Tayari nimechungulia, gemu inaisha 0-0. Wawekezaji, kazi kwenu! Matokeo ni baada ya dakika 90 na za nyongeza.
Sisi Simba hatutakubali Yanga watufunge tena!
Huwa nashangaa sana kukuta thread ile ya ushindi wa Yanga wa 5-1. Nimeona nianzishe hii thread niwe nawakumbusha kuhusiana na rekodi za vipigo vikubwa.
Simba 1 5 Yanga
Simba 5 Yanga 0
Simba 6...
Timu ya Taifa ya Tanzania vijana umri chini ya miaka 20, Ngorongoro Heroes imeendelea kusuasua kwenye mashindano ya Afcon u-20 baada ya kucheza michezo miwili na kuambulia alama 1.
Baada ya...
KARIAKOO DERBY | Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imemtangaza mwamuzi Ramadhan Kayoko kutoka Dar es Salaam kuwa ndiye refa atakayesimamia Sheria 17 za mchezo wa soka, kesho Oktoba 18, 2024 kwenye...
GAMONDI:UNAPEWA DOZI KULINGANA NA UGONJWA WAKO.
''Mechi yetu dhidi ya Simba maandalizi yetu hayana tofauti na mechi yoyote ya ligi kuu.
Hii ni mechi kubwa sana kwa mashabiki na wapenzi wa soka...
Nakumbuka mwaka jana miezi kama hii ndio AFL ilizinduliwa na tukaambiwa hiiyo ndo itakuwa ligi kuu kubwa zaid badal ya CAF Championship CAFCC.
Sas naona kimya as if hakuna lolote lile na sioni...
Hii kauli imebeba maana kubwa sana leo unajua kwanini unapocheza na Yanga kisha ukapata shauku sana ya kufunguka na kuwashambulia ndipo hapo unaingia kwenye mtego wao.
Ukiwashambulia Yanga kisha...
Sifa kuu ya mechi ya karikoo derby ambayo wachambuzi wengi wameshindwa kuling'amua kabisa ( wao wanaongolea mifumo, makocha na historia ya mechi zilizopita )....Kuna kitu Cha muhimu Sana Huwa...
Tuweke kumbukumbu sawa yanga ashapigwa na simba
1.6-0
2.5-0
3.4-1
4.3-1
5.2-0
6.1-0
Yanga washakimbia kabla ya mechi mara mbili na moja kipindi cha pili wakaingia mitini hizi ni rekodi za simba...
" Yanga wameshinda ligi mara tatu mfululizo na wapo pamoja kwa takribani misimu mitatu sasa tunawaheshimu na tunatambua ubora wao ... tumeandaa mchezo wetu kwa kuwaangalia na inatakiwa tuzingatie...
Licha ya Makocha na Wachezaji wa Pande Pande mbili kueleza juu y maandalizi ya Mchezo wao wa leo kwangu binafsi sioni Ushindi wa Klabu us Simba kutokana na aina ya kikosi na maandalizi ya Mchezo...
Mechi ya 4 mfululizo. Admin usifute uzi, next time wapelekeng'ombe wenzao wametumia madume 5 ya ng'ombe, wao wametumia kondoo 2 na mbuzi 1.
Vilio vimetawala, kesho wakubwa hawaji.
Usiku mwema...
Kama mnayakumbuka yale mashindano ya AFL ,yaliofanyika msimu uliopita apa na yalizinduliwa hapa hapa Tanzania kwa mechi kati ya Simba sc dhidi ya Al ahly sc na mchezo kutamatika kwa sare ya goli...
Simba ni kikundi cha wahuni wamekusanywa wakaamua wawe wanacheza pamoja. Hamna kitu kabisa pale. Haiwezekani wakamfunga Yanga.
Nitapost picha bila nguo kabisa muone kuwa nimedhalilika sana...
- Historia inaonesha kwamba mara nyingi Simba wakiingia kwenye Derby na Mbwembwe huwa wanapoteza mchezo au kutoka sare.
Mara kadhaa Simba wakiingia kama second team huwa wanashinda, ndio maana...
Kwa maslahi mapana ya utani wa jadi, itapendeza Simba wakishinda.
Kwa miaka mingi, watani hawa wamekuwa na matokeo yanayokaribiana, timu moja haikukubali kuwa mteja kwa awamu tatu kama ilivyo...
Safari ya Nyasa hiyo unaambiwa Mzee Mpili anaenda kufanya jambo huko, Kesho kazi ipo😁🙌
Vipi mambo yatalipa kwa timu ya wananchi Yanga mbele ya watani zao Simba? Tusubiri tuone bandugu.
Soma Pia...
Mechi ya tarehe 19
Ambayo itaikutanisha miamba ya Kariakoo yaani Simba na Yanga
Mechi imechezwa na imemalizika tayari ampabo Yanga amefunga magoli matatu ya Prince Dube dk ya 17, Azizi ki dk 39...