungu na Mabatini kutumika katika msimu huu wa Ligi Kuu Bara hadi hapo vitakapofanyiwa marekebisho.
Akizungumza Dar es Salaam, Afisa...
Date of birth
4 March 1974 (age 45)
Place of birth
Ledesma, Jujuy, Argentina
Height
1.70 m (5 ft 7 in)
Playing position
Attacking midfielder / Forward
Huyu ndie Arnaldo Ariel Ortega a.k.a...
Uwazi na kutokuwa na kipya kwenye utendaji wenu...
Jitahidin ku-updates mapato na matumizi na kuwa na utamadun wa kuelezea mashabiki na wanachama mikataba ya udhamin mliyoingia na thaman zake na...
Wasaalam wakuu,
Niingie kwa mada moja kwa moja.Ligi yetu baada ya kuisha na kutokuwa na mdhamini mkuu na hata kupelekea mshindi kutokujulikana anapewa nini, labda ni kutokana na TFF kutokufikia...
Jezi za EPL (Home and Away) kwa mwaka 2019/2020:
1. Arsenal
2. Aston Villa
3. Bournemouth
4. Brighton
5. Burnley
6. Chelsea
7. Crystal Palace
8. Everton
9. Leicester City
10...
Naona mpaka Sasa kimya ,jumamosi ni ngao ya hisani kuashiria ufunguzi wa ligi kuu...
Lakini naona TFF Wala hamna habari na kutangaza mdhamini, achilia mbali zawadi kwa mshindi wa mwaka Jana...