FERNANDO PEYROTEO
MSHAMBULIAJI HATARI KABISA ALIYEPATA KUTOKEA DUNIANI
NA
NIHZRATH NTANI JNR
Kuna matukio ambayo unaweza kuyafanya na ukaendelea kukumbukwa hata baada ya kuondoka Duniani...
Kikosi hicho kimeongozwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF, Francis Ndulane pamoja na wachezaji 20, watu sita kutoka benchi la ufundi wakiongozwa na Kocha Mkuu, Patrick Aussems na viongozi...
The draw for the Champions League last 16 for the knockout stages will takes place in Nyon on Monday 17 December and is expected to start at 11.00am GMT.
The draw will be shown live on BT Sport...
Taarifa Kutoka Ukumbi Wa Diamond Jublee Zinaonyesha Kuwa Yusufu Manji ameshinda nafasi ya Mweyekit timu ya Yanga:
Dalili hii ya Wapiga kura kuangalia pesa ya Rushwa ndiyo inaweza...
Thursday, January 10, 2013
Wachezaj wa Young Africans wakifanya mazoezi leo asubuhi kujiandaa na mchezo wa kesho dhidi ya Emmen FC ya Uholanzi
Timu ya Young Africans Sports Club kesho itashuka...
Mwisho wa kunukuu msemaji mwenye IQ ndogo wa simba amesema hivi mbele ya kituo cha Radio.
Wadau wa michezo naombeni mchambue na mdadavue hii kauli ya msemaji wa simba.
Uwanja wenu
Duuh roho inaniuma sana, naomba wanayanga wenzangu tujuzeni wengine tusofahamu kinachoendelea pale jangwani, hivi tatizo pale ni ,
1. kocha...........
2...
Wanajamvi hasa wanaspoti
Ile siku hatimaye imewadia na muda mfupi ujao Simba na Yanga watashuka dimbani kutafuta mbabe baina yao ingawa Simba ni bingwa tayari wa ligi kuu. kama kawaida tupeane...
HIVI NDIVYO KLABU YA SOKA INAVYOTAKIWA KUWA (YANGA WAKIFANYA MAZOEZI ULAYA )
Wachezaji wa Young Africans wakifanya mazoezi leo katika Uwanja wa Fame Residence Football - Antalya Uturuki...
Timu ya Copa Coca-Cola ya Tanzania imeondolewa na timu ya Copa coca ya Zambia muda mfupi uliopita kwa kufungwa goli 1 kwa 0 huko mjini Nakuru nchini ambako mashindano ya Copa coca Africa...
Timu inayoshiriki Ligi kuu Uingereza Bunley imeonyesha nia ya kumuongeza Mbwana Samatta kwenye safu yake ya ushambuliaji.
Tayari imeshatuma watu kumfuatilia.
Timu nyingine zinayotajwa ni West Ham...
[emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460]
Mshabiki wa man city wanaishangila united ili imbonde liver wao...
SIMBA na Yanga ni watani wa jadi. Jambo linalofanyika Simba kwa namna moja ama nyingine litakuwa na tambo kwa Yanga.
Simba ikishinda mchezo lazima itatoa tambo zake kwa Yanga na vivyo hivyo kwa...
Kwanza kabisa nakiri ya kwamba mimi ni shabiki kindaki ndaki wa Yanga, sijawahi kuota ndoto juu ya tukio lihusulo mpira wa miguu. ila kwa mara yangu ya kwanza niliota ndoto kwenye mechi ya Ndanda...
Tanzania bado tumeendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu katika michezo mbalimbali. Hivi karibuni timu ya mpira wa miguu wa ufukweni (beach soccer) ilikwenda misri katika michuano hiyo ngazi ya...
Baada ya ile derby kali, kuvurugika sasa rasmi ,itaenda kupigwa uwanja huru ,na sasa Waargentina hawa watavuka bahari hadi bara la ULAYA kwenye uwanja wa SANTIAGO BERNABEU kupambana
HII SIO YA KUKOSA