Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Uongozi wa Singida United umesema kuwa kitendo kilichofanywa na Yanga Sc katika uwanja wao watatoa taarifa katika shikisho la soka TFF Uongozi wa Singida umesema kuwa Yanga imewazuia kuingia...
5 Reactions
24 Replies
5K Views
Hii ishu ya watu online kusema kua wanadeal na kuuza mechi zilizopangwa matokea kwa ajili ya betting(wazee wa mikeka) inaukweli wowote? Angalia mfano kama huyu mtu yeye nimeona sahivi ticket ya 3...
1 Reactions
15 Replies
9K Views
Bila ya kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye lengo la uzi huu. Wiki iliyopita nilimsikiliza mkurugenzi wa ufundi wa shirikisho la soka Tanzania (TFF) mtaalamu wa kimataifa wa kuinua na...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Tujadili kuhusu hili... Je, kocha Patric Aussems atapata nafasi ya kurekebisha makosa yaliyojitokeza kwenye mechi dhidi ya As Vita kuelekea mechi ya jumamosi na Al Ahly?
2 Reactions
223 Replies
31K Views
Hivi punde nimesikia kutoka radio moja kipindi cha michezo kuwa Simba imekuwa ikifanya vibaya katika michezo yake hasa ile ya kimataifa moja ya sababu eti ni vile hawana kocha msaidizi, sasa...
0 Reactions
4 Replies
829 Views
Klabu ya African Lyon imeiandikia barua bodi ya ligi kuu Tanzania Bara (TPLB) kuomba mchezo wao namba 271 dhidi ya Simba SC uhamishiwe Dar es Salaam. Lyon wamefikia maamuzi hayo ambapo awali...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Jana tumepigwa 2-0 na Sevilla kwao,ingawa ni 1st leg jumatano tutarudiana nou camp,lakini kwanini afanye upuuzi ule?Kweli unajaza Wachezaji wachanga pamoja na wageni unategemea nini?Mchezaji kama...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Niombi langu kwa chama cha mapinduzi. Maana hali ya viwanja ni mbaya sana uwanja umejaa vipara pich imeharibika wachezaji wanapata tabu kucheza. Jaribuni kufanyia matengenezo. Ni aibu chama...
0 Reactions
4 Replies
948 Views
Kweli Manara mna kikosi kipana,lakini mbona hampati matokeo mazuri?mfano Manula kesha bugia mikono miwili hivi bado tu mtampanga tena hio tarehe 12,na mkifanya hivyo maana ya kikosi kipana ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani wataalam, ivi mbona jose morinho amekuwa na gundu sana kipindi hiki? au bado nuksi ya Man U inamuandama haha haha haha haha
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Huyu bwana kosa lake kuu ni nini? Maana Tenga, Karia na Malinzi wote walimfurusha huyu bwana shida yake nini hasa? Naomba ufafanuzi wadau wa mpira wa miguu Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
32 Replies
5K Views
_*After Asia Cup win, Emir of the State of Qatar awards every player of the National Team the following:*_ ➡Apartment in London for every player in the Qatari team ➡Jeep Model 2019 ➡($2.7m) QR...
8 Reactions
28 Replies
4K Views
Unacheza AWAY GAME na timu ambayo ni nzuri yaani inakuzidi kila idara, unaamua kucheza 4-3-3 Yaani unaanza na washambuliaji watatu. Huu ni uamuzi wa ajabu kabisa, isitoshe unajua fika kwamba...
2 Reactions
31 Replies
4K Views
Ingawa kwa sheria za spain hawezi kitumokoa hiyo adhabu. Jamaa kwa kikino nouma Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Anaitwa mohamed Hany. [emoji4][emoji39] Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Yap si hela wanazo,wadhamini wanao na uwezo wanao. Mi naona kikosi kizima,kocha,menega,uongozi,mpaka msemaji manara waondolewe Kwa kufunua uwanja mpya.kuzunguka tz nzima na kutafuta vijana wenye...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Moja kati ya stori inayotrend kwa sasa katika soka bongo ni kuhusiana na club ya Simba SC kufungwa 5-0 dhidi ya Al Ahly katika mchezo wao wa tatu wa hatua ya makundi wa CAF Champions League, baada...
6 Reactions
19 Replies
3K Views
Nadhani sasa ni utoto kila timu zetu zinaposhindwa ugenini hasa Uarabuni kusingizia hali ya hewa. Nchi yetu bahati Mwenyezi Mungu katupa sehemu zenye joto na baridi pia sasa kama timu inakwenda...
3 Reactions
3 Replies
992 Views
Wakuu, jana nilikuwa nikiangalia mechi kati ya Inter Milan na Bologna. Kilicho nishangaza ni kuona majina ya wachezaji wa Inter kuandikwa Kichina kwenye jezi zao. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
3 Replies
935 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…