Viongozi walizokuwa wamebaki katika klabu ya Yanga wote Leo wametangaza kujiuzulu katika nafasi zao wakiongoza na kaimu makamu mwenyekiti Samwel Lukumay, wengine waliojiuluzu ni Suzan Lyimo na...
Baada ya kuwaona baadhi ya wachwzaji wanaotoka katika mkoa wa Mwanza hasa Wasukuma leo tujikumbushe wachezaji waliotokea mkoa wa Kigoma ambao kabila kuu ni Waha na Wamanyema, naanza na wafuatao
1...
Nimesoma taarifa ya Kamati ya Masaa 72 kwa masikitiko sana,nimewasikia watani zangu Yanga.
Wamepigwa faini ya milioni sita kwa makosa mawili kuhusu mechi ya KMC. Makosa haya ni kutumia mlango...
TIMU ya Soka ya Taifa ya Vijana ya umri chini ya miaka 17 maarufu Serengeti Boys itakuwa mwenyeji wa Fainali za Afrika kwa umri huo zitakazofanyika hapa nchini kwa mara ya kwanza .
Fainali hizo...
Haya ndio matokeo ya vurugu za watani wa jadi. Game ya watani wa jadi wa Cairo,Misri inaenda kupigwa ikishuhudiwa na shabiki 30 badala ya nyomi ya zaidi ya watu elfu 50.
Timu zimeruhusiwa...
Alliance anakipiga na Yanga mda huu. Karibu nikusogezee yanayotokea CCM Kirumba.
Mshindi lazima apatikane hata kwa penalty.
Dakika ya 10 matokeo ni bila bila
Sent using Jamii Forums mobile app
Niwe tu muwazi kwamba mimi si mtaalamu wa mambo ya boxing ila ni mfuatiliaji na mshabiki wa mchezo huu toka enzi za akina Tyson za kuamka alfajiri kusubiri pambano na Lewis. So ni shabiki wa...
Ule mchezo fulani hivi una involve barriers mbalimbali...juu juu ya maji...ni mashindano fulani hivi within a time uwe umefika mwisho...
Barriers ni mfano kama maduara yanayozunguka, mara njia...
Sijaelewa ni kwanini magari yanaruhusiwa kupark ndani ya uwanja wakati wa michezo ya ligi kuu. Wakati wa mchezo wa Yanga na Lipuli kule Iringa uwanja wa Samora niliona zaidi ya magari 11 likiwemo...
Nmekuwa nikimfuatilia huyu mzee toka ajitafutie cheo yanga...simwelewi kabisa. Naona kama amewekwa pale makusudi na watu flani kuivuruga yanga.
Toka aandike barua feki ya kuwa manji anarudi yanga...
Pale mnaposema Simba this time anaingia kwenye plays off hivo anaweza kutoka kwenye quorter final msijiweke kwenye asilimia 100 kwani hata kabla ya makundi tulicheza plays off na mbabane bila...
Mabingwa wa Nchi ya Tanzania na Wawakilishi Pekee, Ligi ya Mabingwa Afrika Simba SC, baada ya kufuzu kuingia hatua ya robo fainali, Ungependa Simba SC apangwe na Timu Ipi kati ya Hizi hapa...