Salaam
Nina miaka 22 now na sijawahi jifunza mchezo wa aina yoyote ule katika makuzi yangu hadi muda huu
Dhumuni kuu la kuleta uzi huu kwenu ni kutaka kujua vitu vingi na vichache pia toka...
Winga wa zamani wa kimataifa wa Yanga na Tanzania, Edibily Jonas Lunyamila ana umaarufu mkubwa sana jijini Kampala, katika mashabiki watano wakongwe wa mpira basi watatu lazima wamuulizie...
Kama ilivyotarajiwa timu za daraja la kwanza, Pamba na Geita Gold zimebaki kule kule baada ya kuvuja jasho na damu ili zipande Ligi Kuu, matokeo yake ukabuniwa mtindo sijui wa wapi eti play-off na...
Nimepitia mitandao ya kijamii baada ya Kocha wa Taifa Star kutangaza majina 32 na Jana kutangazwa majina 23 ya kushiriki AFCON kumekuwa na maneno mengi Sana kwa kocha .
Baadhi ya taarifa ni...
KWANINI SERIKALI IMEKUWA KIMYA SANA KWA WAZEE WA SIMBA NA YANGA.
Tumetoka mbali sana na timu zetu za Simba na Yanga,kiumri ni sawa na timu hizi kuwa babu sisi wajukuu,timu zimeanzishwa miaka...
Mo ni Mtu ambaye ungetegemea anavijua vizuri hivi vilabu vya Simba na Yanga, achana na historia zao ila siasa zake.
Siku niliposikia Mo anataka kununua hisa 49% za Simba nilipata mshangao sana...
Habari wanajukwaa
Katika Hali ya kushangaza mchezaji mahiri wa Simba na timu yako Taifa Tanzania John Boko amesaini timu mbili tofauti , Polokwane FC ya Afrika Kusini na timu ya Simba ya Tanzania...
Habari za asubuhi wakuu
Nimekaa chini kwa mda mrefu na kuamua kuichambua Tottenham ya Mauricio Potchetino kwa ufupi tu
Tangu Mauricio Potchetino ameichukua hii team kumekuwa na uimara mkubwa...
Hakika kwa namna hali ilivyo hizi timu mbili ninazozichukia kupindukia zikihitaji ubingwa wowote labda tu WAIBE maana wana gundu na nuksi mbaya ya mashabiki wao kuongea sana.
Mimi shabiki wa...
Wazungu wako vzr sana.... Huyu hapa shabiki wa Arsenal game ameamua kuonyesha unazi wake kwa timu yake....sherehe ilienda vzr na kuifanya iwe na mvuto wa aina yake....cheki maneno
Habarini Wadau,
Ninaomba kwa wale watazamaji na wafuatiliaji wa Mpira wa miguu mnitajie mabeki bora ambao wamewahi kuzitendea haki nchi pamoja na klabu zao kwa kuwapa tabu sana Washambuliaji...
Hii kwa wanachama, mashabiki, wapenzi na wakereketwa wa Timu ya Yanga, mabingwa wa Ligi kuu bara mara 27.
Nicolas Musonye, umetukosea sana kwa maneno mabovu dhidi yetu, sababu za Yanga kujitoa ni...
Klabu ya Soka ya Pamba Fc ya Mwanza wana Tp Lindanda wanapambana na Kagera Sugar katika mchezo wa kuwania kupanda ligi kuu.
Pamba ni timu iliyotesa sana miaka ya nyuma, kuna wachezaji wengi...
ni watu wameona mbali kukataa mashindano ya kombe la afrika mashariki kwa timu za taifa kukataa kuandaa mashindano hayo tunangoja majibu ya TFF kama wao watakubali kuandaa kagame cup kama...
Habari wanamichezo
Taarifa zilizopo club ya esperance de Tunis ya nchini Tunisia Imekataa kurudisha kikombe cha CAF champion league iliyokipata baada ya ushindi wa goli 1 dhidi ya wydad...
"Yanga hawakushiriki michuano ya Kagame Cup msimu uliyopita pia kumbukeni wao sio Mabingwa wa Tanzania, hatutawamisi katika michuano hii acha wajitoe hatujali ikiwa watacheza ligi ya mabingwa...