Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Muhimu cha kuangalia kwa viongozi, Timu inapokuwa U17 inakuwa na uwezo mzuri sana kwakuwa umri wa hadi 15 ni wa kufundishika na kuelewa haraka kwa kuiga na matamanio ya kuwa kama Fulani! Ni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Futbol Replays (@Futbol_Replays) Tweeted: Jose Mourinho post match interview [emoji23]. #LIVMUN Futbol Replays on Twitter
0 Reactions
0 Replies
481 Views
kwa wajuzi wa mchezo huu naamin mtanisaidia hili swali , hivi vile vitu vinavyo halibiwa na hawa wacheza mieleka kama Tv, Meza, n.k. vinalipwa na nani?
2 Reactions
62 Replies
9K Views
Kwa kwel nkana lazima watoke tu hakuna jinsi japo nimeona wanajipa moyo kuwa hatakuja kutufanya kaz dar esalam.Nkana Leo wamepoteza nafas nyingi za kutufunga na leo timu ya simba wamecheza Mpira...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Mpira wa leo kati ya Wekundu wa Msimbazi na Nkana Red Devils ulikuwa mkali sana japo Simba wamefungwa goli 2-1wakiwa na faida ya goli la ugenini. Mnatakiwa mjipange sana kwa ajili ya mechi ya...
5 Reactions
40 Replies
4K Views
haipendezi timu kupaki basi hapo kesho
0 Reactions
9 Replies
980 Views
Katibu mkuu wa TFF Wilfred Kidau amesema licha ya mahakama kumrudishia umakamu mwenyekiti Michael Wambura TFF kupitia wakili wake Mgongolwa wamekata rufaa mahakani kupinga maamuzi hayo Sasa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Namnukuu Afisa Habari wa Simba SC, De La Boss, Haji Manara.. "Tumeanza ujenzi wa uwanja huu na tutawapeleka waandishi wakajionee mambo yanavyoendelea katika ujenzi" Haji Manara pia alitanabaisha...
6 Reactions
54 Replies
17K Views
Habari ya uhakika ni kuwa katika Hali isiyokuwa ya kawaida klabu ya Yanga imemsajili mhenga kiungo mchezeshaji wa African Lyon Haruna Moshi Boban kwa mkataba wa miezi 6 katika dirisha dogo...
1 Reactions
49 Replies
11K Views
Kocha wa Nkana alipoulizwa anaiongeleaje timu ya Simba aka mikia alisema kwa mpira wa Tanzania anawafahamu sana sana mabingwa mara nyingi timu ya Young Africans na matajiri wa Chamazi timu ya...
6 Reactions
29 Replies
3K Views
---Hii Rekodi Inatia Mashaka Anyway Tuwaombee Wawakilishi wetu wa Tanzania Simba SC........ NKANA FCS 42 YEAR UNBEATEN RECORD AT NKANA STADIUM Nkana 4-0 Bata Bullets 🇲🇼 (1976 Caf Cup Winners...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
A Ugandan Teenage Girl has Won the Women's World Chess Title A Ugandan teenage girl has won the Women's FIDE master World Chess Tournament. 17-year-old Ugandan Gloria Nansubuga attained the...
3 Reactions
3 Replies
949 Views
Miaka 42 iliyopita Nkana haijawahi kupoteza mchezo uwanja wa nyumbani ikishiriki michuano ya kimataifa. 👉Itasalimu amri dhidi ya Simba..? Nkana 4-0 Bata Bullets 🇲🇼 (1976 Caf Cup Winners Cup)...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Anaandika Khaled Msabaha#ThePointGuard Vitu vingine huwezi kuviona nchi nyingine bali utaviona Tanzania tu, kweli mtoto usiempenda ndio anayekuja kukuletea mafanikio na utaona aibu kwa yale...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari wana jf, Naomba moja kwa moja nijielekeze kwenye hoja/mada ambayo binafsi inanisumbua sana Kwanza nadeclare interest mimi ni mshabiki/mpenzi wa team hii ya Yanga na nafarijika sana na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndege hiyo pia imeongezewa nakshi ambapo kwenye ngazi za kuingilia ndani kuna jiko lake (Leo), mke wake (Antonella) na watoto wake watatu (Thiago,Ciro na Mateo) Thamani ya ndege hiyo ni pound...
3 Reactions
16 Replies
4K Views
Kati ya TFF na wanachama wa Yanga ni nani mwenye timu? ni nani mwenye uchungu na timu? Yanga kwa sasa ina shida ya pesa na mdhamini lakini sio Mwenyekiti wala viongozi. Timu ya Yanga kipaumbele...
3 Reactions
49 Replies
5K Views
Haji Manara alijinasibu kwamba Simba wana uwezo wa kucheza mechi mbili ndani ya siku moja! kutokana na upana wa kikosi swali je kwa nini TFF wamewapa wiki mbili dhidi ya Nkana wakaweka viporo...
7 Reactions
48 Replies
7K Views
Tangu muda mrefu pamekua na hali ya mfananisho wa nani zaidi kati ya Lionel Messi na wachezaji wengine hasa Christian Ronaldo wa real Madrid. Na clip hii imeweza kutatua mjadala wa mda mrefu na...
20 Reactions
305 Replies
39K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…