Ni muda mrefu sasa mimi kama mpenzi na shabiki wa mpira wa miguu ambao ni mchezo namba 1 kupendwa sana duniani na Tanzania ikiwemo, nimekuwa nikifuatilia mechi mbalimbali za mpira wa miguu hapa...
Ofisa Habari wa Yanga, Dismas Ten ameamua kuweka makucha hadharani baada ya kumtukana LIVE shabiki wa Simba kisa kuambiwa hana akili.
Ten aliweka ujumbe katika ukurasa wa Instagram kwa kusema...
Jay Msangi Jana ameondoka Tena Kwenda Na Bondia Denmark. Je Wenzangu Mmepata Yale Majibu ya Tuhuma za Kuwazulumu Fedha zao wale Vijana Boxers waliocheza SOUTH AFRICAN?
Sent using Jamii Forums...
HABAAR LIKA LANGU WAKUBWA SHIKAMOOOOO, Ndugu wote tu watanzania naomba tuweke tofaut zetu pembeni ili kesho tumwaibishe mwarabu maana hawez kuja na kutamba kwenye himaya yetu lazma afe twendeni...
Rotation ya kikosi cha Simba
Usiku wa leo wazanzibar na dunia nzima itakuwa uwanjani na kideoni wakitalii. Sio utalii wa Serengeti bali ni utalii kushuhudia soka safi la mnyama Simba,kushudia...
Jana usiku eti makomando wa simba wana ulinda uwanja..sasa swali la kujiuliza Saoura fc ni wageni hawajui chochote wataufanya nn uwanja au watafukia nn
simba bwana eti wakiulinda uwanja ndio...
Na Saleh Ally
Tayari mshambuliaji Nonda Christophe Nonda ameamua kustaafu soka, sasa anaendelea na maisha mengine, mfano suala la uhamasishaji wa amani katika sehemu mbalimbali duniani.
Yanga...
Ukisoma gazeti la mwanaspoti la leo mama Karume anafafanua jinsi mgogoro ndani ya Yanga ulivyopelekea kujitenga kwa baadhi ya wanachama na kuanzisha Sunderland mwaka 1936. Kisha kuitwa Simba hapo...
Mikia : Yanga haijawahi kuingia makundi Champions League.
Yanga : Remember 1998, sisi ndio waasisi, tena ilikuwa 8 bora sio nyie makundi timu 16.
Mikia : Yanga haijawahi kujaza uwanja wa Taifa...
Zimebaki siku chache tu Taifa liingie kwenye aibu kubwa kimichezo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Sent using Jamii Forums...
Ama mbinu za kummaliza Adui yako si kwenye vita pekee;hata Yanga Makonda alituua na kutumaliza kabisa hasa baada ya Mhe Diwani wa Mbagala na Jembe la Yanga (Manji)kubambikiwa kesi za hovyo kabisa...
Nimeona Kauli mbiu ya Simba watakayotumia siku ya Jumamosi kwenye pambano lao na Saoura ya Algeria. Kwa ushauri wangu Kauli mbiu hii ingekuwa kwa kiswahili maana wengi wetu hatujui kiingereza...
Hatua ya makundi ligi ya mabingwa Afrika kuanza kupigwa Jumamosi ya Januari 12, 2019 kwa wawakilishi wa Tanzania Simba SC, Mnyama Mkali kuliko wote mwituni, inakapokwaruzana na JS Saoura ya...
-Kila la kheri Simba SC wapigeni pigo la moyo JS Saoura leo na ushindi wa mechi ya leo utawapa nguvu ya kupambana mechi zinazofuata Mungu ibariki Simba, Mungu Ibariki Tanzania.
1-Manula
2-Gyan...
Hii thread ya updates za Kagame Cup
Sent using Jamii Forums mobile app
01.01.2019
KVZ vs Malindi matokeo bila bila
Tar 02.01.2019
Chipukizi 0- Mlandege 1
UPDATES
NUSU FAINALI
Azam 3 - KMKM 0...
" Nawaomba wana Yanga wasije wakafanya makosa siku ya Jumapili, nawaombeni sana mchagueni Baraka Igangula. . kijana mstaarabu na mwenye nia ya dhati kuipeleka Yanga mbele, atatujengea uwanja na...