Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kwa mujibu wa UFM radio ni kwamba aliyekuwa mchezaji wa simba na mkataba wake kumalizika msimu ulioisha, Haruna Niyonzima, raia wa Rwanda amesaini mkataba na club ya AS Vita ya Congo kwa dau la...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari Mabibi na Mabwana? Poleni na majukumu ya ujenzi wa Taifa, leo ni siku muhimu sana ya kufurushwa na Timu ya Taifa ya Algeria. Siku ya leo nasema bila kumung'unya maneno wala meno...
0 Reactions
1 Replies
803 Views
Kabla ya kuurudisha Utaifa wangu leo na kuishnagilia Timu yetu dhidi ya Algeria ,naomba kufahamu huyu Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa ,kama bado yupo Misri au la! Na je kuna lolote ameongea !
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Kabla ya kuongezwa kwa idadi ya Team zitakazocheza mashindano ya CAF Champions League na Confederation ilikuwa bingwa wa league anaenda Champions League na bingwa wa wa FA anaenda Confederation...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Pamoja na kuwa leo timu inatekeleza ilani ya Chama cha mapinduzi lakini ni ndugu zetu tuwaombee waishinde Algeria (Mbweha wa jangwani) kwa angalau (3 - 0) tupate nafasi ya best looser, wakati huo...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakti watanzania wakishangilia kuondolewa kwa kocha wa timu ya vijana baada ya kuboronga Oscar Milambo na Mkurugenzi wa Ufundi Amy Ninje kwa mujibu wa taarifa za gazeti la mwanaspoti leo inaonyesh...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni kama vile watetezi wa Paul Makonda kwenda Misri "Kuhamasisha" Taifa Stars wanataka kusema ama kuonesha kwamba ni yeye ndiye aliyesababisha Stars kufuzu kushiriki mashindano hayo baada ya miaka...
1 Reactions
3 Replies
799 Views
SIMBA YAINGIA KWENYE REKODI AFCON 2019 BAADA YA KUSHIKA NAFASI YA PILI KWA KUPELEKA WACHEZAJI WAKE 6 KTK TIMU ZA TAIFA ZINAZOSHIRIK MICHUANO YA AFCON NCHINI MISRI. Simba imefanikiwa kuzipiki klabu...
2 Reactions
17 Replies
5K Views
Namna hii mtabeba ubingwa kweli?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kichwa cha somo chahusika,moja ya timu zinazocheza soka zuri msimu huu wa mashindano ya afcon ni Zimbabwe lakini inashindwa kupata matokeo,shida nini? Mechi na Egypt ilionesha ubora wa Zim,mechi...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Siwezi kuwapa pole maana toka mwanzo wote tulifahamu kwamba tutafungwa japo atukujuwa idadi ya magoli mangapi tutafungwa. Back to the topic hivi lile shoot alipiga yule kinda wa senegal likazaa...
3 Reactions
118 Replies
10K Views
Ndani ya Dakika 55 tokea Filimbi ya mwisho ipulizwe na Kumalizika kwa Mtanange kati ya Harambee Stars ya Kenya na Taifa Stars ya Tanzania ambapo Tanzania ( Taifa Stars ) tumefungwa kama kuna...
10 Reactions
54 Replies
6K Views
Mujje tulumbee
0 Reactions
1 Replies
607 Views
Baada ya mchezo baina ya taifa stars dhidi ya harambe stsrs kumalizika kwa Harambe stars kupata ushindi wa mabao 3kwa2 Nahodha wa harambe stars Victor wanyama allielezea sababu iliyowafanya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Fifa will stage memorial for Foe Marc-Vivien Foe's death sparked national mourning in Cameroon Football's world governing body Fifa will commemorate the death of Cameroon midfielder...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Nikiwa nimejawa furaha zenye majonzi baada ya Taifa Stars kuchapwa na 3 kwa 2 na Harambee Stars, hii inafuatia furaha za wapenzi wa soka walio wengi hasa vijana ambao tumefurahia kufungwa kwa timu...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Watu ambayo hawajui lolote kuhusu mpira wala hawajawahi kucheza ndio wanakuwa wahamasishaji na wataaalamu wa ufundi Hebu angalieni wenzetu wanavyofanya
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Bila ya shaka yoyote Rais Magufuli na mtu wake anayempa kibri kila siku RC Makonda watakuwa wamepata jibu baada ya matokeo haya. Wakenya wako vizuri kila idara! Kenyans are better than Tanzanians...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
kama mtanzani mpenda maendeleo ya michezo napendekeza uyo mchezaji tajwa hapo juu afukuzwe ikibidi akatafute team ya taifa nyingine maana anachocheza hakieleweki hawezi kushambulia wala kukaba...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…