Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wakuu hebu tupeane tetesi za usajili na usajili uliokamilika katika ligi kuu Tanzania bara. Usajili wa wachezaji na Makocha,nani katoka wapi na kaenda wapi,je ni usajili mzuri ? Yanga na Simba...
3 Reactions
34 Replies
5K Views
Ligi kuu imemalizika Leo kwa timu zote za Ligi kuu kucheza mchezo wa mwisho na timu mbili kushuka daraja na timu ya tatu kupambanishwa na timu za Daraja la kwanza ili kupata timu itakayoshuka na...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Kwa mfano hii. Eric: BARRY ElTON: ATTENTION!!! ATTENTION!!! ATTENTION TO ALL SPORT LOVERES Join this TELEGRAM Channel and see how much you wil be making Today...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu wadau. Ikiwa zimebaki siku kadhaa kabla ya michuano ya AFCON kuanza nchini Misri naomba kujua kama King'amuzi au kituo chochote cha Luninga ambacho kitarusha Mubashara michuano hii...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Esperance wametakiwa kurejesha kombe la ligi ya klabu bingwa Afrika na kucheza mechi ya marudiano ya fainali. Esperance ya Tunisia iliongoza kwa goli 1-0 kwenye mechi ya marudiano lakini...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Timu ya Soka ya Young Africans “Yanga” imetoa taarifa ya kutoshiriki Kagame Cup mwaka 2019 kutokana na changamoto mbalimbali. Changamoto zilizotajwa ni pamoja na 1. Wachezaji wengi kumaliza...
3 Reactions
28 Replies
4K Views
Wakati kenya wakiwa ufaransa, uganda na ghana wakiwa Dubai toka wiki lililo pita huku wakicheza mechi za majaribio.. Tanzania tumeweka kambi Kunduchi na kutangulia misri kuwasubiri wengine...
9 Reactions
58 Replies
5K Views
Timu ya Taifa la Wales anayochezea chipkizi wa Manchester Utd D.James imetazamwa na mamilioni wa mashabiki duniani. Sabab kubwa ni mchezaji huyo James anasifika kwa mbio...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Amunike yaani nani kakushauri au kwasabu Ulimwengu yuko nje ya nchi ila ki ukweli Ajibu alistahili pale stars ASANTE nb:sasa tuna timu 4 CAF zilizobebwa kwa mgongo wa simba
1 Reactions
3 Replies
983 Views
BRIGHTON YA ENGLAND YAONGOZA MBIO ZA KUMSAJILI MBWANA SAMATTA Timu ya Brighton inaongoza mbio za Usajili za timu kutoka Ligi Kuu ya England ambazo zimeonyesha nia ya kumsajili Nyota wa Kimataifa...
7 Reactions
55 Replies
7K Views
Aishi Manula, Erasto Nyoni, Abdu Banda, Aggrey Morris Kelvin Yondan, Mao Mkami,Simon Msuva, Mudathir Yahya, Mbwana Samata, John Bocco, Yahya Zayd
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Mchezaji mbeligiji Eden Hazard ametimiza ndoto yake ya kuchezea klabu ya Real Madrid ya huko hispania. Hazard amesaini mkataba wa miaka mitano akitokea klabu ya Chelsea ya nchini Uingereza.
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Kostantine Kimanda, Yanga Banza Tshkala, Yanga George Magere Masatu, Simba Hussein Masha, Simba Meck Mexime, Mtibwa John Mwansasu, Yanga Kenneth Mkapa, Yanga Anwari Awadh...
1 Reactions
62 Replies
11K Views
Mtanange ushaanza Thiem anaresist. Tusubiri tuone nani atashinda
2 Reactions
93 Replies
5K Views
Gennady 'Goodboy' Golovkin almaarufu kama GGG, bondia wa kiwango cha juu sana duniani wa uzito wa kati anatarajia kupanda ulingoni usiku huu kuzichapa na mcanada Steve Rolls. GGG ambaye...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tumeshuhudia utitiri mkubwa wa wachezaji wa kigeni wakija hapa kwetu kucheza ligi yetu. Wengi wao huwa ni magarasa lakini wachache huwa ni wachezaji haswa. Ni wachezaji gani wa kigeni uliwahi...
2 Reactions
53 Replies
9K Views
Klabu ya Simba SC imepanga kujitoa kwenye michuano ya Kagame Cup yanayotarajia kufanyika July 07 hadi July 21 nchini Rwanda. Ceo wa klabu hiyo Crescentus Magori amesema watapeleka barua rasmi...
1 Reactions
40 Replies
6K Views
Kandanda ni burudani iliyo na Mambo mengi sana! Kandanda ni kilevi kama vilevi vingine ni ngumu sana kua acha kutazama kandanda kwa lugha ya mkato tutasema umesitisha au umepumuzika kutazama...
3 Reactions
71 Replies
14K Views
Kufuatia kukamatwa hapo jana kwa Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), Bwn. Ahmad Ahmad raia wa Madagascar, kuna kila ishara kuwa watakaofuatia katika kamata kamata hiyo ni Marais wa...
8 Reactions
44 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…