JK asaka umaarufu michezoni - Mbunge
na Charles Mullinda
MBUNGE wa Viti Maalumu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Halima Mdee, amesema Rais Jakaya Kikwete, anajaribu kutafuta...
KOCHA wa Yanga Mwinyi Zahera amesema anaweza kuachana na timu hiyo baada ya msimu huu kumalizika kutokana na wanachama na mashabiki wa klabu hiyo kushindwa kumpa ushirikiano.
Zahera ambaye ni...
Mpaka hivi sasa Simba inaongoza kwa magoli 3-1 , lakini kwa namna timu ya Azam inavyocheza ni dhahiri iko chini ya kiwango mno ! ni lazima kuchunguza ili kujiridhisha kama hakuna mchezo mchafu ...
Habari wadau wa sport.
Kumekuwa na tetesi za kiungo Paul Pogba kuhitaji kuondoka pale MANCHESTER UTD, huku akitakiwa sana na klabu kama Barcelona, Psg na Juventus ambako ndiko ubora wake...
Bongo Yetu: wakati Mwadui, Ruvu Shooting na Stendi wamebakiza mechi 10 tu kumaliza msimu Simba SC imebakiza mechi 21!!!!
Angekuwa Yanga ndo anaviporo ivyo,Hajji angekuwa anaongea zaidi ya...
Klabu ya Azam FC imemfukuza kocha wake Mholanzi Hans van der Pluijm na Msaidizi wake Juma Mwambusi, kufuatia mwenendo mbaya katika ligi kuu Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila klabu ya soka inayoshiriki ligi kuu Tanzania Bara ina msemaji wake kwa mujibu wa sheria na taratibu za mchezo huo. Ilizoeleka ukiwa msemaji wa vilabu vikubwa vya Yanga na Simba lazima uwe...
Ni wakati wa Mechi ya Simba na Yanga leo jumamosi Feb 16,2019.
Tukio limetokea wakati kapteni wa Yanga Ajib anawatambulisha wachezaji wake kwa mgeni rasmi alipofika kwa Yondani akagoma kupokea...
Mchezaji wa nafasi ya ulinzi Zana Oumar Coulibaly, wa ASEC Mimosas ya Ivory Coast amewasili nchini Tanzania kukamilisha taratibu za mwisho za kujiunga na Simba SC
Coulibaly ambaye ni beki mwenye...
Ni ukweli uliowazi, kocha Mwinyi Zahera na uongozi wa Yanga kwa ujumla wamechemka. Kakolanya alikua ni golikipa namba moja wa Yanga na pia namba mbili kwa upande wa timu ya Taifa.
Kwa mashabiki...
Hatimaye baada ya kuchezea kichapo heavy kutoka kwa mnyama simba sport club, Timu ya Yanga fc leo almanusura ipoteze tena mbele ya wauza mbao wa jiji la mwanza Mbao fc baada ya kwenda mapumziko...
Poleni sana Yanga na Hongereni sana Mnyama Simba.
Naomba nitoe maoni yangu kama mtanzania huru na ingawa ninayo timu yangu baina ya Simba au Yanga .
Hasa napenda kueleza juu ya mustakabali wa...
kumbe kilichowasibu Piacenza ni Mgomo na hali ngumu ya Uchumi!!!
Iko hivi:
Moja ya habari iliyoshika kasi sana ilikua kipigo cha mbwa mwizi kwa klabu ya Pro Piacenza.
Hawa wanashiriki ligi...
Ili timu iwe bora lazima kwa pamoja TFF na serikali na wadau wote tuangalie namna Bora kwa ligi yetu ya Ndani iwe na ushindani zaidi maana timu zetu zimekuwa zikishinda kwa wepesi zaidi ligi ya...
Yaan kiukweli, napenda na kivutiwa sana kusikiliza vipindi vya michezo pindi timu yangu inaposhinda..
Hii hutokana na furaha ninayokuwa nayo baada ya kushinda, mfano Leo Yanga yangu imeshinda huwa...
Huku akiongea kwa ' Kufoka ' kama kawaida yake na akitawaliwa na ' Hasira ' zake za Kimachame aliyewahi kuwa Msemaji wa Klabu ya Omba Omba Bakuli FC ( Yanga ) na sasa akiwa ni Mkuu wa Wilaya ya...
Wana yanga tusikate tamaa
Timu yetu imeonyesha bado ina uwezo wa kupambana na tuendelee kuipa moyo
Kiukweli simba imetuzidi uwezo wana wachezaji mahiri kila idara wanacheza na kupanga...
Wana bodi
Moja ya sababu kwa nini Tanzania hatufanyi vizuri kimataifa, ni kukosa uwekezaji makini kwenye vilabu vyetu halafu kutegemea kuhonga na uchawi kuendesha masuala ya mpira.
Niwapongeze...