Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nikiangalia kikosi cha Pep Guardiola,pamoja na usajili alioufanya mpaka sasa,sioni timu tofauti na Man City ikibeba ubingwa wa EPL msimu ujao. Inauma,lakini niseme tu ili timu tofauti na Man City...
7 Reactions
202 Replies
16K Views
Inashangaza sana baadhi ya mashabiki wa Simba kutupa lawama kwa mwamuzi wa mchezo wengine wakitoa lawama kwa serikali, Swali la msingi ambalo wanajisahaulisha, Hivi kweli walikuwa serious...
5 Reactions
14 Replies
4K Views
Usiku wa leo, kuna hafla ya ugawaji wa tuzo za Ballon dor Kwa mara ya kwanza tuzo hizo hazitakuwa na majina ya Lionel Messi au Cristiano Ronaldo. Vinicius Junior wa Real Madrid anatajwa kama...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Bodi ya Ligi imeahirisha mechi kati ya Simba SC na JKT Tanzania kufuatia ajali iliyolikumba kikosi cha JKT Tanzania. Ajali hiyo ilitokea jana majira ya saa 1:00 asubuhi baada ya basi lililowabeba...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kikosi cha timu ya soka ya JKT Tanzania, kimepata ajali baada ya basi lililowabeba kuacha njia na kuanguka mtaroni majira ya saa 1:00 asubuhi leo na kusababisha maumivu kwa baadhi ya wachezaji na...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Mchezaji nyota wa Real Madrid, Vinicius Jr, hatasafiri kwenda Paris kwa ajili ya hafla ya utoaji tuzo ya Ballon d’Or baada ya kujua hatashinda tuzo hiyo mwaka huu. Uongozi wa klabu hiyo umeamua...
3 Reactions
4 Replies
634 Views
Wale wajuzi wa siasa mtusaidie hapo nani anauwezekano wa kushinda watu waweke millions 😁😁😁
3 Reactions
17 Replies
735 Views
Kocha Miguel Gamondi yupo kwenye orodha ya Makocha wanaohitajika na klabu za Afrika Kaskazini. Kulingana na taarifa za ndani, klabu ya JS Kabylie inataka kumteua kocha wa Yanga SC, Gamondi kama...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Mtazamo wangu baada ya kuwatazama Barcelona dhidi ya Madrid, nimegundua kwamba, pamoja na kufanya mazoezi ili mchezaji aweze kucheza soccer kikamilifu na kung'ara anatakiwa pia awe na akili kubwa...
1 Reactions
4 Replies
428 Views
Saa 4:00 usiku wa leo, kunapigwa mchezo mkubwa wa el clasico. Real Madrid dhidi ya Barcelona kule Santiago Bernabeu, Barcelona wako form huku Madrid wakiwa wa moto. Ni El clasico nzuri baada...
11 Reactions
248 Replies
9K Views
Wakuu Habari zenu? Maana ya neno Killer ki Hebrew ni "Rotzach" na "southern." ni Dromi" kwa Pamoja ikimaanisha "destroyer of the south." Kwenye mpira wa miguu kumekuwa na nickname kwenye majina...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Mpappe,Messi,Robaldo,taja mwingine,ukuwajumlisha kwa pamoja kwa sasa ndio unampata Vini Jr
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Taarifa za huyu mtu huko Uturuki zinadhihirisha Yanga walikuwa sahihi kulia kuibiwa mchezaji.
14 Reactions
28 Replies
4K Views
Wazee tunaoangalia Mpira Kuna kipaji kipya hapo Barca hakiimbwi sana ila ni shughuli balaa jamaa anaitwa MARC CASEDO Tujiandae kumpa jicho leo mechi na Bayern Munich, Very very talented
1 Reactions
13 Replies
690 Views
Kocha uyu kwa miaka yote aliyokaa coastal union ajawai kupata ata sare mbele ya Simba, lakini akikutana na timu nyingine unaona anapata matokeo! Uyu jamaa uwa ni mwanachama mwaminifu wa Simba...
5 Reactions
15 Replies
619 Views
Wakuu vilabu vyetu vinaubonda mwingi Afrika!. Klabu za soka za Simba na Yanga za Tanzania, zimetajwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kwenye orodha ya klabu 10 zinazowania tuzo ya Klabu Bora...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Cristiano Ronaldo, nyota wa Al-Nassr, anamtafuta mzee mmoja aliyeonekana katika video akimtaja kwa hisia, huku akitokwa na machozi. Katika video hiyo aliyo-post kwenye mtandao wa X (Twitter)...
1 Reactions
6 Replies
788 Views
Kwa Timu yangu ninavyoijua (tena baada ya Kijili hivi majuzi Kuwasaidia) hadi sasa ningekuwa mbele kwa Goli 4 hivi.
2 Reactions
7 Replies
504 Views
1. Mchezo ulikuwa mzuri isipokuwa wachezaji wetu wana fatigue na huu mkakati tuliowekewa wa kucheza baada ya siku 2 nna uhakika tunaenda kudondosha point hasa kule mkoani vs Mashujaa lakn mungu...
6 Reactions
20 Replies
1K Views
1. Mechi ilikuwa nzuri kwa upande wetu na hasa binafsi nilifurahishwa sana na upangaji wa kikosi pale Fahdu alipomweka Awesu Awesu kucheza namba 10 na Augustine Okajepha kucheza kiungo wa juu...
10 Reactions
27 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…