Barcelona wenzangu Valencia wametupiga 2-1 mchezo wa fainali kombe la mfalme, nilivyoyaona magoli yote mawili tuliyofungwa ni uzembe wa wazi wa defenders ukiongozwa na Pique, hivi lini...
Kama kuna Timu mbili Kubwa duniani ambazo nazichukia na sitozipenda au Kuondoka Kwangu Ulimwenguni ni Yanga SC ya Tanzania na Manchester United ya nchini Uingereza. Haiwezekani Manchester United...
Mna timu kabambe , kuanzia kocha hadi wachezaji na mnacheza ligi ya mabingwa , kama haitoshi mmemtandika mbabe Real Madrid kwa kipigo cha mbwa aliyekunywa maziwa ya mtoto , bao 3-1 , mnafungwaje...
Hii ni baada ya kuichapa Derby count kwa mabao 2-1 katika mchezo mkali wa fainali ya Play off
Mabao ya El Ghazi dk 44 na lile la Mac Ginn dk ya 59 yalitosha kuifanya Villa ikamilishe timu tatu...
KWANZA
Klabu yangu ‘ pendwa ‘ ya Simba imekuwa Bingwa tena na Kukabidhiwa rasmi Kombe lake ili iweze Kuiwakilisha vyema Tanzania ya Rais wangu Mpendwa Dkt. John Pombe Magufuli katika Michuano ya...
Kuifagilia nchi ya Rwanda katika jambo lolote lile ni sawa na kuiambia dunia kwamba KUTAWALA NCHI KIDEKTETA NI JAMBO LA HALALI .
Paul Kagame kiongozi wa Rwanda aliyethibitika kutawala nchi yake...
Duru kutoka Ulaya zinadokeza kuwa Barca wanafanya mazungumzo na klabu ya PSG kuhudu mpango wa kumrejesha Neymar.
Katika dili hilo, huenda Barcelona wakamtoa sadaka Kiungo Phillipe Coutinho au...
Walinionyesha kuwa kila kitu kinawezekana ukiwa katika 'spirit ya hali ya juu sana'.
Barca japo ni timu bora na kubwa lakini spirit iliwaangusha.
Ajax japo walikuwa wazuri sana lakini walizidiwa...
Hii nchi kuna utani kila sehemu. Hivi TFF wanawezaje kutoa kikombe uchwara kama hiki kwa Bingwa wa Nchi?
Mimi nimezoea kuyaona kwenye michuano ya UMISSETA ile michuano ya wanafunzi wa sekondari...
Kwa mujibu wa kanuni zinazopatikana kwenye website ya bodi ya ligi http://tplboard.co.tz/downloads Kagera anatakiwa kucheza play off na si kushuhwa daraja mooja kwa moja kanuni namba 7 kipengele...
Habari wana jf,
Baada ya kupita kwenye mitandao mbalimbali na pia kusikiliza kauli za kutoka TFF nashindwa kuamini kama Kweli ni tatizo kwa kiasi hiki
Niende moja kwa moja kwenye Mada husika...
Ukimsikiliza mtendaji wa bodi ya ligi ndugu wambura anasema kagera imeshuka daraja lakn Ukimsikiliza mwenyekiti wa bodi ya ligi bwana mguto anasema stand imeshuka daraja wakuu mnaoelewa hili...
Naangalia hili kombe ambalo wanakabidhiwa simba Leo uhakika ni Kama kinu, hakuna ubunifu wala halileti mvuto kulitizama
Hili kombe kwa wahenga wenzangu mtakumbuka yalitumika miaka ya 80 kurudi...
Pazia la Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) kwa msimu wa 2018/2019 linatarajiwa kufungwa leo Mei 28, 2019 kwa timu zote 20 kupepetana kunako Viwanja tofauti nchini Tanzania
Simba SC, Mnyama Mkali...
Taarifa zilizopatikana jijini Dar es Salaam jana zinameeleza kuwa TP Mazembe wamesitisha nia yao baada ya kushindwa kufikia makubaliano binafsi na mshambuliaji huyo ambaye mkataba wake na Yanga...