Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Je ni kweli mchezaji mkubwa atakataa kusaijliwa? Timu inashiriki europa, mchezaji mjinga atakataa kujiunga, ambapo msimu ujao timu inauhakika kuingia championi
0 Reactions
4 Replies
989 Views
Wanaokula pesa na Amunike nawaambia Taifa Stars itapigika sana...itapigwa ile mbaya...itapigwa kushoto, itapigwa kulia. Itapigwa mbele itapigwa nyuma. Itapigwa itagalagazwa...itapigwa mpaka...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa kamati ya ushindi ya Taifa stars RC Makonda amemwomba radhi Rais Magufuli na watanzania wote kwa ujumla kwa kipigo ilichopata kutoka kwa Harambee stars. Makonda amesema mpira ni...
0 Reactions
56 Replies
5K Views
No character, no experience, says Tanzania coach in brutal assessment By Reuters 23 hours ago By Brian Homewood CAIRO, June 28 (Reuters) - Tanzania's first Africa Cup of Nations participation...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mshambuliaji wa Paris St-Germain Neymar anataka kurudi Barcelona kulingana na naibu rais wa klabu hiyo . Hatahivyo Jordi Cardoner amesisitiza kuwa hakuna mawasiliano yoyote yaliofanyika kati yao...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa wenye kumbukumbu huyu alishawahi kuchezea simba msimu wa 2007. Hivi academy yao haizalishi
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kichwa chajieleza. Matendo na maneno yake yanamfanya asikubalike. Ila ukweli ni kwamba ana ushawishi na morali ya kufanikisha azima yake. Tubu na geuka, una mengi mbeleni
2 Reactions
26 Replies
2K Views
AC Milan will not take part in the Europa League next season after being banned by the Court of Arbitration for Sport Nafasi yake itachukuliwa na Torino Kesi nyingine inaendelea ya Manchester...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Aseeee! Ball control, ball balance,stamina,shoot with both feets! Ebaanaee hizo ni baadhi ya sifa zangu enzi hizo nikiwa kitaa naupiga mwingi.. Ebbana kama mtaani kwetu kipindi kile kungekua na...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Crystal palace & arsenal have agreed that,today is Saturday. πŸƒπŸΏπŸƒπŸΏπŸƒπŸΏπŸ’ͺ🏼πŸ’ͺ🏼πŸ’ͺ🏼πŸ’ͺ🏼
0 Reactions
1 Replies
910 Views
Timu ya taifa ya watu wenye ulemavu 'Tembo warriors ' imefuzu nusu fainali ya mashindano ya soka la watu wenye ulemavu kwa nchi za Afrika mashariki na kati
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Makonda ameanzisha project nyingi sana. Na nyingi hatuna feedback zinaendeleaje sasa hivi. Ila hatujasikia lolote kuhusu kuwekeza kwenye michezo ya vijana kuanza kada za chini kabisa. Ili safari...
0 Reactions
3 Replies
663 Views
Wakati mmoja kulikuwa na mazungumzo mengi juu ya Stars na uwakilishi hafifu wa Zanzibar. Zikaja kelele kuwa wanaojadili hili ni kuchanganya mchezo na siasa. Wazanzibari hawa utashangaa kama kweli...
1 Reactions
0 Replies
471 Views
Yupi ana tattoo nzuri, yupi ana mbaya. Ipi ina ujumbe, ipi ina kijembe. Mimi nimevutiwa na za Mephys Depay, Sane, Amartovich na Sergio Ramos. Karibuni.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nimeona hii habari ikiwa inatrend kwenye mitandao ya kijamii baada ya kupostiwa na Azam Tv kule kwenye Instagram. Kwa presha hii ya Makonda, Emanuel Amunike atakuwa ameingiliwa majukumu yake. Na...
3 Reactions
83 Replies
7K Views
Yapo mengi ya kujifunza kutoka na jinsi timu yetu ilivyofanya kwenye mashindano ya AFCON: 1) Mabeki hawakuwa wanajuamini kiasi cha kushidwa kumiliki mpira kiufundi badala yake kubutua (au...
0 Reactions
3 Replies
650 Views
Wanaofikiri na kuwaza kwa mapana ndio watanielewa. Mungu anawapenda sana wadanganyika na anaendelea kutumia uwezo wake kuhakikisha mkoloni mweusi anaondoka ofisini kwa wakati aliopanga yeye. Ni...
9 Reactions
16 Replies
1K Views
Labda itokee Angalau mchezaji awe mzuri kweli Kweli .... Lakini kuwa na mchezaji wa kiwango cha kawaida tu halafu mfupi sana mmh ifikie Mahala swala la physical appearance na skills yote...
0 Reactions
2 Replies
940 Views
Nikiwa kama Mtanzania sijaridhika kabisa na kejeli ambazo wakenya wanatufanyia mitandaoni , Uungwana ni vitendo , hata kama wametufunga lakini hali hii haikubaliki.
5 Reactions
23 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…