HAINIPUNGUZII chochote nikikusalimu kwa kukupa gwala asubuhi leo, ila ni nyongeza tu ya uungwana. Kula gwala mtu wangu!
Gwala nikupazo ni mambo matano yaliyotikisa jana kutoka duniani kuja...
Hakika Ogopa Mchawi na Mnafiq
Ngoma siyo yao ila wapo tayari kujitoa Roho.
Jamaa mmoja aliepitiwa na Rungu la TFF asijihusishe na Michezo hajakoma Jina kapuni
Ambae ni mnazi wa yanga na M/Kiti...
Mama kawa kijana baada ya kutoka kupiga mechi ya netbol katila time ya wabunge na kupata ushindi pembeni kushoto Ni naibu spika dr.tulia
Basata nakaribisha vifungo vyenu hapa
sio jambo la kushangaza wakina boban kusajiliwa klabu kubwa kama yanga.. ndiyo!..umekuwa mshangao Mkubwa boban kusajiliwa yanga.. lakini uhalisia ni huu.. tuanze kwenye ligi yetu..
kiukweli ligi...
1.Dida
2.Colbal
3.Kwasi
4.Paul Bukaba
5.Juko
6.Ndemla
7.Rashid Juma
8.Mzamiru
9.Salamba
10.Niyonzima
11.Kichuya
kama ni kwel hesabuni maumivu na mnachezea shalubu za Pala na hesabuni maumivu
Jana niliona mashabiki wa Yanga wamejitokeza kwa wingi wakishangilia kwa nguvu na nilipenda pia kitendo chao cha uzalendo kwa kuchanga pesa kwa ajili ya viongoz na wachezaji. Mbeya pia...
Kila mwenye nia njema ya kuisaidia Yanga aonane na kocha wa Yanga amweleze ni mchezaji gani anahitaji nini kama hatuwaamini viongozi waliopo. Tusisubiri kuhangaika na wanaogomea mechi, it will be...
Ushindi wa 1-0 pale Arusha uwanja wa sheikh Amri Abeid umezidi kuiweka Yanga kileleni mwa ligi kuu bara na kufikisha points 47.Japokuwa leo kucha wetu mkuu hakuwepo bado tumeshinda.
Hawa watoto wa serengeti boys walioshinda ubingwa huko Cosafa kwa upuuzi wa soka letu na huyu Msomali pale tifuatifua kunauwezekano usiwasikie tena kwenye ulimwengu wa soka.Kazi kubwa anayofanya...
Wadau wa Soka nimeangalia klabu ya Simba msimu huu nimekutana na Mapungufu ambayo yasipofanyiwa Kazi Jahazi litazama. Hapa nimejaribu kuelezea mambo saba ambayo yanaweza yakaleta maafa msimu huu...
Bondia kutoka Tanzania Hassan Mwakinyo ametangaza nia ya kutaka kupambana na bondia maarufu kutoka Uingereza Kell Brook.
Mwakinyo mwenye umri wa miaka 23 ambae aliushangaza ulimwengu wa masumbwi...