Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nimemsikia kocha wa Simba akisema baada ya kuona Nyoni kaumia,eti analeta kikosi B kimalizie mashindano,hivi hakujua kua ana mashindano mawili makubwa yanamsubiri zaidi ya bonanza la mil 15? Luna...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Sajili mbovu ambazo sio mapendekezo ya Kocha, Mf. Yule golikipa ambaye yupo mapinduzi ambaye kocha Zahera alimkataa. Si ajabu kukuta kasajiliwa kwa mamilioni ya kwenye makaratasi huku ukweli akiwa...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
HAYA HAYA TWENDE NA Dr WA MICHEZO NA MTU MAKINI KUTUVUSHA HAPA TULIPO..... CHAGUA DR TIBOROHA KWA MAENDELEO ENEDELEVU YA YANGA..... Don't waste your vote on 13th Jan 21019 TIBOROHA OYEEEEEEEEEEEEE
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna vita inaendelea kwenye social media kati ya watu wawili ambao wanajulikana ni wana Msimbazi kinda kindakindaki. Kila kijembe cha Dauda kinajibiwa kwa kuikashfu Yanga ambayo haina uhusiano na...
5 Reactions
71 Replies
14K Views
Simba wamepeleka kikosi kamili huku Yanga wakipeleka wachezaji wachache tu wa kikosi cha kwanza. Najiuliza tu, ikitokea Simba na Yanga zikakutana aidha nusu fainali au fainali yenyewe, nini...
3 Reactions
25 Replies
4K Views
Wanajanvi naomba kumfahamu vizuri huyu mchambuzi wa mpira anayesikika Tbc mara nyingi . Nani anafahamu vyema huyu jamaa Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Mshambuliaji wa klabu ya Azam fc na taifa stars Yahya Zayd miaka 20 amesaini rasmi miaka 3 na klabu ya Ismailia ya Misri . Zayd amesajiliwa kuongeza nguvu kwa klabu hiyo iliyopo kindi C katika...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakuu Salaam. Binafsi napenda kuwapongeza Azam Media kwa kuanza kuonyesha UK FA competitions, naamini taratibu mtatuletea UCL, EPL ili na sisi ambao bado hatijafika viwango vya kumudu DSTV tuweze...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wanaJF,ni imani yangu mnaendelea vema na kazi. Leo katika kipindi cha Kipenga Extra kinachoruka kuvitoa East Africa Radio kuanzia saa 6 mchana hadi saa 7,aliarikwa,head coach mkuu wa...
11 Reactions
32 Replies
5K Views
Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika CAF wiki ijayo, linatarajiwa kumtangaza mwenyeji wa mashindano ya kombe la mataifa ya Afrika yaliyopangwa kufanyika mwezi Juni-Julai mwaka huu. Hatua...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarini ndg, na samahanini pia sijui hii mada ningeiweka wapi kati ya jukwaa la michezo au la siasa. Nirudi kwenye point, nimejaribu kufikiria hili jambo muda mrefu sana kwasasa nimeanza kupata...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Hii picha imebeba maana halisi ya ulimwengu wa soka duniani itapita miaka tele lkn kamwe haiwezi kusahaulika maana halisi ya mpira wa miguu utatu mtakatifu..huyu mwenye nywele ndefu nyeupe...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Dharau mbaya ujue!hivi Simba kudharau kombe la FA na kukubali kufungwa na Mashujaa,hii inamaanisha lazima Simba ichukue ubingwa wa ligi kuu ili iwakilishe nchi mechi za kimataifa.Kama ni hivyo...
3 Reactions
28 Replies
4K Views
Kwa kweli nimecheka sana huu mpambano wa boxing mizunguko mitatu kati ya Floyd Mayweather Jr na Tenshin Nasukawa, dogo huyu kutoka Tokyo Japan, aliingia ulingoni kwa mbwembwe akijiamini kupita...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
MSHAMBULIAJI chipukizi wa kimataifa wa Tanzania, Yahya Zayed anayechezea klabu ya Azam FC ya Dar es Salaam ameomdoka jana mjini Dar es Salaam kwenda Misiri kujiunga na klabu ya Ismailia ya huko...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Tusiwe wanafki Yanga wamejitahidi wasifungwe nyingi na Azam Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
12 Replies
3K Views
MBINU ZA NATIONAL AL AHLY HIZI HAPA. -Kwa kuwekeza muda wangu wa siku kama tatu ivi kwa kufanya tafiti za kisayansi juu ya mbinu za al ahly katika michuano ya Afrika. Ikiwa Ugenini. -Sifa kubwa...
9 Reactions
37 Replies
4K Views
Midfield is one such vital position in the football pitch. A connection between the forward and the defence is no joke and hence holds the key to success at times.I remember Simba used to rule...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Mchezaji nguli wa soka duniani Cristiano Ronaldo amemtaka mpinzani wake wa muda mrefu Leonel Messi kukubali challenge yake ya kumtaka kuondoka Spain ili kupata changamoto zingine kuthibitisha...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…