Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ndio hatuta shiriki tena Miaka 50 ijayo.Ngoya tusubiri tuone wabunge walienda kufanya nn misri.Hapo ndo tutajua ,Hiii nchi tunasafari ndefu sana. Sijapata kucheza mpira katika ngazi ya ligi kuu...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Mashabiki wa ngaya aka makwasukwasu hawajielewi eti wanaponda statistics za mchezaji wasiejua anacheza nafasi gani ndani ya uwanja
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Wandugu huyu aliyesema kwamba timu ya taifa haina lishe hajui kitu,tatizo nililoona ni stamina ,kocha alifanya kosa kupanga wachezaji bila kuwapa mbinu ya kucheza na majamaa yamevimba kama wacheza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu nimefuatilia sana mitazamo ya wapenda masumbwi,karibu asilimia tisini walishangaa kupigwa kwa Antony Joshua Kama kawaida yangu huwa sipendi kufuata mkumbo,ilinibidi nijiridhishe nione ubovu...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwa kumtuma huyo Bashite eti sijui akafanye nini huko Misri kwenye mashindano ya AFCON ndo karoga timu kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, huyo Bashite ndiye anayeenda kuitia timu uvivu mwili mzima na...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Mkurugenzi wa TBC anaitwa Dr Ayubu Ryoba , ni msomi wa juu kabisa , ambaye ndani ya TBC ndiye muongoza njia , hawezi kukwepa lawama ya jambo hili. Taarifa za awali zinaonyesha kwamba kitendo cha...
45 Reactions
85 Replies
8K Views
Dar es Salaam. Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema miongoni mwa sababu iliyochangia Stars kupoteza mchezo wa kwanza jana dhidi ya Senegal ni lishe duni ya wachezaji wetu. Spika Ndugai...
5 Reactions
139 Replies
12K Views
Amepokea kichapo kikali raundi ya saba Ruiz amchapa kwa knockout baada ya kumdondosha mara nne ::::::::::::::::: Kabla ya hili pambano baadhi ya mashabiki wa Joshua kwenye mitandao mbalimbali...
3 Reactions
89 Replies
11K Views
Nimejaribu kumsikiliza Karia marangingi nashindwa kujua mfumo wa uteuzi wa Rais wa TFF upoje ? Nani anamteua Rais wa TFF? Majina yanapendekezwa na nani? Hili ni swala la kitaifa na lina umuhimu...
0 Reactions
0 Replies
582 Views
KWANGU MIMI TOP 5 NI HII PALE TAIFA. 5-SIMBA 0-1 KAGERA SUGAR. 4-SIMBA 1-o YANGA aka NDALA. 3-SIMBA 3-0 JS SAOURA. 2-SIMBA 2-1 AS VITA CLUB 1-SIMBA 3-1 NKANA FC. ZAKO BORA NI ZIPI BILA UPENDELEO???
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Tujadili kwa manufaa ya Taifa.
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Haiwezekani kila siku yeye ndio anayeibeba timu huku wenzake wakimuangusha, nafikiri baada ya msimu huu aombe kuuzwa naamini Man City ndio sehemu sahihi kwake, vinginevyo pale Liverpool ataishia...
7 Reactions
69 Replies
11K Views
Kocha Amunike ametoka kwao kuja kutuharibia Taifa Stars. Kawaacha Afcon Ajibu na Mouse eti hawana nidhamu. Tumeona makocha wangapi wakifanya kazi na wachezaji wasiokuwa na nidhamu lakini wanacheza...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Tokea Uhuru hata leo mmekwenda afcon mara mbili tu na bado hamjui hiyo ni rekodi kwenu na ndo heshima yenu hiyo, bahati mbaya nyie siyo watu was rekodi na rekodi kwenu si lolote tofauti na wenzetu...
0 Reactions
0 Replies
586 Views
Spika Ndugai pamoja na wabunge wote walioenda Misri kuishangilia Taifa stars wamerejea na kutoa shutuma nzito kwa kocha Amunike. Juma Nkamia amesema Amunike ni dalali aliyeokotwa jalalani huko...
3 Reactions
77 Replies
8K Views
Mpira una misingi yake na kanuni zake ili timu ifanikiwe lazima iwe na wachezaji wenye uwezo na nidhamu..Si hivyo tu bali hao wachezaji wawe na misingi ya mpira toka chini mpira sio kubahatisha...
1 Reactions
1 Replies
820 Views
Mwakyembe bado hajasaidia tasnia ya soka hiyo sheria inakandamiza soka na inaingilia mambo ya soka. Serikali inatakiwa iwe na mpango mkakati wa kuandaa vijana ikiwemo na kujenga vyuo vya michezo...
4 Reactions
57 Replies
6K Views
Timu ikifanya vizuri kwenye mechi fulani, PONGEZI apewe Dkt Magufuli na Mwenyekiti wa kamati ya hamasg, Makonda. Timu ikifanya vibaya LAWAMA apewe Coach Amunike. Huu ni unafki wa aina fulani...
1 Reactions
1 Replies
785 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…