Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kwa kweli picha iliyoonyeshwa na TFF na Serikali katika kuthamini mchango wa wachezaji wa Stars katika kutuletea furaha Watanzania ni kuwa hata yaliyofanywa na Kamati eti ya hamasa ni kutafuta...
8 Reactions
19 Replies
3K Views
Yaani kabisa niishangilie Simba kuwa inawakilisha nchi, hapana hilo sitaweza na hata wao Simba hawataweza, Ushindi wao dhidi ya Vita umekuwa kero sana kwangu, Walipofika panatosha MUNGU IBARIKI TP...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Kapteni wa Taifa Stars, Samatta ameomba TFF impatie Mchezaji mwenzake Kapombe zawadi kama Wachezaji wengine, likishindikana hilo amewaomba Wachezaji wenzake wote wamchangie mwenzao huyo na kama...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Kama nilivyoanza hapo juu kufuzu kwa Tanzania hakuendani na ubora bali ni Madudu ya CAF kwa miaka mingi CAF imekuwa ikiandaa michuano ya mataifa AFRIKA na kushirikisha timu 16 ambazo kumi na tano...
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Hivi Adam Nditi yuko wapi siku hizi? Huyu jamaa kuna kipindi alivuma kama MTANZANIA ANAYECHEZEA CHELSEA B. Na tuliambiwa anaenda pandishwa timu A. Kuna tetesi alikuwa karibu sana na Shaffih Dauda...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
habari za ushindi wa Tanzania dhidi ya Uganda sijazifurahia maana jana nimetoka huku bagamoyo hadi temeke ili nishangilie taifa stars lakini nikaambulia kulizwa na mabomu na kupigwa na maji...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Leo hii tumejionea faida kubwa ya wachezaji wa kigeni wanao cheza nchini na juhudi za watanzania kuiga Ukiangalia kwa undani mchezo wa Leo kati ya UGANDA Na TANZANIA utaona nikwajinsi gani...
5 Reactions
20 Replies
3K Views
Kwanza niwapongeze Wachezaji na Benchi la Ufindi la Taifa Stairs kwa kufuzu AFCON2019. Mimi ni mmoja yua walioboreka sana kwa kufungwa kule Lesotho, lakni kwa kutoka kwenu draw na UG kule kwao...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Emu muone hapa na lipua lake. Nyimbo ameimba diomond shabiki wa simba ila mbwebwe unatuletea mashabiki wa yanga? Mkurabita mkubwa wewe, takukuru wa kijani wewe.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jana tumefanikiwa kucheza AFCON na wote tumekimbilia kumpongeza Makonda huku tukimsahau mhamsishaji mkuu ambaye amefanikiwa kuwafanya watu waelewe na kukubali kuwa "Inawezekana",Yes,We can!! Haji...
17 Reactions
32 Replies
4K Views
Mwenye kujua mapato ya mechi ya Taifa star na uganda atujuze maana mkulu alitutonya uwezo wa kiwanja ni watu 65000 na waliongia na kubaki nje idaki haiajulikani...basi hicho kilichipatikana mwenye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni mwezi huu klabu ya Simba imefanikiwa kuingia robo fainali ya michuano ya klabu bingwa Afrika,timu ya taifa imekata tiketi ya kushiriki mashindano ya mataifa ya Afrika na bondia mtanzania...
14 Reactions
35 Replies
4K Views
Ni wendawazimu tu kufikiri eti KUNA ZAMU ZA KUSHIRIK AFCON. hii akili sijui ni ya wapi? Afcon inataka maandalizi na mapambano ya dhati ya nia dhabiti na malengo mahsusi. Specific Objectives. Sasa...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Mwaka 1980 ni miaka 39 iliyopita. Ni kitambo. Tanzania ya wakati ule ilikuwa bado ni nchi ndogo sana. Kiuchumi na hata katika suala la idadi ya watu. Mwaka ule mtu ukikatiza mbele ya meza ya...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Ni kawaida yetu kuwa na shughuli za zimamoto. Jinsi ambavyo mechi ya jana ilitengenezwa ilikuwa kama vile ndo tumefaham siku za hivi karibuni.tumeona mechi za awali zilivyokuwa taifa stars ikiwa...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Kwa mlioangali mpira Jana watoto wa Taifa Stars walipiga mpira mzuri sana mpaka ikawa ngumu kujua yupi ni Man of the Match. Kwa maoni yako wewe unaona nani anastahili kuwa Man of the Match?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Usalama wa watanzania ulikaribia kuhatarishwa na wale wote waliouza tiketi nyingi mno kuliko uwanja za kuingia uwanja wa mkapa kuangalia mechi ya taifa stars v Uganda. Hii ilikuwa na malengo gani...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimewaza ni nafasi gani hii adimu sana ambayo wachezaji wa Taifa Stars wamepata ya kuonekana kuonyesha vipaji vyao. Nikasema kweli Mungu hamtupi mja wake! Platform kubwa kama hii wachezaji wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Usalama wa watanzania ulikaribia kuhatarishwa na wale wote waliouza tiketi za kuingia uwanja wa mkapa kuangalia mechi ya taifa stars v Uganda. Hii ilikuwa na malengo gani? Kuibia watu? Kuua watu...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Tff siku za nyuma walitangaza kamati wezeshi ya kuhakikisha tunashiriki michuano ya Afcon kule Misri mwaka huu,Kamati hii ya ushindi ilikuwa inaongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul...
22 Reactions
115 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…