Kumekuwa na mijadala ya hapa na pale kuwa beki wa kati wa Liverpool na timu ya taifa ya Uholanzi, Virgil Van Dijk (VVD) ndiye beki bora wa kati kwasasa Duniani.
Na wengine hasa mashabiki wa...
TFF kupitia bodi ya Ligi imeomba radhi kutokana na upotoshwaji wa data na kupelekea kuishusha Kagere Sugar isivyo sahihi. Leo mchana akiongea na waandishi wa habari CEO wa bodi ya Ligi Wambura...
Hatari wakuu
Taarifa zilizonifikia hivi punde mjumbe wa kamat tendaji ya YANGA amefariki dunia Leo asubh taratbu Za mazishi zinafanyika mbezi beach nyumban kwake marehemu
Ikumbukwe ndugu kibodya...
Wakati dunia ya leo inapinga udikteta bado nchi za Africa Mashariki na ya kati zinaukumbatia kufa na kupona !
Ni nani hapa jf na kwingineko asiyeufahamu udikteta wa Kagame , kwanini mmenyamazia...
Inasikitisha mpaka sasa bado hujawapa hiyo pesa wachezaji ambayo uliahidi kwa mbwembwe.
Fanya kuwapa ili kuinua morali yao kuelekea kwenye michuano ya afcon
Ni hilo tu kwa sasa
Amani ya mwenye kumiliki huu ulimwengu hipo pamoja nanyi.
Masheikh kutoka NChi mbali mbali Dunian ikiwemo nchi yangu pendwa kabisa ya Tanzania wamefika katika Club ya Manchester united kwa...
Ili ligi ikue zaidi, inatakiwa pia kombe(trophy) liwe kama identity pia, Yanga alipochukua ubingwa mara 3 alipewa makombe yenye muonekano tofauti, nilijiuliza hivi kweli hii ni ligi au bonanza ...
Kwenye soka kumekua na wachezaji wenye vipaji vya kila aina ila kwenye suala la kufunga kwa kupiga vichwa ni wachache sana wapo.
Je unaweza kutupa list yako ya wachezaji watatu bora katika...
soma hii habari ya kocha wa simba kuongezewa mshahara na kulipwa 22.7 million a month halafu paragraph ya mwisho inasema anayemfatia ni msaidizi wa yanga noel lwandima nayelipwa milion 7 .Ina...
Kocha Aussens ni binge LA kimeo ila amepata bahati ya kuwa na wachezaji wazuri. Angepewa timu kama Ndanda au Mbeya City asingepata sifa aliyonayo. Simba wanabugi kumpa mkataba mwingine. Makocha...
May 30, 2019 by Global Editor
Mbwana Samatta amefunguka kumpiga mabao mengi ali kiba katika mechi yao ya Team Samatta na Team Kiba itakayopigwa june 02, 2019. Kampeni ya Nifuate hivi sasa ni...
Huyu ni captain wa simba, siku ya kucheza mechi ya mwisho na mtibwa sugar hakuwepo hata bench
Hata kwenye kukabidhiwa ubingwa hakuonekana
Na hakuna taarifa zilizotoka Je tatizo ni nini?
Mbona...
Habari kutoka Rwanda zimethibitisha klabu ya Yanga kuwasajili wachezaji wa 2 wa timu ya Taifa ya Rwanda kwa miaka Kila mmoja
Issa Bigirimana kutokea APR anaecheza Kama straiker na Sibomana Papy...
Zahera anakuja Yanga akitokea timu ya taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), ambako alikuwa Msaidizi wa Florent Ibenge tangu Sep 30, mwaka jana.
Lakini Zahera pia amezifundisha DC...
Tarehe 23/05/2019 mlionesha mechi ya kabumbu baina ya Simba SC Vs Sevilla FC ya Hispania.
Mlichofanya ni uhuni & ubabaishaji. Hakukuwa na jambo lolote linaloendana na mechi ya kabumbu; hakuna...
ITIFAKI IMEZINGATIWA.
Utangulizi: Kwenye Mchezo Wa Mpira Wa Miguu Baada Ya Mashindano Kumalizika Mshindi Hupewa Zawadi Ya Pesa Na Kikombe.
Swali: Kile Kikombe Anacho Pewa Mshindi Huwa Ni Mali...