unaona jinsi hawa jamaa walivyowadanganya as vita wakakataa basi la simba,wakaja na mask zao,wakajilza kwenye corridor kama wanakufa vile wakati wa half time eti wamewekewa sumu,hayo ni maneno...
Kuna msemo wa wahenga wetu husema miluzi mingi humpoteza mbwa, ndicho nachokiona kwenye timu yetu iliyotawaliwa na usimba na uyanga kuanzia bechi la ufundi, wachezaji na washangiliaji...
Nyota ya Haji Manara afisa habari wa Simba SC imezidi kung'ara siku hadi siku.
Mtandao wa kijamii mkubwa na maarufu barani Afrika umemuita Haji Marketing genius.
Tunakubaliana sote kazi ya...
Bondia nyota wa Tanzania, Hassan Mwakinyo amewasili mjini, Nairobi Kenya tayari kwa pambano lake la Kimataida dhidi ya bondia kutoka Argentina, Eduardo Gonzalez lililopangwa kufanyika Machi 23...
Nadhani kupitia hizi ' Hamasa ' ambazo naziona na nazisikia mara kwa mara kutokea sehemu mbalimbali ' Kiufundi ' kabisa tumewafanya sasa Wachezaji wetu wa Taifa Stars badala wawe ' Watulivu ' na...
Japo zimebaki siku 2 tu game hii kupigwa jijini DSM lakini hakuna mzuka wowote mitaani ! huku kwetu Tandika Mwembeyanga mechi kama hizi huchangamsha mitaa hata wiki mbili kabla ya kuchezwa ...
Hakuna sababu yoyote ya Taifa Stars kufungwa ukizingatia ukweli kwamba Uganda wameshaqualify.
Niwe tu mkweli kwa mechi yetu na Uganda hata kama tutamtumia kocha wa Lipuli ya Iringa lazima...
Hata FIFA wanajua kuwa katika soka kuna matokeo ya kushangaza.Hivyo nawaomba wana SIMBA msiwe na wasiwasi kwani Simba ni timu ya kuandika historia,kuweka rekodi, kuvunja rekodi na matokeo ya...
Hawa madogo wanafanyiana sub,kuna mmoja anawika kwa mda halafu mwingine akipata chance anafanyia vizuri,Shabalala alikaa benchi mwanzoni mwa msimu kidogo tumsahau kwa kiwango cha Nkwasi,mara...
Salute kwa Simba mpaka walipofika.
Kusema kweli Simba ni club ya kutemela sana hata tz, wamefanya vizuri sana game zao hasa za hapa nyumbani. Ukilinganisha na sisi Yanga ambao tulipangwa kwenye...
Yani ukifwatilia page ya wachezaji wa Uganda unakuta Watanzania wanawaambia wachezaji wa Uganda wawaachie washinde ili wana East Africa waende Afcon mimi naona Uganda wanajua kuwa wanaweza...
Kesho time ya taifa kenya inacheza na Ghana usiku saa 3 hapa citizen tv kuna jopo la wachambuzi sita wa mpira wa miguu wakichambua kwa kina kubadilishana mawazo na uzoefu safari ya afcon...
Sina uzalendo sawa mbaguzi sawa yote mseme sawa tuuu . Ila uhamasisahaji wa kisiasa nilouona siendi ng'ooo. Mmewatupa wanamichezo eti wasanii uchwara aka Kamwene andadogs ndo wanahamasisha...
Uganda’s president Yoweri Museveni has instructed the national football side not to lose a match against Tanzania, even if the Cranes have already qualified for next year’s African Cup of Nations...
Huyu Haji nadhani hali yake inaathiri kufikiria vizuri(sorry kwa hilo) kelele anazopiga ni upuuzi mtu badala ya kudeal na kuhamasisha mashabiki kwenda uwanjani anamtengenezea Zahera enemity kwa...