Kwanza naipongeza sana Taifa Stars kwa ushindi wa uhakika na kuingia ngazi kubwa zaidi katika mashindano ya AFCON.
Pamoja na pongezi hizo za juhudi binafsi ya wachezaji na kocha wao, mi naona ni...
Taifa Stars wasibweteke kwani bado hawajavunja rekodi ya akina Peter Tino na Tenga ya mwaka 1980.
This time tumefuzu tukiwa washindi wa pili kama Kenya na Burundi baada ya timu kuwa zimeongezwa...
Katika Tanzania tunashindwa kuwaenzi Mashujaa wetu katika Matukio waliolifanyia Taifa hili.Leo nimeona Mh.Rais akimpatia Mchezaji Peter Tino Sh.Milioni 5 lakini najiuliza je Mchezaji huyo alikuwa...
Lazima tukubali ukweli,
Tanzania imeQualify AFCON2019 sababu ilikuwa kundi la vibonde. Pia, kutokana na Ukweli kwamba Uganda hawakuichukulia hii mechi serious kabisa.
Anyway bahati hutokea Mara...
Ni kweli Tanzania tumefanya vizuri kwenye mechi kati yetu na Uganda. Lakini mimi najiliza 'kwanini tusubiri bahari nasibu?' kwanini tuwe watu wa kucheza Kamari kila siku? Kwanini tuwe watu wa...
Lawama zimekuwa nyingi sana juu ya mashabiki waliojitokeza jana taifa, ikidaiwa takribani ya 60% ya watanzania waliofika taifa hawakua mashabiki wa ukweli, wengi walienda kwaajili ya kufwata...
Africa Football is totally a mess..
Congolese side AS Vita Club have threatened to lodge an official complaint with CAF against Tanzanian club Simba SC for spraying an unknown material in the...
Huwezi ukaita Wachezaji Watatu ( 3 ) wa Simba SC halafu ukawaita Wachezaji Wanne ( 4 ) wa Yanga SC. Kuanzia leo namchukia rasmi huyu Kocha na naomba Mungu tufungwe mechi zote kuanzia sasa. Na huwa...
Siku ya jana uwanja wa taifa ulijaa hadi watu wakakosa siti wakaishia kukaa kwenye ngazi na wengine wakasimama huku wengine wakikosa kabisa hata kuchungulia tu uwanjani wakaishia kuzunguka nnje...
"I'm happy with a draw because I'm both a Ugandan and a Tanzanian, all my countries won."
Rais Museveni alisema katika mechi iliyopita bora draw kwani yeye ni raia wa nchi zote. Tunashukuru...
Habari wababa na wamama
Kwanza kabisa nimshukuru sana Rais Magufuli kwa ahadi ya kuwapa viwanja mashujaa wetu wa Taifa Stars baada ya ushindi mnono wa mabao 3-0 dhidi ya Uganda...
Ukweli usiopingika timu ya Taifa ya Uganda jana ilikuwa kama inafanya mazowezi.
Inafaa tuwapongeze kwa kutuwezesha kupata ushindi.
Ukimpongeza mshindi usimsahau aliyepambana nae.
Sent using...
Mungu wetu ni mwema sana. Ameiongoza na kuilinda timu yetu ya Taifa ya soka (Taifa Stars) hadi ilipofikia. Ameipa alama ilizonazo sasa na kesho anaipa nafasi na baraka za kufuzu kwa michuano ya...
Wakuu naombeni msaada wenu, nimepata kibarua hapo Kisarawe ila makazi yangu ni huku Kigamboni. Naweza kwenda Kisarawe na kurudi kila siku? Ikumbukwe sina usafiri binafsi maana nisije nikaiga mtu...
Natumai mmeamka salama,
Hizi fikra zilianza kujengeka tangu mechi za mnyama hasa kuanzia mechi na js saoura.
Ikafika mbali mpaka kuonekana kuwa eti tunapulizia timu pinzani sumu ya kulegeza...
Huku intamba-mu-ragamba kule the cranes pale Harambee stars afu tunamaliza na sisi wenyewe baba la baba Taifa stars. Hakika ni furaha sana kuona timu nyingi za ukanda wetu kwenye michuano mikubwa...
Ninachokiweka hapa na sehemu tu ya Maongezi yangu ya Kirafiki ambayo huwa nafanya na Wachezaji wengi wa Kiganda hasa hawa wanaocheza hapa Tanzania hasa kutokana na Historia yangu binafsi na hiyo...
Aishi Manula
Hassan Kessy
Gadiel Michael
Erasto Nyoni
Kelvin Yondan
Jonas Gerald Mkude
Simon Msuva
Farid Musa
Mbwana Samata
John Boko
Shiza Kichuya
Kisibadilishwe hadi dakika 90 kwani hata ‘...
Awali niliwaambia kuwa timu yetu ikishinda mechi ya Leo nahama Tz, Sasa Niko njiani kuelekea msumbiji , maana Sina imani na mchezo was leo,
Na wewe uliyesema utakunya kuanzia taifa Hadi mwenge...