Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Yaani Jana nimeumia sana ni heri kujitoa katika kombe la mapinduzi kuliko kuchezesha wachezaji walevi.maana nasikia eti tunagawnya kikosi chezesheni kikosi cha kwanza jamani sisi tunaumia sana...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Wakuu, mtakumbuka msimu uliopita wa haya mashindano ya Azam Sports klabu ya Simba, Tena ikiwa inaongoza ligi kuu, ilitolewa na Green Warriors. Mtukufu mfadhiri hakupendezwa na kuuagiza uongozi wa...
2 Reactions
9 Replies
4K Views
1 Reactions
2 Replies
2K Views
MPIRA UMEKWISHA: Kagera Sugar wanatibua rekodi ya Simba kutofungwa mechi yoyote uwanja wa Taifa baada ya kuwashinda mabingwa hao wapya 2018 kwa 1-0. Utaratibu waandaliwa ili Rais Magufuli akabidhi...
6 Reactions
322 Replies
33K Views
Mwenye update atujuze Yanga daima mbele nyuma mwiko.
0 Reactions
51 Replies
8K Views
Ligi yetu ya kibongokibongo sio muda awamu ya kwanza inaenda kumalizika soon lkn mpaka SAS TFF hawajamupata mdhamini wa ligi.je hali ikiendelea mpaka mwisho bingwa atalipwa hela na TFF?
0 Reactions
4 Replies
722 Views
Kwa namna Simba walivyofanya usajili wao naamini kabisa watafanya vizuri sana msimu huu,kama uliwatizama vizuri kwenye ile mechi yao ya Simba day timu imebadilika sana wanaufurahia mpira kama...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Mwenye kuifahamu timu ya Shujaa Fc hebu atupe hapa kwa kifupi. Nasikia ni vijana toka Kigoma kwetu ila sijui mitaa gani vile,Mwandiga,mjimwema,Mwanga,kasulu,uvinza,Buhigwe,kakonko,Kibondo...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Ni kuanzia January 4.hongera Sana Azam TV.
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Amakhosi could sign the marksman, who was once on the radar of Bucs, during the upcoming January 2019 transfer window Uganda international Emmanuel Okwi is reportedly close to joining Kaizer...
0 Reactions
2 Replies
919 Views
Michuano ya mapinduzi yanatarajiwa kuanza January 1 mpaka 13. Kwanini Simba wanatakiwa kujitoa kwenye michuano hii --Kwanza michuano hii inachezwa katika mfumo usio sahihi, timu inalazimika...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Baada ya kutoka Uganda, naomba Taifa Stars icheze, mechi ya kirafiki na Simba. Simba iwatumie wachezaji waliobaki, achana na kina Kagere, Chama na Okwi. Walah ball possession Simba 60 Stars 40 na...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Timu ya soka ya Mbao ya Mwanza leo imefanikiwa kuwafunga mabingwa watetezi Simba ya Dar es Salaam kwa goli moja kwa bila Katika mechi hiyo iliyofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza...
3 Reactions
428 Replies
37K Views
Ni jana naangalia kipindi cha michezo EATV ukaoneshwa mkutano wa simba,yaani ooh mara hii simba tishio Afrika na duniani,ooh ni iko sawa na mancity sijui,oohh itachukua makombe yote yaani la ligi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ukiangalia hiyo table utagundua vitu kadhaa 1. Timu zinazoshiriki club bingwa na zimeingia 16 bora zote hazifanyi vizuri kwenye ligi ya ndani ya Misri( Al-ahly no7 na Ismaily ya mwisho no 16). Hii...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa anayejua atupe Taarifa kamili wakuu....hii nimeiona leo kwenye site fulani hivi. Ila kama itakuwa ni kweli Jamaa watakuwa wamelamba Dume coz Shughuli ya Emma inafit sana pale bondeni.
1 Reactions
35 Replies
4K Views
All 56 CAF member associations may enter the CAF Champions League, with the 12 highest ranked associations according to their CAF 5-Year Ranking eligible to enter two teams in the competition.[4]...
0 Reactions
0 Replies
710 Views
Nimekuwa mdau mkubwa wa ligi mbalimbali duniani wa mpira wa miguu na ndondi na mara nyingi sana ratiba za ligi mbalimbali huwa zinakwenda vizuri sana .Mfano tu ligi ya Uingereza unaona jinsi...
9 Reactions
44 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…