Mara ya kwanza na pekee hadi leo Taifa Stars kucheza fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika (kipindi hicho yakijulikana kama Kombue la Mataifa Huru ya Afrika) ilikuwa ni mwaka 1980. Kipindi hicho...
Sasa nimeamini kuwa hapa duniani Watu hatufanani na hatuko sawa kwa mambo mengi tu na labda Mwenyezi Mungu ana makusudi yake yaliyotukuka. Yaani Mwenzako anapishana tu na Ndege huko angani...
El Clásico record kabla ya Messi:
Barcelona 66 - 87 Madrid
El Clásico record alipoanza kucheza Messi:
Barcelona 96 - 95 Madrid
Umegundua nini
Sent using Jamii Forums mobile app
TPL leo tunashuhudia kabumbu la kisasa kati ya Azam FC dhidi ya Simba SC uwanja wa Taifa muda wa saa kumi kamili jioni.
Mpira umemalizika uwanja wa taifa
Matokeo: FT AZAM FC 1-3 SIMBA SC...
Uchaguzi Mkuu wa klabu ya Yanga, uliosimamishwa kutokana na baadhi ya wanachama kufungua kesi Mahakamani, sasa umepangwa kufanyika Machi 10, mwaka huu
Awali, uchaguzi huo ulipangwa kufanyika...
Mshambuliaji wa Yanga SC, Mkongoman Heritier Makambo amezidi kung’ara baada ya kuchaguliwa kwenye orodha ya awali ya Wachezaji 40 watakaounda kikosi cha timu ya Taifa ya DR Congo.
Congo ni kati...
Klabu ya Simba SC ya jijini Dar es salaam imetajwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF), kuwa klabu namba 5 kwa utajiri Barani Afrika.
Simba SC imetajwa kuwa na utajiri wa karibu Paund milioni...
Nonda shabani "Papii" si jina geni kwa wapenzi wa soka wa bongo,huyu ni mchezaji wa zamani wa yanga ya dar es salaam ambae ameonyesha mfano wa kuigwa kwa wachezaji wetu wa bongo kutokana na...
Kwa bahati sikuweza kuangalia hii mechi Kipindi hicho lakini juzi kupitia Man u tv niliona hii game kwenye dakika ya 70 na kuendelea kipa wa man akaumia na ikabdi John oshea akae golini!
Je sub...
Natumain uzima upo humu ndani,
Niende moja kwa moja kwenye mada husika. Ukiwa mfuatiliaji wa mpira wa miguu logo ya As Roma inaonesha Bweha akiwa na watoto wawili wanaonyonya. Hawa ni mapacha...
Kuelekea mchezo wa Tanzania Premier League TPL, kati ya Stand United dhidi ya Simba SC Uwanja wa Kambarage mkoani Shinyanga, Stand United chagueni wenyewe mnataka mfungwe mabao mangapi...
Klabu ya Minnesota United ya Marekani imetangaza kumsajili Mtanzania Ally Hamis Ng'anzi (18) kwa mkopo wa mwaka mmoja kukiwa na uwezekano wa kumnunua kutoka Klabu MFK Vyskov ya nchini Czech...
Karibuni kwa Live updates kutoka dimba la CCM Kambarage Mjini Shinyanga
Moderator Mhariri utanisaidia kuhariri/EDIT kichwa cha habari iwe Stand united vs Simba kwa maana Stand United yupo...
Wadau najaribu kufikiri kwa kina bila kupata majibu sahihi katika hili,katika kipindi cha miaka nane ya Tenga Tuliona TFF ikipiga hatua kubwa ya kimaendeleo katika sura la utawala ,kwa maana...
WARAKA WA WANACHAMA WA YANGA KWA TFF
TAREHE; 23/02/2019
NA MOODY KABWE
moodykabwe@gmail.com
0715268499
0685188679
Sisi wanachama wa YANGA nchi nzima kwa umoja wetu tuna masikitiko makubwa...
Kocha mkuu wa timu ya Fulham ametimuliwa kufuatia kipigo cha mabao2-0 kutoka kwa timu ya Southmpton. Kocha huyo aliyewahi kuiongoza Leicester city kutwaa ubingwa wa England alipata ushindi mara...