May 23, 2019
Dar-es-Salaam, Tanzania
AZAM TV MMEONA UBORA WA KUPIGA MATCH LIVE SIMBA SC VS SEVILLA FC
Natumai kituo cha Azam TV wameona namna bora ya kuonesha mechi live ya mpira kama LaLiga TV...
Huko nyuma nilidhani Mashabiki wa Simba SC wana uelewa mkubwa wa Masuala mazima ya Kimpira kuliko wale Mashabiki wa ‘ hovyo hovyo ‘ wa Yanga SC kumbe taratibu sasa naanza kuona hali ni tofauti na...
Kwenye shughuli ya kumuapisha ramaphosa hapa naona zaidi ya midege hamsini ya kijeshi IPO angani
Afu hii Africa kusini nimegundua mzungu/kaburu ananguvu sana
Kila kitu wanasimamia wao
Simwoni...
Naam timu nne toka Uingereza zilitinga robo fainali UEFA, na hatimaye mbili zinakwenda kucheza fainal baada ya kupindua meza kibabe (Comebacks) huku kule Europa league kuna team mbili toka...
Ameyasema hayo katika ufunguzi wa kikao cha maafisa mawasiliano serikalini kinachoendelea muda huu jijini Mwanza na kurushwa live na TBC1. John Mongella ni mkuu wa mkoa wa Mwanza.
Habari za asubuhi wadau, kwa jinsi nilivyo fuatilia ligi kuu ya Tanzania bara TP, hiki ndio kikosi changu bora, unaweza weka chako pia.
1.Aishi Manula
2. Nickolas Wadada
3. Mohamed Hussein...
Kwa anayefahamu Channel ipi wataonyesha basi tupeane taarifa mapema ili sie wengine wa hapa Dar tuifuate stadium ikiwa hautaonyeshwa.
Tuombe mungu tu mvua isiharibu burudani hii adimu.
Binafsi kama yanga tunataka tuwe timu ya ushindi wachezaji wafuatao sioni nafasi yao
1.Kindoki
2.Haji Mwinyi
3.Mathew Antony
4.Buswita
5.Kamusoko
6.mahadhi
7.Dante
8.Jafari
9.Boban
Wakuu,
Natabiri hawa mabingwa watetezi na watarajiwa ligi kuu kulambwa bao kadhaa pale kwa mchina na kutuabisha sana. Kama unaamini kama mimi sema "mnyama atakatwa mkia"
Teh teh teh!
Hata Jana Zahera amelalamika Simba wamepewa ubingwa, kumbukeni Yanga mechi zote round ya kwanza walicheza Dar wakawa wanaongoza, Simba ikiwa mikoani ikishinda na kukusanya points, wakati huo Yanga...
Tafadhari Shufu Somo Hapo Juu,,
Ktk makuzi yangu, nikiwa mdogo nilikiwa primary nilicheza mpira wa miguu nikiwa back no 2. Baada ya kumaliza primary ckua na hobby kabisa na michezo yoyote. Hata...
Na Bakari Chiijumba,
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Timu ya SimbaSC , Mo Dewji amesema baada ya Kocha Mkuu wa Klabu hiyo,Patrick Aussems kutimiza malengo yaliyowekwa na Klabu,tayari bodi...
Shirikisho la Soka Duniani Fifa limesitisha mpango wa kuongeza nchi zitakazoshiriki Kombe la Dunia mwaka 2022 hadi timu 48. Rais wa Fifa Gianni Infantino mwaka jana alisema mpango wa kuongeza timu...
TFF Imeandaa mashindano ya Kunywa Uji wakati huu wa Ramadhani na Yanga inaonekana Ina uwezo Mkubwa wa kuchukua KOMBE LA UJI MWAKA HUU kutokana na Usajili wake na Ufundishwaji chini ya Super Couch...
Guinea Disqualified From FIFA U-17 World Cup Over Age Cheating
Guinea Banned And Disqualify From FIFA U17 World Cup Over Age Cheating
CAF Disciplinary committee have recommended the...
Mara baada ya kuibuka taarifa ya kupokwa unahodha wa timu ya Taifa ya Ghana Assamoh Gyan alitangaza kutangaza kuchezea timu ya Taifa kuelekea AFCON 2019 nchini Misri.
Taarifa hizo zilimuibua Rais...